story

  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gazeti hili la Pakistan limesahau kuondoa prompt ya ChatGPT mpaka gazeti limefikia wasomaji

    Wakuu Nimewaza tu hivi hili gazeti halina wahariri pamoja na cross checkers? Au hawa walikuwa wanawahi wapi to the point wamefanya kosa la wazi kama hili? ======== Gazeti maarufu la Kiingereza nchini Pakistan, Dawn, limeingia kwenye headlines duniani baada ya prompt ya ChatGPTkusahaulika...
  2. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kupiga story?

    Guys najaribu kupost uzi kwa mara ya kwanza kwenye JF mpya tena kwa VPN, yeey! Okay nipo bored, njooni tupige story mbili tatu, nipo Unguja sijui kwanini nikiwa huku nakua bored kuliko nikiwa Dar.....
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Godfather of Harlem S04 wameishiwa ubunifu na story waiue tu

    Wamemleta Frank Lucas ambaye sioni kama hata ana kauhalisia kwa mbali Bumpy yupo soft sana na hata hawa Gang leaders wengine hawana mvuto. The story is boring sana. Wanakosa stories za maana, wanakosa ubunifu. Wamechoka sana.
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Hii story ya Barbara Hassan imenisikitsha. Nini husababisha majirani kuwa kimya namna hii?

    Wakuu, Nimekutana na clip hii ya mtangazaji wa kipindi cha asubuhi wa Mjini FM, Barbara Hassan akiwa anazungumzia kuhusu mtoto wake. Anasema alikuwa na dada wa kazi ambaye alikuwa anamsaidia katika malezi ya mtoto. Kumbe huyo dada alikuwa na tabia ya kumnyanyasa na kumtesa mtoto wake kwa...
  5. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story tu?

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania True Story: Kutoka kwenye kuongea kithembe na kuguguma guguma Mpaka kuwa Mwalimu Mahiri wa Kwaya

    TRUE STORY: KUTOKA KWENYE KUONGEA KITHEMBE NA KUGUGUMA GUGUMA MPAKA KUWA MWALIMU MAHIRI WA KWAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kama kuna jambo unadhani huliwezi, nakuhakikishia unaliweza. Kama unadhani kuna jambo unalihitaji na umekata tamaa kulipata. Nakuhakikishia huja haja ya kukata...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JF Story: Shambulizi la kinyama chuo cha Garissa

    Mnamo Aprili 2, 2015, mwendo wa saa 11:30 alajiri, Chuo Kikuu cha Garissa kilichoko Garissa, Kenya, kilikumbwa na ugaidi pale watu wanne wenye silaha waliojifunika nyuso zao kutoka kwa kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab walipovamia chuo hicho. Washambuliaji hao, wakiwa na AK-47 na mikanda ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JF STORY TIME: Ugaidi katika Westgate; Moja ya Siku ya Giza zaidi jijini Nairobi

    Jumamosi yenye shughuli nyingi, Septemba 21, 2013, Mall ya Westgate lilikuwa imeshamili wanunuzi, familia, marafiki, na wafanyakazi. Majira ya saa 12:30 jioni, watu wanne wenye silaha waliojifunika nyuso zao kutoka kwa kundi la wanamgambo wa Kisomali al-Shabaab walivamia jumba hilo la maduka...
  10. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Story : Jamaa wa pool table alivyowaingiza 18 wadau team jobless

    Kuna mahali alikuja kijana mmoja mgeni akakuta wenyeji akauliza hakuna mchezaji tucheze bukubuku mwenyeji mmoja akasema labda buku mbili mbili jamaa akasema sawa Wanacheza mgeni akaliwa game 5 mgeni akasema twende ten ten mgeni akaliwa game 3 ikawa jumla kaliwa 40000 mgeni akasema twende laki...
  11. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Story yangu na dem mpya wa msanii nusu nimle 2022

    Basi bwana mimi boss ashampoo 2022 nilikuwa napenda sana kutoka kila week kuanziia jmosi hadi jpili sometimes nikiwa na hela naanzia jpili Basi nilikuwa nakaa enzi hizo makumbusho apartment fulani sasa kuna hiyo company yangu fulani wao walikuwa wanakuja kwangu siku ya jumapili saa...
  12. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Producer Aliyeweka Mapenzi Kwenye Beat – Story ya Manu Lima!"

