Leo nipo kikazi hapa ila nimeangalia mji ulivyo hapa kama mjini.
Una stendi nyingi za kwenda sehemu nyengine na cha kushangaza ndio yenye benk nyingi na zengine zinakuja.
Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9.
Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa
===========
Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa changamoto huku idadi ya abiria...
Laptop Yako Inapumua Kama viumbe vingine.
Laptop yako inahitaji kupumua kama binadamu na viumbe wengine. Inahitaji kuingiza hewa na kutoa hewa ili iweze kufanya kazi vizuri na kudumu kwa muda mrefu.
Kwa matumizi ya kawaida laptop ilitengenezwa kuweza kupumua juu ya meza lakini unapoiweka...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Bi. Mwajuma Nasombe @mwajumaa_abasy ametangaza Kurudi kazini kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo april 24, 2026.
Amesema hayo Leo, mbele ya Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro...
Leo nimekuta vibanda vyote huko stendi ya daladala Kawe kwa Mwamposa vilibomolewa. Baada ya vilio vya muda mrefu vya wakazi na wapanda daladala, serikali inaanza kuchukua hatua za kuboresha mazingira ya stendi au ni kusimamia kwa kanuni za eneo tu?
Natumaini sana hatimaye maboresho yatafanywa...
Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kueleza kushangazwa na hali ya uchafu ya vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda, kutokana na kujaa maji taka na hivyo kuweka rehani afya za watumiaji ambao wanaweza kupata magonjwa mbalimbali kama UTI, Mamlaka imetoaufafanuzi.
Kusoma hoja ya...
Leo Julai 16, 2025 nilikuwa nasafiri kutoka Mpanda kuelekea Sumbawanga, nikiwa Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda nilienda msalani, jambo la kushangaza na kutisha nimekuta vyoo upande wa Wanaume sio tu vichafu bali vimejaa maji taka hadi juu.
Naziomba mamlaka hususani hasa Mkurugenzi wa...
Kwani Sisi waafrika tuna laana gani jamani?
Hivi ni akili gani pale Morogoro kugeuza kituo cha daladala parking na kuacha daladala zishushe abiria sehemu ambayo hakuna kituo?
Ni nani aliyeturoga jamaniiiiiii!!!!!!!
Kuna wizi unafanywa na mawakala wanaokata gate pass za kukuruhusu wewe abiria kuingia kwenye stendi hiyo. Kawaida ukifika kituo hicho inabidii ukate gate pass yenye thamani ya Tsh 200, na unapewa risiti na kisha unaruhusiwa kuingia.
Tumefika stendi hiyo tukiwa wawili tukatoa 500, wakala akatupa...
KAWE KUTOKUWA NA STENDI RASMI YA DALADALA: NANI ALAUMIWE NA NINI KIFANYIKE?
Kawe ni moja ya maeneo yanayokua kwa kasi katika Jiji la Dar es Salaam. Watu wengi wanaishi, kufanyia kazi au kupita katika eneo hili kila siku. Pamoja na ukuaji huo wa haraka wa mji, Kawe bado haina stendi rasmi ya...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Milka Joseph Mkazi wa Chato Mkoani Geita, amejikuta katika wakati mgumu yeye na familia yake na watoto sita baada ya kutapeliwa Fedha kiasi cha Shilingi laki Moja na elfu kumi na Mbili katika kituo Cha mabasi Msamvu na mtu aliyefahamika kwa jina Moja la...
Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile.
Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
Anonymous
Thread
abiria
afya
babati
chakula
chipsi
hatarini
huduma
mabasi
stendistendi ya mabasi
usafi
Afisa Uhusiano wa Coca-Cola Kwanza, Maria Kimwaga, kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Emmanuel J. Mkongwa, wakati wa makabidhiano rasmi ya eneo la Stendi ya Msamvu kwa Kampuni hiyo.
Hafla ya makabidhiano ya eneo hilo ilifanyika katika ofisi za Mkurugenzi wa Manispaa...
Pale makoroboi stand ya dalala, kuna tuta(bump) kubwa, baada ya tuta hilo kuna mashimo makubwa sana katikati ya barabara.
Cha ajabu kwenye tuta hilo na chini ya tuta hilo utakuta zimepaki dalala juu ya tuta, zinapaki daladala tatu hadi nne kwa upana na kuacha sehemu ndogo sana ya barabara...
Hali ni mbaya kwenye stendi hiyo yenye daladala na ofisi za mabasi yanayoenda mikoani hasa mikoa ya kusini, abiria tunaofika kwenye stendi hiyo tunakumbana na kero kubwa, daladala na mabasi kuna wakati yanapata shida ya kupita kutokana na tope.
Lakini inashangaza kwa miaka yote Watu wa daladala...
Serikali imewekeza Fedha nyingi saana ambazo ni kodi zetu sisi walala hoi kwenye ujenzi wa Stand hii ya Nyegezi lakini leo nimesikitika kukuta chooni hakuna maji na ni kwazaidi ya miezi Sita(6).
Mkandarasi anayetoa huduma amejibu kwa wepesi tuu kwamba amewapigia simu watu wa mamlaka na...
Tunazo Ringlight Inch 12 – TZS 25,000 Tu!
Unatafuta mwanga mzuri kwa ajili ya kupiga picha au kurekodi video zako? Tunakuletea Ringlights za inch 12 kwa bei ya ofa TZS 25,000 tu!
Sifa za Ringlights hizi:
(i) Ringlight hizi zina (Mwanga wa LED wenye kiwango kinachoweza kurekebishwa
(ii)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.