stendi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. desmond3076

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya Stendi Kuu ya mabasi Bweri ni vichafu na vinatisha

    Hali ya vyoo vya stendi ya mabasi ya Bweri katika Halmashauri ya Manispaa ya Musoma ni ya kutisha. Vyoo hivyo ni vichafu, vimejaa, na masinki yameharibika, huku kukiwa hakuna maji kabisa. Pamoja na changamoto hizi, mamlaka husika zimeendelea kukusanya mapato bila kuchukua hatua yoyote ya...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka hazioni kero zinazotokana na kukosekana kwa Stendi eneo la Kawe Mwisho (Dar es Salaam)?

    Wakati Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ikiendelea kutoa vibali vya daladala kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea eneo la Kawe lililopo ndani ya Jiji hilo lakini katika hali ambayo inaleta mtanzuko sehemu hiyo ni muda sasa imeendelea kukosa stendi yenye hadhi...
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Buzuruga yageuka dampo la uchafu

    Baada ya stendi ya Buzuruga Mwanza kuhamishwa Na kuelekezwa Maeneo ya Nyamhongoro jijini Mwanza stendi hiyo ilibaki kama matumizi ya magari madogo bajaji pamoja na Dala dala katika jiji hilo Lakini kwa sasa hali imeanza kubadilika kwa Baadhi ya wafanya Biashara kugeuza maeneo ya katikati ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Latra na Polisi wanapodhibiti ajali kwa ukaguzi usiokuwa na tija stendi barabarani kukiwa hivi, wana mchuuza nani?

    Hii ndiyo hali ilivyo barabarani: Tuko kama tuliopagawa!
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Unyanyasaji na Rushwa ya ngono vinawaathiri Wanawake Wafanyabiashara Stendi ya Kuu ya Magufuli (Dar), Serikali ifuatilie haya madai

    Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo. Wanawake hawa, wanaojishughulisha kama mamalishe, Wabeba mizigo, makarani na wauzaji wa vinywaji, walinishirikisha changamoto nyingi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Responded Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Singida yasafishwa

    Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Singida ambavyo siku kadhaa nyuma viliripotiwa kuwa ni vichafu sana vimesafishwa. Nimepita eneo hilo na sasa angalau wakati huu ukiingia maliwato hayo ya Umma yanaleta unafuu wa kutumia tofauti na ilivyokuwa awali. Tunaomba wahusika hii isiishie hapa, usafi...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi mbona hamsemi Benk aliyehusika na utekaji wa Bonge ni ulinzi shirikishi Stendi ya Magufuli na pingu zimetoka hapo kituoni?

    Wakuu, Mnakumbuka kuna uzi niliweka kuwa baadhi ya waliomteka Bonge wanajulikana stendi ya Magufuli na wala siyo siri? Huyo Benk ni anajulikana vizuri hapo almaarufu kama Tall, baada ya tukio la bonge hakuonekana tena hapo Magufuli, na yule kaka mfupi kwenye video ni mdogo wa Benk! Hapo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Vyoo vya Wanaume Stendi Kuu ya Mabasi Singida ni vichafu sana, hizo 300 zinazokusanywa zinaenda wapi?

    Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa. Ushuru tunaolipa getini na kwenye huduma ya chooo unafanya kazi gani? Kwanini Manispaa isiweke kampuni ya usafi au watu maalum...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Geita inatoka dhahabu lakini Stendi yetu ya Mabasi kama Kijiji kilichotelekezwa

    Sisi Wafanyabiashara na wakazi wa Geita, kwa miaka mingi sasa stendi yetu imekuwa na miundombinu mibovu. Miaka nenda rudi kilio chetu kimekuwa ni uboreshwaji stendi yetu lakini hakuna kitu kinafanyika. Kipindi cha mvua tumekuwa tukipata shida sana kwani hii stendi huwa inajaa maji na hata...
  10. Suip

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Arusha haifanani na hadhi jiji la Kitalii

