swala

  1. Tajiri Tanzanite

    Katika hili suala la bandari, Serikali imeangalia maslahi yake au wananchi kwa ujumla?

    Hapo vip! Na nimeuliza hivyo kwasababu mtu mmoja anaweza kutumia mgogo wa serikali kupitisha mikataba yenye maslahi yake na vibaraka wenzake na sio ya wananchi kwa ujumla. Kwasababu maslahi ya mwananchi kwa bandari ni ajira,usalama,ownership ya raslmali ya nchi na ufahari juu ya rasilimali ya...
  2. I

    Nimesikitishwa na kugadhabika jinsi Watanzania walivyopokea suala la wanafunzi waliotoka Sudan

    Wakuu, Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili. Nasema nimegadhabishwa kwa...
  3. kavulata

    Suala la bandari lina harufu ya chuki

    Inafahamika kuwa bandari zetu zinatoa huduma hafifu sana kwa wateja wake wanaozitegemea kwa huduma. Inafahamika kuwa bandari zetu hazitoi mapato yanayokusudiwa kwa taifa kwasababu mbalimbali zikiwemo zile za: 1. Ukosefu wa utaalam wa kuendesha bandari. 2. Ukosefu wa vifaa vya vya kisiasa vya...
  4. S

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali kaamua kujikalia kimya kuhusu suala la Bandari?

    Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba. Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati...
  5. S

    kama kweli kuna watu wamepewa 10%, ni suala la muda tu majina na viwango walivyopewa vitavuja

    Hii ndio imani yangu kwasababu sio kila mtu anapenda dhuluma, unyonyaji na wizi wa kiwango hiki. Isitoshe, wako ambao watakuwa hawajapata mgao na hawa hawatakii kimya. Tusisahau pia vita ya kisiasa baina ya wanasiasa wenyewe wa humu ndani kuelekea 2025, hivyo lazima walipuane na wapinzani ndio...
  6. S

    Mlifikiri yataishia kwa Wamasai wa Loliondo tu?

    Walipoondolewa Wamasai kule Loliondo, kuna watu walitetea sana maamuzi yale wakidhani maamuzi kama yale yataishiwa kwa Wamasai tu, hawakujua yale maamuzi yalikuwa yanaweka precedence mbaya kwa siku zijazo. Leo tunavuna tulichopanda halafu tunalialia! Tumelaniwa!
  7. hp4510

    Suala la Bandari tukubali tunahitaji msaada

    Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna Sasa Leo anakuja mtu...
  8. Mr Dudumizi

    Swala la ardhi ya Bagamoyo ni strategy ya kisiasa tu, lakini kiuhalisia serikali ya Zanzibar haimaanishi kile ilichoongea

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kuna mshituko mkubwa umetukumba watanganyika, hasa kuhusu hili swala la serikali ya Zanzibar kudai kuwa ina eneo lake la ardhi huko wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kama ilivyo kawaida ya baadhi yetu, huwa hatukurupuki kulalamika bila kufuatilia kwa makini kina cha...
  9. M

    TUCTA kwa nini hamjamuunga mkono Ester Bulaya kwenye suala la Kikokotoo?

    Picha: Ester Bulaya Ninashangaa pamoja na baadhi ya wabunge kuwapigania wafanyakazi kuhusu kubadilisha kikokotoo kinachowanyonya wafanyakazi, Wakiongozwa na mbunge Ester Bulaya lakini viongozi wa TUCTA wamekaa kimya. Hiyo ndo dalili ya usaliti sio bure mtakuwa na maslahi fulani mnapata. Katibu...
  10. William Mshumbusi

    Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana

    Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana ili kukwepa makosa ya kisheria. Ila je kilichoongelewa kina ukweli au la. Je feitoto alidanganya. Haya yanaweza thibitishwa kisheria ili tujue ukweli. 1. Fedha ya usajili m 100 Kupewa kwa mafungu. Account yake itasema. 2. Sms za...
  11. Z

    Serikali inaposhughulikia suala la wafanyabiashara Kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi, tunaonewa sana

