suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye Rais atakayeongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. Ni suala la muda tu kila mtu atamuelewa dhamira yake kwa Watanzania

    Nawasalimu Kwa Jina la JMT. Kama Thread inavyojieleza,Huyu Mhe.Rais Samia Mimi binafsi naona amebeba maono makubwa sana ya Nchi hii, malengo yake ni makubwa,kila nikimtazama natamani Watanzania wote muelewe Dhamira yake ilivyo Kubwa ya maendeleo na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Sababu Kubwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Cheyo: Inaonekana Serikali haina nia ya dhati kwenye suala la Katiba Mpya

    Akiongea kwenye kikao cha wadau wa masuala ya siasa nchini. Amesema kuwa hoja za serikali za kutaka watanzania wapewe elimu kwanza ndo tuanze kujadili habari za katiba ni chenga ya kutotaka wananchi wapate katiba mpya 1. Kahoji ni elimu gani ya katiba inayohitajika ambayo haikutolewa na Jaji...
  3. JamiiForums Tanzania Suala la Salim Kikeke kuhamia EFM na akili za watanzania

    Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm. Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo. Tanzania ni...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Mafuta Spika acha unafiki ulishauriwa uunde tume mwaka mmoja umepita ukapuuza

    Suala la Mafuta Spika acha unafiki hili suala ulishauri tangu Juni 2022 kwamba unda Tume kuchunguza ukakaaa kwa sababu ulitaka kumlinda Waziri Januari Makamba kwa manufaa binafsi unayoyajua wewe. Leo umeona Makamba hayupo ndio unajifanya kuunda tume ukamchunguze Dotto Biteko huku ukijua...
  5. JamiiForums Tanzania Joseph Selasini: Watu hawaangalii hoja bali dini ya anayekosoa na anayekosolewa

    Joseph Selasini wa NCCR-Mageuzi amesema kuna tabia imezuka ambayo yanaweza kuhatarisha tunu tulizonazo ikiwemo amani. Amesema kwa sasa mtu akikosoa badala ya kuangalia hoja watu wanaangalia dini ya anayekosoa na dini ya anayekosolewa na kuleta hoja ya udini, suala ambalo si jema kwa ustawi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mapungufu 10 ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania. Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.
  7. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaohusisha mkataba wa bandari na suala la udini wanafahamu kuwa ukosoaji haujaanza mwaka huu?

    Tokea suala hilo liibuke, takriban miezi miwili sasa, kumetokea makundi makuu mawili. Kundi la kwanza ni la wanounga mkono huo mkataba. Na kundi la pili ni la wanoupinga, wengi wao wakitaka baadhi ya vipengele virekebishwe. Binafsi, nipo upande wa wanaotaka huo mkataba urekebishwe ili uweze...
  9. JamiiForums Tanzania Kuling'ang'ania suala DP World kuchukua Bandari ni dhahiri kuna Viongozi wamelipwa Fedha

    Licha ya makelele yote haya kwa Wananchi, Mashinikizo ya Wanasiasa na sasa Matamko ya Viongozi wa Dini kupinga suala la Dubai kuwekeza kwenye Bandari zetu inaonesha kabisa Kuna watu wamelipwa fedha nyingi wameahidiwa mgawo mkubwa sana endapo jambo hili litaanza utekelezaji nchini including namba...
  10. JamiiForums Tanzania Natoa wito IGP Wambura ajiuzulu mara moja

    Natoa Wito kwa Inspecta Jenerali wa Polisi Bwana Carmillius Wambura , kuachia madaraka yake haraka kwa vile haaminiki tena na Watanzania, hii ni kwa sababu anatumika kubambikia watu kesi za uongo za Uhaini Huku akijua Wazi kwamba hana Ushahidi wowote, kudukua akaunti za Mwabukusi baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Wapinzani wanarukia hatua juu ya suala la mkataba wa Bandari

    Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo: Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali...
  12. JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

    Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai. Nape ameandika kupitia Twitter -- MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
  13. JamiiForums Tanzania Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

    Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi. Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake. Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa? Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
  14. JamiiForums Tanzania Suala la kuomba unyumba na kunyimwa linaumiza sana

    Usiku unaambiwa amechoka hadi asubuhi, asubuhi unambiwa ngoja nimalizie usingizi, yani unapigwa danadana kama unaomba kazi vile au nini. Af we unahasira mtu kakunyima, anaingia kwenye simu anakuonesha ujinga ujinga aloukuta huko mitandaoni anadhani we uko kwenye mood ya kucheka. Kuna wanawake...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usiongee lolote juu ya suala la DP World kwa sasa. Ukimya wake unawatesa mno, acha waendelee kuteseka huku ujasiri na matokeo vikikubeba

    Kwa kuwa kuna pande mbili zinazotofautiana kwenye uwekezaji wa bandari na pande hizi zimeonesha wazi ni pande za kisiasa. Upande wa wanaopinga uwekezaji wakiongozwa na CHADEMA na upande unaokubaliana na uwekezaji wakiongozwa na CCM. Pande zote mbili zinapenda kusikia lolote kutoka kwako hasa...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya suala la bandari kupita huku kinachofanyika ni kelele tu hakuna la kubadirika

    UTANGULIZI rais Samia ameshasema yeye atajibu kwa vitendo na pia Kuna fununu kuwa hata wasaidizi wake wameambiwa wasijibu maana hakuna kurudi nyuma tena KIHISTORIA Hakuna jambo liliwahi kushindikina kimvuatano Kati ya CCM na upinzani na upinzani ukashinda kama lipo litaje ? Hakuna taasisi...
  17. JamiiForums Tanzania FCC yasema suala la Muungano wa Mwekezaji na Simba wameshalifunga

    Akifafanua hali ya sintofahamu inayoendelea kuhusu mchakato wa uwekezaji unaendelea kati ya Klabu ya Simba na mwekezaji Mohamed Dewji ‘Mo’, Mkurugenzi Mkuu Tume ya Ushindani (FCC), William Erio amesema kinachoangaliwa na watu wengi ni upande wa Mwekezaji na kusahau kuhusu kile kinachotakiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa nini DP World ya Dubai wako kimya kweye hili suala la mkataba?

    Nimekuwa najiuliza hili swali lakini bado sijapata majibu. Huu mkataba ni baina ya sehemu mbili, The said Tanzania na DP World ya Dubai. Huku Tanzania viongozi wa nchi na CCM wanajitahidi kutotoa ukweli kuhusu huu mkataba, na wameshajiwekea uadui mkubwa na watu wanao oji uhalali wa mkataba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba acheni usanii juu ya suala la kipa wenu

    Napata shida kubwa juu ya tetesi zinazoendelea ya kwamba simba inaweza kumtema kipa mbrazil aliyesajiliwa hivi karibuni kwa sababu eti ana majeraha!!! Siwezi kusema Sana juu ya tetesi inawezekana ikatokea kweli ama isitokee, lakini Kama ni kweli basi kuna wahuni wanaendelea kupiga 10% kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Suala la dini litanikosesha ndoa. Naombeni ushauri

    Wakuu naandika huku nina stress. Huwa ni mzito wa kuongelea mambo yangu ya mapenzi ila hapa JF naona ni sehemu sahihi ya kuomba ushauri kwasababu kila mtu yupo huru kwa feki ID. Kiufupi mimi ni kijana mdogo wa miaka 37, mkristo na mwanachama wa CCM. Baada ya kumpata msichana tuliyependana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…