Hili suala la timu ya kigeni kuja na kila kitu chake na kukataa vitu vilivyoandaliwa kwaajili yao limekaaje kikanuni?

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,684
Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu huu mtamu. Au fair play inahusika ndani tu ya uwanja na sio kitu cha lazima? Wenzetu ulaya wapo hivi hivi?!!!

Sio mpenzi wa simba na kwa hakika natamani wafungwe 5 bila lakini nachukia hv vitendo visivyo vya kirafiki.
 
Hadi wale weusi wenzetu wamefanya hivyo hivyo.

Wawe wanakuja na ma tent ⛺ kabisa ili wasiingie hata kwenye hotel zilizopo hapa Tz.

Kwasababu unabeba kila kitu lakini unaenda kulala Hyatt au Serena.
 
Al Ahly wana ndege yao kwa hiyo ishu ya kubeba mapipa au mizigo mingine ambayo mnashangaa wala siyo suala la kujadili kihiiivyo. Inawezekana wakirudi hiyo mizigo inabaki kwenye ndege hadi watakapokuwa na safari nyingine. Nunueni ndege zenu ndiyo mtaelewa haya mambo.

Kibongobongo kuna vitu vya kawaida tu wakati mwingine kupata ni ishu kwa hiyo wanakuja wamejizatiti ili wasisumbuke.
 
Sasa broo wew unalazimisha mgeni ale kwako au alale kwako na kasem ntakula hotelini au ntalal hotelini una hoja dhaifu san huwez lazimisha mtu katik mambo ya meal and accomodation kikubwa si anajiwez eeh anajilipia yey sasa unatak nini tena kwamba umlazimishe
 
Muwe mnaelewa basi, nauliza kanuni tulizohazo hazijagusa huko?!!!!
 
Waliosababisha haya yote ni Simba. Simba ni wajinga sana na wanaendekeza sana USHIRIKINA. Pia inasemekana wachawi wengi hapa Tz ni mashabiki wa Simba. Hizi takwimu zimechukuliwa kwa baadhi ya waganga wa kienyeji waliohojiwa. Ila inasemekana kuwa kwenye nyumba za ibada wanaohudhuria kwa wingi ni mashabiki wa Yanga.

Hii naweza kuiamini kwasababu katika maisha ya huko vijiweni na makazini wanaoendekeza ushirikina ukifuatilia utakuta ni shabiki wa Simba
 
NA TAYARI AJALI IMETOKEA KWA MASHABIKI WA SIMBA WALIOKUWA WANAKWENDA DAR.

SIMBA HEBU ACHENI HAYA MAMBO YA GIZA, YAANI MPO RAZI DAMU IMWAGIKE ILI TU MSHINDE
 
Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu huu mtamu. Au fair play inahusika ndani tu ya uwanja na sio kitu cha lazima? Wenzetu ulaya wapo hivi hivi?!!!

Sio mpenzi wa simba na kwa hakika natamani wafungwe 5 bila lakini nachukia hv vitendo visivyo vya kirafiki.
Waulizwe NYUMA MWIKO FC,,wao ndy waliokwenda kuwaambiya wapinzani wa simba kwamba wakija wawe makini nq vyakula na malazi yao,,
Kwamba simba watawawekea sumu kwenye chakula na vyumba vya kubadilisha nguo.
 
Back
Top Bottom