Regression: Rushwa ilivyonitajirisha, stress na depression zinanitesa mniombee

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,840
Mods tafadhali msifute huu uzi wangu hili kuwapa funzo watumishi wa umma wapya wanaongia kwenye utumishi wa umma kwa lengo la kujitajirisha kuliko kuwahudumia wananchi

Mie ni mtumishi wa umma makao ya nchi kiukweli siku za hapa karibuni nimekuwa na majuto ambaye yanapelekea ufanisi wangu wa kazi kusshuka siku baada ya siku aiseee nakiri from chamber my heart Nimekuwa mla rushwa wa kupindukia within 3 year ya utumishi nimejilimbikiza pesa za kutosha kupitia talkrima mpaka najuta aisee

Yaani kwa mwezi kuingiza milioni 20 za rushwa na ujinga ujinga ni kawaida kupitia ndani ya miaka nimweweza kujenga vitega uchumi vingi sana isee nimealbort sana,nimeiba dawa sana,nimefanya majungu sana mpaka imepelea baadhi ya watu kufukuzwa kwa sababu ya majungu yangu wakuu

Mpaka sasa ninafikiria kutoa mamilioni yangu kwa watu wenye uhitaji ili niwe clean ili niweze kupata amani ya moyo na roho na nafsi aisee9# dunia tunapital_ sam mpangala#🤥🤥😫😫😫

This regression indeedl! Najuta sana mmmmmh
 
Mpaka sasa ninafikiria kutoa mamilioni yangu kwa watu wenye uhitaji ili niwe clean ili niweze kupata amani ya moyo na roho na nafsi aisee9# dunia tunapital_ sam mpangala#

Mungu akupe wepesi kwa uamuzi wako wa kiungwana... Ukianza kugawa manoti usisite kunijulisha, nayahitaji sana hayo manoti!! 🤎
 
JamiiForums1964343086.gif
 
Mods tafadhali msifute huu uzi wangu hili kuwapa funzo watumishi wa umma wapya wanaongia kwenye utumishi wa umma kwa lengo la kujitajirisha kuliko kuwahudumia wananchi

Mie ni mtumishi wa umma makao ya nchi kiukweli siku za hapa karibuni nimekuwa na majuto ambaye yanapelekea ufanisi wangu wa kazi kusshuka siku baada ya siku aiseee nakiri from chamber my heart Nimekuwa mla rushwa wa kupindukia within 3 year ya utumishi nimejilimbikiza pesa za kutosha kupitia talkrima mpaka najuta aisee

Yaani kwa mwezi kuingiza milioni 20 za rushwa na ujinga ujinga ni kawaida kupitia ndani ya miaka nimweweza kujenga vitega uchumi vingi sana isee nimealbort sana,nimeiba dawa sana,nimefanya majungu sana mpaka imepelea baadhi ya watu kufukuzwa kwa sababu ya majungu yangu wakuu

Mpaka sasa ninafikiria kutoa mamilioni yangu kwa watu wenye uhitaji ili niwe clean ili niweze kupata amani ya moyo na roho na nafsi aisee9# dunia tunapital_ sam mpangala#🤥🤥😫😫😫

This regression indeedl! Najuta sana mmmmmh
Mtama Kwa watoto.
 
Jipige kifua sema mimi ni mwamba.
 
Mods tafadhali msifute huu uzi wangu hili kuwapa funzo watumishi wa umma wapya wanaongia kwenye utumishi wa umma kwa lengo la kujitajirisha kuliko kuwahudumia wananchi

Mie ni mtumishi wa umma makao ya nchi kiukweli siku za hapa karibuni nimekuwa na majuto ambaye yanapelekea ufanisi wangu wa kazi kusshuka siku baada ya siku aiseee nakiri from chamber my heart Nimekuwa mla rushwa wa kupindukia within 3 year ya utumishi nimejilimbikiza pesa za kutosha kupitia talkrima mpaka najuta aisee

Yaani kwa mwezi kuingiza milioni 20 za rushwa na ujinga ujinga ni kawaida kupitia ndani ya miaka nimweweza kujenga vitega uchumi vingi sana isee nimealbort sana,nimeiba dawa sana,nimefanya majungu sana mpaka imepelea baadhi ya watu kufukuzwa kwa sababu ya majungu yangu wakuu

Mpaka sasa ninafikiria kutoa mamilioni yangu kwa watu wenye uhitaji ili niwe clean ili niweze kupata amani ya moyo na roho na nafsi aisee9# dunia tunapital_ sam mpangala#

This regression indeedl! Najuta sana mmmmmh
Huu mwandiko hauana mamilioni unakataaa
 
Mods tafadhali msifute huu uzi wangu hili kuwapa funzo watumishi wa umma wapya wanaongia kwenye utumishi wa umma kwa lengo la kujitajirisha kuliko kuwahudumia wananchi

Mie ni mtumishi wa umma makao ya nchi kiukweli siku za hapa karibuni nimekuwa na majuto ambaye yanapelekea ufanisi wangu wa kazi kusshuka siku baada ya siku aiseee nakiri from chamber my heart Nimekuwa mla rushwa wa kupindukia within 3 year ya utumishi nimejilimbikiza pesa za kutosha kupitia talkrima mpaka najuta aisee

Yaani kwa mwezi kuingiza milioni 20 za rushwa na ujinga ujinga ni kawaida kupitia ndani ya miaka nimweweza kujenga vitega uchumi vingi sana isee nimealbort sana,nimeiba dawa sana,nimefanya majungu sana mpaka imepelea baadhi ya watu kufukuzwa kwa sababu ya majungu yangu wakuu

Mpaka sasa ninafikiria kutoa mamilioni yangu kwa watu wenye uhitaji ili niwe clean ili niweze kupata amani ya moyo na roho na nafsi aisee9# dunia tunapital_ sam mpangala#🤥🤥😫😫😫

This regression indeedl! Najuta sana mmmmmh
kutoka kweye hiyo takrima hebu tuma sadaka 100k nikuombee toba
 
Back
Top Bottom