Hahahaha sio mwenyeji wa gomz kaka uliza sinza 😂Moshi bar au Mwisho wa lami😂
Nipo KABAGHO LIQUORShikamoo bar au Mawela?
Binadamu kwa kweli tumeumbwa tofauti sana. Eti hii ni romantic date? Kuangalia sunset? 😁😁😁 Eeeh...what is romantic about that?The sunset💕View attachment 3609280
Napa miss NAF beach😭😪Jioni ya leo wakati wa kuzama jua hapa masasi mtwaraView attachment 3609301
Mabadiliko ya Mwanga (Golden Hour): Rangi za chungwa, nyekundu, na pinki angani kitaalamu huamsha hisia chanya na kumfanya kila mtu aonekane mwenye kuvutia zaidi machoni mwa mwenzake.😂Binadamu kwa kweli tumeumbwa tofauti sana. Eti hii ni romantic date? Kuangalia sunset? 😁😁😁 Eeeh...what is romantic about that?
Kumbe 😁😁Mabadiliko ya Mwanga (Golden Hour): Rangi za chungwa, nyekundu, na pinki angani kitaalamu huamsha hisia chanya na kumfanya kila mtu aonekane mwenye kuvutia zaidi machoni mwa mwenzake.😂
Mshana una range miaka mingp??Hapo hapajambo.. Serengeti inasubiriView attachment 3609303
Hii ni location ya chiungutwa Village wastani wa km 30 kutoka masasi mjini kupita newala road.Napa miss NAF beach😭😪