    Sasa sikia kaka, kama ulikuwa na redio ya betri au home kulikuwa na deck, halafu muziki unaopigwa ni wa Oliver N'Goma, Monique Séka au Mbilia Bel – basi bila hata kujua ulikuwa unasikiliza kazi ya Manu Lima, yule jamaa mkali aliye-produce midundo ya kukata mauno, kutema mistari ya kihisia, na...
  13. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Tufanye Kitu gani kuepukana na hizi story?

    Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao. Wengi walipata "bahati" sio ya kuwa matajiri, ila bahati ya kushika pesa nzuri kwenye ujana wao. Ila baada ya muda, pesa zikawakimbia. This is not a...
  14. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu Yupo Gerezani na Hamjaandamana, Mtaizuiaje Uchaguzi?

    Story ya Kijiweni: “No Reform No Election ni Scam ya Kisiasa” Basi bwana, tulikuwa tumekaa pale kwa Mangi—mahali pa mishikaki na siasa. Unajua sehemu kama ile ukikaa dakika tano tu, lazima mjadala wa kisiasa ushike moto. Siku hiyo moto uliletwa na kauli ya Chadema: "No Reform No Election."...
  15. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Ulevi na Kulewa Wikiendi: Kufurahia Maisha au Kutoroka Realities?

    Ijumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni utamu wa maisha ama ni njia ya kutoroka yale tunayoshindwa kuyakabili kwa macho ya nyama na damu...
  16. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kama wewe na mke wako hampigi story za umbeya basi hamuendani

    Inakuwaje mke na Mme mkiwa ndani kila mtu yuko bize na simu na TV? Ukiona hivo basi nyinyi hamuendani yaani kuna nyumba zina raha sana mke na mme ni mwendo Wa story za kucheka tu mpaka wana lala Mfano nilikuwa nikirudi job namkuta mwenzangu naanzisha story mpaka nachoka mwenzangu hamna kit u...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wakuu tupige story. Iwe ni kichekesho, mzaha ya kweli au kitu chochote kile huwa ukikumbuka unacheka pekee yako

    Nyuma kabisa kwenye miaka ya 2002 bana nilikuwa copro wa kunyata kiasi kwamba hata nikikanyaga yai halivunjiki namna nilivyokuwa na nyata. Enzi hizo bana simu zilikuwa chache sana kwenye kijiji chetu kama sio kata nzima basi ni mzee wangu pekee ndo alikuwa nayo tena motorola. Basi bro yangu...
  18. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Nyuzi za 'true story' zilizowahi postiwa hapa JamiiForums

    Habari wanaJF, ninaomba kwenye uzi huu mtume link za nyuzi zote za stori za kweli zilizowahi kubamba hapa JamiiForums Mfano ile stori ya khumbu ya konda msafi, stori ya dereva Uber na mwanamke aliyebadilisha maisha yake n.k
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Story ya Bi Kilembwe yule wa Nchi ya Giningi AKAMATWE

    Kama umebahatika kusoma kile kitabu ni wazi kuwa yule mwandishi alikuwa anaishi future. Kama yuko hai akamatwe haraka sana na afunguliwe kesi ya uhaini, haiwezekani amseme vile. Pia waandishi wazuiliwe kuoandika mambo ya ukweli yanayoweza kupelekea wananchi kuchukia viongozi wao. Waandishi...
  20. youngkato

    JamiiForums Tanzania Story ya single mother kapanga gheto lake Mwanza

    Amepanga gheto lake, ameweka kila kitu. Kazi yake ni anazunguka mchimboni anatafuta pesa (Anafanya kazi halali) Akirudi Mwanza anakula bata wiki mbili af wiki tatu anapotea mjini.
Back
Top Bottom