    Mmiliki wa stendi ya jiji la Arusha hana bajeti ya kukarabati na kufanyia usafi jengo la abiria? Jengo nichafu mabati yana vuja mpaka wanaweka maturubali juu yake. Kama mnajenga stendi mpya tangu enzi Rais Magufuli mpaka leo haikamiliki na pia hii ya zamani nadhani itaendelea kutumika na...
  11. U

    JamiiForums Tanzania KERO Hewa ya Mabibo Mwisho ni mbaya na chafu sana eneo la Stendi

    Kwema. Jamani kama Kuna watu wanavuta HEWA CHAFU hapa Dsm basi ni hawa watu wa mabibo mwisho hasa karbu na stendi Kwa ambao ambao hawajafika hili eneo Lina bwawa la maji taka Kuna mabwawa makubwa mawili aisee yanaleta harufu Kali sana sasa ukitembea maneno karbu na hata mabwawa stendi...
  12. ramadhani kimweri

    JamiiForums Tanzania Natafuta connection ya kazi stendi ya Kahama

    Wakuu nipo kahama natafuta kazi ya kupiga debe kamahama stendi Yeyote mwenye connection na magari nipo tayari kufanya kazi na campun yeyote nipo vizuri katika kushawishi na kuongea Msaada wana jamiiforums
  13. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu

    Alfajiri ya leo niliamka mapema sana nilikua na mdogo wangu anasafiro sasa nikampeleka Stendi kuu ya mabasi Tabora ili aweze kusafiri. Nilichoona sikuamini macho yangu, maana nimekanyaga Bahasha ya Kaki nikahisi kuteleza kumbe ndani ilikua na Jivi (Mavi) nikasogea kumpeleka bwana mdogo apande...
  14. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Hili soko la kimataifa EALCC linalojengea Ubungo stendi ya mkoa ya zamani naona kama litakuwa kama mlimani city tuu

    Kariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta au Kariakoo watu watakua hawaendi tena lakini sasa mnajionea wenyewe Kariakoo inakimbiza. Mi naona...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Mawasiliano kufungwa rasmi kupisha ujenzi wa karakana ya Mwendokasi

    Kituo cha Daladala Simu2000 kimefungwa leo Septemba 14, 2024 kupisha ujenzi wa karakana ya mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi. Karakana hiyo ni kwa ajili ya mradi wa mabasi hayo awamu ya nne. Viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia Mkuu wa Idara ya Biashara, Viwanda na...
  16. E

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Meneja Magufuli Terminal: Uhaba wa Maji Stendi umetokana na DAWASA kutotangaza kuwa maji yatakatika muda mrefu

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa malalamiko kuwa kuna changamoto ya maji ndani ya Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kwa siku mbili Agosti 28 na 29, 2024, ufafanuzi umetolewa. Kusoma alichokiandika Mdau bonyeza hapa ~ Stendi ya Mbezi Magufuli hakuna maji siku ya...
  18. greater than

    JamiiForums Tanzania Maeneo yafuatayo yanastahili Maboresho/Ujenzi wa stendi mpya za mabasai ya mikoani

    1.ARUSHA Hili ni jiji kubwa la kitalii hapa nchini na ndiyo makao makuu ya jumuiya ya afrika mashariki....pia mashindano ya AFCON yatafanyika huku. 2.KAHAMA Mji mkubwa kwa biashara za madini hapa nchini....lakini ni kitivo cha biashara za mazao kwenda mikoa ya magharibi na nje ya nchi 3.MBEYA...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla anakagua Stendi kama nani?

    Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume. Sasa hivi ameanza kutembelea vitu visivyomhusu, ametembelea Uwanja wa soka wa KMC, ambao ni uwanja wa Manispaa ya...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa vyoo Stendi Kuu Mbeya abiria wajisaidia kwenye ndoo

    Licha ya jitihada mbalimbali za Serikali kuhamasisha matumizi ya vyoo bora lakini maeneo yenye mikusanyiko ya watu, hali imekuwa siyo shwari kwa Stendi Kuu jijini Mbeya. Miongoni mwa maeneo hayo ni pamoja na stendi za mabasi na sehemu za biashara za vileo hali inayowalazimu kuwa na ndoo...
Back
Top Bottom