    Serikali inaposhughurikia swala la wafanyabiashara kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi: tunaonewa sana kwa kweli. Mifano iko wazi: 1. Kwa mfano, daktari akilala zamu anapolipwa call allowance lazima akatwe VAT 2. Daktari au nesi akilipwa extra duty allowance lazima akatwe VAT 3...
  12. angel_papaa

    Naomba ushauri kuhusu sharing kwenye biashara ndogondogo

    Kabla ya kuingia kwenye share, vitu gani lazima vizingatiwe???
  13. Balqior

    Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

    Ili swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano yao na wanawake?? Ina maana kati ya wanaume wanaompongeza Hakimi, kuna walioliwa nauli,, kuna...
  14. PakiJinja

    Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

    Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote. Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko. Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo...
  15. Z

    fundisha au kushauri mtu kuwa shoga siyo ukatili wa kinjinsia? siyo unyanyasaji wa kisakologia?kwa nini mamlaka husika zimenyamazia swala hili?

    Psychological abuse (Unyanyasaji wa kisaikolojia) Psychological abuse, often called emotional abuse, is a form of abuse characterized by a person subjecting or exposing another person to a behavior that may result in psychological trauma, including anxiety, chronic depression, or post-traumatic...
  16. N

    Hili swala linanitatiza! michango yenu ya mawazo jamani!

    TANZANIA KUNA WAJINGA WENGI SANA!!SASA KWA NINI SIKUKUU YA WAJINGA YA TAREHE 1 MWEZI 4 MWAKA 2023 IMEKOSA SHAMRASHAMRA? JE IMECHANGIWA NA SIKUUU HII KUANGUKIA MWEZI AMBAO WATU WA DINI ZOTE WAMEFUNGA?AU KUTOKANA NA KUKITHIRI KWA UJINGA KUMEFANYA WASAHAU KUSHEREKEA SIKU HII MUHIMU?
  17. Intelligent businessman

    Kisa Cha Mume, Mke jeuri na Punda kimenichanganya kuhusu sala la ndoa

    Mkulima mmoja mzee kijijini alikuwa na mke aliyependa sana kumbugudhi bila huruma. Kuanzia asubuhi hadi usiku na wakati mwingine hata usiku wa manane, wakati wote alikuwa akimlalamikia kuhusu chochote. Wakati pekee aliopata nafuu ni ule wakati aliokuwa nje shambani akilima na punda wake mzee...
  18. ASIWAJU

    Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

    Kwa kuwa bado sisi watu weusi maarufu kama Waafrika hatuja pata akili ni vyema basi swala zima la uongozi tuachie wazungu na watu jamii za mashariki mwa asia ya mbali (wachina, wajapan, wakorea .........) Sisi kama watu weusi cha kufanya sasa kuanzisha mpango kabambe wa kukopa watu kutoka...
  19. DR HAYA LAND

    Je, Serikali inazungumziaje suala la wanafunzi kukaa na njaa shuleni hadi usiku?

    Hivi Mwanafunzi anayeshinda na njaa kuanzia Asubuhi hadi usiku saa tatu. Hapa Dar es Salaama unakuta 90% ya wanafunzi wa shule za serikali wanaamka saa kumi na moja na kuanza kugombania daladala na wakifika shule hamna uji Wala chakula na mwanafunzi ili Afike kwao Mbagara, Gongo la Mboto au...
  20. William Mshumbusi

    Kama Feisal Salum angekuwa sio mtanzania, TFF isingeweka kiza kwenye suala lake. Akijichukulia ni Mzanzibari atapatiwa haki haraka

    Baada ya Tff kutoa hukumu yenye maneno matano tu "Feitoto "Ni mchezaji halali wa Yanga kimkataba" Kwenye press release na hukumu waliyomtumia bila kufafanua chochote kwenye mkataba Licha ya kuomba kila Mara nimegundua anaonewa kwasababu mbili kuu. Kwanza Ni mtanzania na Yuko chini ya Tff hivyo...
Back
Top Bottom