stress

In linguistics, and particularly phonology, stress or accent is the relative emphasis or prominence given to a certain syllable in a word or to a certain word in a phrase or sentence. That emphasis is typically caused by such properties as increased loudness and vowel length, full articulation of the vowel, and changes in tone. The terms stress and accent are often used synonymously in that context but are sometimes distinguished. For example, when emphasis is produced through pitch alone, it is called pitch accent, and when produced through length alone, it is called quantitative accent. When caused by a combination of various intensified properties, it is called stress accent or dynamic accent; English uses what is called variable stress accent.
Since stress can be realised through a wide range of phonetic properties, such as loudness, vowel length, and pitch (which are also used for other linguistic functions), it is difficult to define stress solely phonetically.
The stress placed on syllables within words is called word stress. Some languages have fixed stress, meaning that the stress on virtually any multisyllable word falls on a particular syllable, such as the penultimate (e.g. Polish) or the first (e.g. Finnish). Other languages, like English and Russian, have lexical stress, where the position of stress in a word is not predictable in that way but lexically encoded. Sometimes more than one level of stress, such as primary stress and secondary stress, may be identified.
Stress is not necessarily a feature of all languages: some, such as French and Mandarin, are sometimes analyzed as lacking lexical stress entirely.
The stress placed on words within sentences is called sentence stress or prosodic stress. That is one of the three components of prosody, along with rhythm and intonation. It includes phrasal stress (the default emphasis of certain words within phrases or clauses), and contrastive stress (used to highlight an item, a word or part of a word, that is given particular focus).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Dunia hii vilaza ndo wanafanikiwa, wenye akili wanaishia kufa kwa stress

    Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk. Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza. Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale...
  2. Makundi ya watu yanayoishi kwa stress kwenye jamii

    Naandika leo jumapili hii nikitulia home baada ya kupita mtaa mmoja hivi nikayashuhudia haya. 1. Dada wa kazi. Hili kundi uongozwa kwa kuwa na stress hasa leo jumapili maboss zao na familia nzima wakiwa home angalau siku za kazi kwa mabosi wasioshinda home urudi jioni plus watoto kuwa shule...
  3. Jinsi ya kujenga nyumba yako bila stress au kuvunjika moyo: vigezo vya kumchagua fundi wa ujenzi mwenye uzoefu na ubora

    JINSI YA KUJENGA NYUMBA YAKO BILA STRESS AU KUVUNJIKA MOYO: VIGEZO VYA KUMCHAGUA FUNDI WA UJENZI MWENYE UZOEFU NA UBORA Mwandishi: MwlRCT UTANGULIZI Je, unajua kwamba uchaguzi wako wa fundi wa ujenzi unaweza kuathiri sana ubora na gharama ya nyumba yako? Kama unataka kujenga nyumba yako, ni...
  4. SoC03 Jinsi ya kupunguza/ kujiondolea stress haraka ili upate amani na furaha

    Na mimi huwa natumia hizi njia kama naona nna mawazo sana. Kwaiyo nawe zinaweza kukusaidia. Stress huanzia pale unapokubali kuendeshwa na mawazo yanayokujia. Bongo zetu ni mashine za mawazo, bila kujali ni mazuri au mabaya. Yenyewe inachapisha tu. Sasa pale ubongo unapochapisha mawazo mabaya...
  5. D

    Uzi maalum kwa wenye magari mabovu tu: Tupeane uzoefu na motisha na namna ya kuishi nayo

    Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa! Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye magari mapya kaeni pembeni mle popcorn kidogo! Hapo namaanisha wale ambao magari yetu tunayajuya...
  6. Jiulize haya ili uweze kufanya maamuzi haraka na ujipunguzie mzigo wa mawazo (stress)

    Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza; ~ Ni kitu gani nataka? ~ Kitanifanya nijisikiaje? ~ Je, kitanisaidia kusonga mbele? ~ Ni kitu gani ningependa kitokee? Ukishajipatia majibu ya hayo...
  7. J

    Afya ya Akili: Ni vitu gani unajifanyia kama ishara ya kujijali, kujithamini na kujipenda?

