special

Special forces or special operations forces (SOF) are military units trained to conduct special operations. NATO has defined special operations as "military activities conducted by specially designated, organized, selected, trained and equipped forces using unconventional techniques and modes of employment".Special forces emerged in the early 20th century, with a significant growth in the field during World War II, when "every major army involved in the fighting" created formations devoted to special operations behind enemy lines. Depending on the country, special forces may perform functions including airborne operations, counter-insurgency, counter-terrorism, foreign internal defense, covert ops, direct action, hostage rescue, high-value targets/manhunt, intelligence operations, mobility operations, and unconventional warfare.In Russian-speaking countries, special forces of any country are typically called spetsnaz, an acronym for "special purpose". In the United States, the term special forces often refers specifically to the U.S. Army Special Forces, while the term special operations forces is used more broadly for these types of units. Members of special forces units are often called "operators", a term originating with Delta Force.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakusolve

    Soma hapa kujua Special gift au spirtual gift nini, na zinatumikaje kwa choosen one(wateuliwa wa bwana) katika kutimiza wito wao

    Special gift nini, ni uwezo au vipawa anavyopewa mtu(choosen one) na Mungu kwa ajili ya kumsaidia kutimiza kusudi(calling) au wito duniani. Choosen one ni nani, ni mtu aliyechaguliwa na Mungu katika familia au ukoo kuvunja baadhi ya tabia au maagano(generation trauma) yaliyo kinyume na Mungu na...
  2. W

    FALSE Notice for the Special National Delegates Conference from ODM?

    Is this news published in the Daily Nation newspaper?
  3. Doto12

    Songesha: Special Thread

    Ikiwezekana iwe hapa hii thread napitia changamoto kadhaa na sio mara moja. mfano leo inakataa tatizo ni nini
  4. O

    International Women's Day: Mtaje that special Woman ambaye amechangia pakubwa kwa life yako

    As we celebrate International Women’s Day, today tunataka kusikia story yako. Ni nani yule special woman katika life yako? Mama, sister, friend, teacher ama mentor… how has she impacted your life? Maybe alikusupport wakati mambo ilikuwa ngumu, alikuinspire kufuata dreams zako, ama...
  5. Mshana Jr

    CHADEMA Special Thread

    Uzi wa matukio mbalimbali ya CHADEMA . Madhila wanayopitia.. Vita wanazopigana.. Mafanikio wanayopa .. Na namna wanavyomgaragaza adui kwenye kila kona.. Kila saa na kila wakati Karibuni wote! Friends and foes!
  6. X

    She is not special

    Leo nimekuwa na mjadala na mwanetu makaveli10 yeye anasema kuna wanawake ni level nyigine hata ufanyaje hauwezi kumpata. "Kuna mademu bongo we mwenyewe unawatamani lakini level ile si yako na katika maisha haya ya kawaida ya kila siku hamna muingiliano wowote, ni ngumu kutoboa." — Makaveli10...
  7. Kingsmann

    Ateba Gautier Special Thread: The Hardest Hitter in the UFC Right Now!

    Kuzaliwa: 10 Aprili 2003 (Miaka 23) Utaifa: Cameroonian Urefu: 193Cm Kwa sasa huyu dogo anatisha sana UFC. Wanamuogopa kama ukoma maana dogo ana "Ngumi Jiwe" haswa. https://youtu.be/5jslFPnu-iw?si=EhYcPO84gWQUGE2j
  8. uran

    Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

    AFCON 2025 – Analysis AFCON 2025 itafanyika nchini Morocco Mashindano yataanza 21 Desemba 2025 na yatamalizika 18 Januari 2026. Timu 24 zimepangwa kushindania. Kutakuwa na makundi 6 (Group A–F) na kila kundi litakuwa na timu 4. Group A Morocco, Mali, Zambia, Comoros Group B Egypt, South...
  9. Troll JF

    The country is heavily protected by Special Forces tuko Salama

    Watanzania husani vijana tuendelee kuchapa kazi nchi iko salama kwa vyombo vya ulinzi jinsi vinavyofanya kazi kwa sasa mpaka kwa muuza kahawa na mcheza bao mtaani. Nimesikia mwanaharakati mmoja anasema bunduki hazina Risasi ndugu za kuambiwa changanya na zako mwenzio yuko Marekani wa kuicha...
  10. Mshana Jr

    The countdown: Updates kuelekea D9 special thread

    Ni kama vile D9 ina baraka zote za kiroho! Na matendo ya kiroho hayapangwi na binadamu Vibe ni kubwa mno kuelekea D9 lakini kuna uvumi kila mahali kwamba inaweza isifike huko, na ya kwamba mambo yanaweza kuanza mapema kabisa kuanzia tar 5 na tarehe 9 ikawa ni kilele na hitimisho Hii ni mada...
  11. Mshana Jr

