speaker

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mwijaku achukua fomu ya kuteuliwa kugombania Uspika

    Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kachukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Hivi mexence Mello angekuwa weak kwa Hawa CCM tungeshughulikiwaje anonymous! Hongera mexence unafaa kuwa speaker

    Kiuhalisia huyu mmiliki wa jamii forum aliyepelekwa mahakamani na Meko ana nguvu na ustahimilivu wa Hali ya juu kushinda hata wa jobu ndugai, amefanya jamii forum kuwa platform huru sana na ameokoa wengi kutokushughulikiwa. Kama mexence angeweka tumbo lake mbele wanajamii forum wengi wangekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Jicho la kisheria kuhusu uhalali wa barua ya Spika Ndugai kujiuzulu

    Nikiri wazi kuwa nami, nikiwa mtanzania wa kawaida na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa na kijamii, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sakata lililopelekea Spika Job Yustino Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika. Nimefuatilia pia mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa barua...
  4. JamiiForums Tanzania All Parliament activities, including parliamentary committee meetings, have been SUSPENDED in Tanzania following Speaker Job Ndugai's resignation

    All Parliament activities, including parliamentary committee meetings, have been SUSPENDED in Tanzania following Speaker Job Ndugai's resignation, according to the constitution. First order of business when Parliament resumes on Feb. 1, 2022, will be the election of a new Speaker. Source: TBI
  5. JamiiForums Tanzania Mambo 16 niliyojifunza kwenye hotuba ya Rais Samia - Januari 4, 2022

    Yafuatayo ndio nimejifunza kutokana na hotuba ya Jana. 1. Rais amekasirishwa na maoni yaliyotolewa na speaker Ndugai kuhusu mikopo. 2. Rais amemshambulia speaker Ndugai at individual capacity na sio Kama speaker kwenye maoni kuhusu mikopo. 3. Rais amehaidi kukopa zaidi na mpaka Sasa wamepata...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ndugai hafai kuwa Spika, CCM mkalieni kikao na kumvua uanachama

    Huyo Speaker Ndugai ni shida sana kwenye hiki chama, hafai na hana quality ya kuwa mbunge licha ya kuwa speaker. Hivi anavyosema tusikope, anaelewa anachofanya? U.S, UK na nchi zingine zinakopa ili zipeleke uchumi mbele, huyo Ndugai anadai eti tusikope. Kenya wamekopa na ku-invest kiasi...
  7. JamiiForums Tanzania Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

    Hamjambo ndugu zangu? Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml. Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL Huyu alikuwa mtumishi wetu...
  8. JamiiForums Tanzania Speaker akerwa na mwendo wa kurudisha makao makuu dar kwa viongozi kurejea dar kila mara

    Mwendo wa kurudisha shughuli za makao makuu dar umeonekana mara baada ya kuaga dunia magufuli na mama samia kua rais. Swala la kuhamia dodoma limekua gumu kwa miaka zaidi ya arobaini hadi alipoingia magufuli. Kitendo cha rais samia kuonekana kwa kupenda au kushauriwa kufanya shughuli za...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kumsikiliza English native speaker wa kizungu

    Wadau wa lugha, Na Mimi bwana nimebahatika kupata kashahada fulani kutoka moja ya vyuo vyetu vikongwe. kwahiyo ka-english ka hapa na pale kakuombea maji huwa ninako. Masomo ya english secondary nilipa daraja B. Tatizo kuu langu ni moja; Ukiongea wewe kiingereza (mswahili mwenzangu) huniteti...
  10. JamiiForums Tanzania Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

    Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
  11. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge ana double standard?

    Miezi michache alisimama mbele ya Bunge akidai kuwa CHADEMA kuna mfumo dume na kwamba yeye "anawaonea huruma na kuwaheshimu sana wanawake" Leo hii, Spika yule yule, tena kwa udhalilishaji wa hali ya juu, kamtoa nje Mbunge wa CCM kwa kile kilichodaiwa kuwa "amevaa" nguo isiyo ya heshima. Huyu...
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya electronics vinauzwa

    Printer hp 7500 a wide format------laki 3 Tt560 speed lite neewer------------laki na nusu Sigma lense 170-500----------------laki 4 Studio light na background yake laki 4 Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0717 040 837 au 0767 267 664
  13. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Dr. Chriss Mauki ni mwanasaikolojia au ni motivational speaker?

    Nimemsikia sana huyu jamaa lakini nimekuwa na wasiwasi kama ni professional psychologist. Namuona kama ni motivational speaker hivi. Naomba kujua wasifu wa elimu yake.
  14. JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai na Naibu wake wajiuzulu kwa kushindwa kusimamia na kuliongoza Bunge

    Wasalaam wana wa Adam, Kwanza kabisa napongeza sana hotuba nzuri ya leo ya Mhe Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan, ni maneno mazito sana ambayo yamelisuta bunge letu la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Unaposutwa kubali kuwa unakosea sana na unachokifanya hakifai hata kuigwa na yeyote yule...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Kodtec Speaker systems

    Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers. Kishindo cha mziki wenye vipimo madhubuti ambacho sikukitegemea kilipenya katika ngoma zangu za masikio...
  17. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi. Akitolea...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Aborder multimedia speaker system in sale

    Habari wadau, nauza aborder multimedia system AB3822BT kwa shilingi 155000/= Mawasiliano : +255783696253. Nipo beta barabara ya chang'ombe Dar es salaam
  19. JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Sijawahi kumjulia hali Tundu Lissu kwani ananiona kama shetani | Mbowe asikimbilie Urais kuficha aibu ya kushindwa Ubunge

    Natazama 360 Clouds naona Hassan Ngoma anambana Spika maswali mpaka anajichanganya kuhusu suala la Mbowe. Kuhusu sheria ya habari analalamika lalamika tu kuwa wapinzani wanapendelewa na mitandao ya kijamii na waandishi wa habari. ===== Katika Mahojiano ya Spika Job Ndungai na Clouds Media...
  20. JamiiForums Tanzania ‘Motivational Speakers’ wanaweza kuharibu maisha ya waajiriwa

    Ni kwa muda mrefu wafanyakazi wamekuwa wakiambiwa wanafanya kazi za kitumwa. Mawazo kama haya yako tangu zamani sana. Wakati wa vita baridi kati ya Usoshalisti na Ubepari, nchi nyingi za Afrika zilisema hazina upande lakini baadae wakaelemea kwenye Usoshalisti, taifa kama Tanzania likaweka kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…