    Kujijali (Self-Care) kuna maana tofauti kwa kila Mtu, na wote tuna namna yetu ya kujijali ili kupunguza Msongo wa Mawazo (Stress) na kulinda Afya ya Akili Kwa wengine, kujionesha Upendo ni kwa kujinunulia kitu kipya, kusafiri au kutembelea sehemu mpya, kutenga muda wa kupumzika au kufanya...
  8. True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Wakuu ni alfajiri hii siku ya leo, usishangae kwa nini nimeshika simu nakukaa kuandika uzi huu badala ya kujifunika gubigubi blanketi, hapo ujue ni kuwa usingizi umenipaa na dakika kadhaa zilizozopita nimetoka kumaliza kumeza kidoge kimoja kukamilisha dozi yangu ya siku ya 28 ya dawa za PEP (...
  9. D

    Aliyekuwa anakupeleka hotels kubwa na adventures ndio huyo huyo akuoe, tusipeane stress ukubwani

    Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa. Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress...
  10. D

    Miongoni mwa vitu vichache vinavyoongeza stress hivi hapa

    Asikwambie mtu! Stress inaumiza sana watu pasipo sababu! Haya hapa ni mambo machache tu yanavyoweza kuongeza stress! Kushabikia litimu ambalo linafungwa au kubahatisha ushindi Kuwa na mme mlevi asiyejali familia (kwa wanawake) Kuwa na mke ambaye period haitabiliki (kwa waume) Kuwa na bosi...
  11. Sehemu gani mzuri ya kwenda kupunguza stress za mapenzi?

    Mambo, Nisehemu gani mzuri ya kwenda kupunguza mawazo jamani? Una amka vizuri lakini mapenzi yana kuvuluga, khaa!
  12. Unatumia mbinu gani kukabiliana na Stress za kazi?

    Stress kwasababu ya Kazi inapokuwa kubwa kupita kiasi, inaweza kukuathiri kimwili na kihisia Kwa watu wengi, sio rahisi kuepuka 'Stress' hata kama unapenda kile unachofanya Unarudi vipi kwenye mstari mambo "yanapokuwa mengi" kazini? ===== Work-related stress can get the best of us all...
  13. M

    Msichana aliye na miaka 25 ana stress za ndoa kuliko mwenye 30

    Msichana akifika miaka 25 anatakiwa awe na mchumba anaeonyesha malengo laasivo STRESS HAZITAISHA KWA DADA ZETU
  14. Kuna mwana CCM atagombea Urais mwaka 2025 dhidi ya Samia Suluhu?

    CCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM? Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye...
  15. Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

    Nakumbuka nilihitimu chuo nikiwa umri mdogo tu wa miaka 24 kasoro miezi kadhaa. Kwa enzi zile za JK sikuwa na shida sana ya kupata ajira kwahiyo nilianza ajira kwenye sekta binafsi siku chache tu baada ya mtihani wa mwisho chuo ilikuwa Julai. Pia tangu nikiwa chuo nilikuwa nikijishughulisha...
  16. Bila JF ningekuwa nimeshajinyonga zamani au kufa kwa Stress na upweke

    Kuna watu wengi humu wapweke sana. Na wengi wana matatizo ya akili. Wengi sana. Kuna mtu utakuta kiakili anaamini anasemwa yeye tu kumbe ndo afya ya akili ime-shake hapo. Anakuja kuanzisha uzi humu. " Mnikome sana. Mnanisema mmenizaa nyie?na mkipata shida msije omba msaada mbwa nyie...mtaishia...
  17. Nina stress nimekuwa mlevi na malaya, naona nitakufa

    Nilikopa benki 20 mil nimeimaliza na mademu na pombe. Msinitukane nihurunieni. Chanzo cha haya mambo ni kushushwa cheo. Magufuli alifanya wazembe wote wakaa pembeni. Wahuni mtatuua Ghafla baada ya kuingia mama Samia, akapangua pangua. Bahati mbaya tukaathirika kwenye eneo langu na nikawekwa...
  18. Anayehitaji saidia fundi, fundi seremala mwanafunzi au msaidizi wa kazi yeyote inayohitaji nguvu Dodoma anisaidie

    Habari za leo wakuu. Napitia kipindi kigumu sana kiuchumi Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kibarua cha malipo ya siku au vyovyote vile nipo tayari. Naweza kufanya saidia fundi au kazi yoyote ya nguvu. Nina uwezo wa kutumia cherehani kwa ufasaha kabisa Au kama unaweza kunielekeza...
  19. J

    Nawezaje kuishi na Mtu mwenye changamoto ya Afya ya akili?

    Habari Wana JF, Naombeni ushauri ndugu zangu namna ya kuishi na mtu mwenye stress over. Nimeshagundua rafiki yangu anatatizo la afya ya akili kwasababu. Ni mtu mwenye hasira muda mwingi Hana furaha kwasababu mnaweza kukaa siku nzima usione anachekaa. Muda mwingi analalamika hata likitokea...
  20. Njia 10 za kuondoa Stress na Uchovu kwa haraka

    1. Pitia picha zako zako za zamani kidogo, Picha za tukio moja wapo lililokufurahisha au za mtu mwingine yeyote wa karibu yako! 2. Fungua madirisha na kuruhusu mwanga na hewa kupita kwa kiasi kikubwa. Epuka kukaa sehemu yenye mwanga mdogo kwani hufanya hali yako ya uchovu au stress kuwa juu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…