    Special thread: National geograpic best shorts

    A collection of animals, insects and other creatures photos taken by various professional photographers around the world...! Selected best shots! Wild Domestic Marine Enjoy the wonderful moments in the animal world❤❤❤📍 Credit goes to Facebook animal groups
  12. bro alex

    Bila promo ZeroBrainer endelea kuiheshimisha Tanzania

    Siku chache nilileta blames kuhusu Zero Brainer kutopewa nafasi kwenye michuano ya CHAN, ili tumpe nguvu na promo kulitangaza taifa. Kipindi naanza kumfatilia sikujua kama ni Mbongo, nilijua ni shabiki tu wa Tanzania. Baadaye nikashangaa alipodai ni Mbongo. Teuzi tunazitoa kwa kujuana na si...
  13. Isaka James

    Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    Habari wadau wa JamiiForums, Leo nimekuja na kichwa moto kuhusu hili swala la VPN ambalo limekuwa likiwaka kama moto wa gari la maji mitandaoni! Tangu 2023, serikali kupitia TCRA ikawavunja moyo wengi kwa kusema kila mtu anayetumia VPN, iwe mtu binafsi au kampuni, lazima ajaze form rasmi ya...
  14. M

    Mashati ya kiume special thread

    Habari Naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu Nauza mashati ya kiume size zote Kwa Bei nafuu Nafanya deliver mikoani na ndani ya dar es salaam Karibuni sana 0686153806 Whatsapp Bei ya rejareja Kwa mashati ya mikono mifupi ni 20,000/- Mashati ya mikono mirefu ni 25,000/- Mazungumzo...
  15. Roving Journalist

    GE2025 Special Thread: Wasifu wa Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025

    1. ACT WAZLENDO LUHAGA MPINA Jina Kamili: Luhaga Joelson Mpina Chama: ACT Wazalendo Tarehe ya Kuzaliwa: 5 Mei 1975 (Tanzania) Elimu: Shahada ya Uhasibu (B.Acc) – Mzumbe University; MSc – University of Strathclyde Historia ya Siasa: Mbunge wa Kisesa tangu Desemba 2005-2025 (CCM) Waziri wa...
  16. immortanity

    Special Thread | UEFA Champions league, 2025/2026

    Huu utakuwa uzi maalumu kwa ajili ya mashindano ya mabingwa ulaya (UEFA) updates zote
  17. A

    KERO Wanafunzi wa Chuo Cha SAUT tumenyimwa ID ya special semester ya kwanza licha ya kumaliza ada kwa muhula wa kwanza

    Baada ya kutamatika kwa muhula wa pili wa masomo kwa chuo kiukuu cha SAUT utaratibu huwa ni mtihan ya Special na supplementary za semester ya kwanza kufanyika. Kwa ratiba ya chuo kuku cha SAUT mitihan imeanza kufanyika tarehe 12 /08 2025 na inatarajiwa kutamatika tarehe 19/08/2025 lakini...
  18. Beira Boy

    Sudan Kusini wamepata wapi u special wa kutrend dunia nzima na kukubalika namna hiyo na kuwa kivutio namna hiyo?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hawa watu wa sudani kusini ambao walikuwa na njaa na kufukuzwa na waarabu wenzao wa Sudan mbona wamemugeuka kuwa maarufu ghafla sana Wametoa wapi u special huo maana saiz kila ukingia mtandaon ni wao tu Kwa wale wapenda madem ukitoa mimi...
  19. DELETED ACCOUNT

    Chumba cha kubadilishia nguo ni special kwa wachezaji na benchi la ufundi siyo jukwaa la kisiasa

    Kuna haka katabia kalianza kunikera katika vilabu vya Simba na Yanga ka viongozi wa siasa kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji baada ya mechi na wakati mwingine kabla ya mechi na hata kipindi cha mapumziko. Ni katabia kalikoota mizizi na sasa imeonekana kama ni jambo la...
  20. funaku

    Special political message from mchiriku-Chiriku kalonga na kuyumbayumba

    Nyuma ya mziki wa Singeli au mchiriku tunaitafuta na kuipata meseji kubwa sana ya kisiasa mwaka huu. Yaani yupo chiriku aliyelishwa maneno na kuanza kuyaongea (kulonga) huku akijitikisa (kuyumbayumba) Chiriku asihukumiwe bali anayeishi na chiriku atajulikana au ameshajulikana. Kazi na...
Back
Top Bottom