swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wanawake huwa mnaangalia nini nyuma wakati wanaume tukitimiza majukumu yetu wakati wa tendo?

    Vichuna vyetu, hii imekaaje kugeuka na kutukodolea macho njemba tukiwa kwenye majukumu yetu? Mnatutisha mjue. Ni wapi huwa tunakosea?
  2. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kwanini mjusi akikatwa mkia bado anatembea?

    Hivi kwanini mjusi akikatwa mkia bado anatembea? Kuna nini? Kwa science view ana religious view? Nahisi wengi hamjaelewa ninachomaanisha kaeni chini mtafakari ninachomaanisha muwe na jicho la tatu aisee
  3. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Wahudumu wa Ndege/Treni

    Hakika umeshawahi kuwaona walimbwende hawa wakiwa wamependeza, watanashati, warembo na kutembea mwendo wa madaha ndani ya ndege ama treni. Achana na hawa wa mabasi wapakua mzigo na walegeza sauti wa mabasi unaowajua. Namejaribu kuwaza ushindani wao, kila siku totoz kali batch zinatoka za...
  4. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa single Mothers: Siku ya harusi ya mtoto wako nani utakaa naye High Table? Baba mtoto au mume wako?

    Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu. Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya mumeo unaondoka na watoto.unaenda kuolewana lizee au unageuka nyumbandogo ya mume wa mtu. Hao watoto...
  5. Brojust

    JamiiForums Tanzania Swali kutoka kwa mdau kuhusi hizi imani tatu, Uislamu, Ukristo na kwa Mganga

    Swali kutoka kwa mdau kuhusi hizi imani tatu, Uislamu, Ukristo na kwa Mganga Naomba kuwasilisha bila kuongeza kitu chochote. Nawasilisha.
  6. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Swali: Nani alimsaliti Mwenzake; Mwanaume au mwanamke?

    Mke na mume walifikia maamuzi ya pamoja kujiua (committing suicide) baada ya kupitia katika nyakati ngumu za maisha yao pamoja. Hivyo wakaamua kujirusha kutoka juu ya jengo lenye ghorofa 20. Wakati wamefika juu ya jengo hilo refu, pamoja wakakubaliana kuhesabu 1 hadi 3 na waruke. Walipofika...
  7. Scars

    JamiiForums Tanzania Huyu mwandishi yupo field? Mbona amemkosea adabu kocha Gamond kwa swali la kiudhalilishaji alilomuuliza?

    Yanga kufungwa mechi mbili tayari mwandishi anamuuliza kocha kama bado Yanga wapo kwenye mbio za ubingwa. Kwenye round ya 10 kupoteza pointi 6 tu tayari mwandishi haioni Yanga kwenye nafasi ya kugombania ubingwa. Hii sijawahi kuiona popote pale na imenistua. Huyu mwandishi inawezekana lengo...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Swali kuhusu mahusiano ya kirafiki/kijamaa kazini..

    Habarini, Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo. Nimegundua kuwa watu wanachunga sana wanachoongea kwa bosi na wafanyakazi wenzao, na waki interact na wafanyakazi wenzao...
  9. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hakuna mantiki yoyote itakayojibu swali la mwanamke la "Kwanini wanaume wanapenda kucheat sana?". Maelezo haya yanaweza kurelate na swali lao

    Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat. Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat. Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine...
  10. Logikos

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Serikali; Mwananchi ni Mwenye Nchi, Nguvu Kazi au Kitega Uchumi (Chanzo cha Mapato) ?

    Nimeona niulize haya sababu kinachoendelea inabidi ukiangalie kwa macho yako na sio kusikiliza kinachosemwa.... Sababu Siasa zishakuwa Ulaghai; https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/ Je Mwananchi ni Mwenye Nchi ? Sidhani, huyu jamaa...
  11. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Swali la Wiki: Uzushi una athari gani kwenye Siasa za Taifa?

    Taarifa za Uzushi zina athari za moja kwa moja kwenye Siasa za Taifa. Je, athari gani unazozijua? Pia soma:Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira mpya za afya

    Hivi inawezekana mtu ukipangiwa mkoa mwingine tofauti na ulikofanyia oral interview?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira mpya za afya

    HIV inawezekana mtu ukipangiwa mkoa mwingine tofauti na ulikofanyia oral interview?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Swali la Mbunge Ruhoro kuhusu malipo ya wastaafu halikujibiwa kwa usahihi

    Katika kikao kinachoendelea bungeni Mbunge Ndaisaba Ruhoro wa Ngara alihoji kuhusu maboresho ya pensheni za wastaafu kutokana na kupanda kwa hali ya msisha. Naibu Waziri Katambi kajibu kwa hoja za actuarial science na eti mapitio ya pensheni hufanyika kila miaka 3. Ukweli ni kwamba ktk kipindi...
  15. Broadcast

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni swali hili ndugu zangu

    Msaada wa poem hii
  16. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Swali la Siku: Dhana gani kuhusu Chakula fulani unahisi ni Potofu?

    Leo Oktoba 16 ni Siku ya Chakula Duniani, licha ya umuhimu wa chakula kwa afya ya Binadamu, kuna dhana Potofu nyingi kuhusu chakula katika Jamii Kama mdau wa JamiiCheck.com, tujuze ni dhana gani umewahi kuisikia kuhusa chakula ambayo unahisi ni Potofu?
  17. popomwitu

    JamiiForums Tanzania Kuna kijana mdogo kaniuliza hili swali nikashindwa kabisa kulijibu

    Naomba msaada wenu wana JF Huyu kijana sijui hili swali kilitoa wapi, ameniuliza mwalimu aliingia darasani akasema "Kama jana ingekuwa kesho, basi leo ingekuwa ni Jumamosi" Mwalimu alizungumza maneno haya siku gani? Mwenye majibu ya swali hili fikirishi tafadhali ashuke chini hapo, nisije...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mtu akikwambia njoo tugawane umaskini halafu ni swala la mchongo yaani wewe unatumbua nini kwenye ubongo wako?

    Ni swali la upimaji IQ Mtu akikwambia njoo tugawane umaskini halafu ni swala la mchongo yaan wewe unatumbua nini?kwenye ubongo wako
  19. D

    JamiiForums Tanzania Swali muhimu la kibaiolojia

    Hivi mpaka mtu anafika uzee, anakuwa ametoa wastani wa kilo au gunia ngapi za haja kubwa?!! Elimu yenu tafadhali
  20. Brojust

    JamiiForums Tanzania SWALI FIKIRISHI KUHUSU ROHO, MWILI NA NAFSI.

    Habari za leo; Ingawa kuna controversial nyingi sana kuhusu mwanzo wa dunia na ulimwengu basi leo nimeamka na swali hili kuhusu wanyama au viumbe wengine. Watu wengi na baadhi ya maandiko ya kisayansi na kiimani husema kwamba binatamu ana sehemu tatu zinzocontrol ubinadamu wake. Ambazo ni...
Back
Top Bottom