south africa

  1. B

    JamiiForums Tanzania South Africa: Unyama wa Israel haukuanza Oct 7

    1. Kimeumana mahakamani "koleo" laitwa kwa jina lake: 2. Kuna wale wenye mahaba uchwara ya dini. 3. Kwamba hawawezi kujiuliza katika nchi zote, kwanini HAMAS wana taabu na Israel si Kenya wala Tanzania?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi za Kiarabu zikihangakia Israel kuangamiza Gaza, Afrika Kusini yaifungulia Israel Kesi ya mauaji ya halaiki huko Gaza

    Toka Israel ianze mashambulizi dhidi ya Gaza taifa pekee ambalo Rais wake alijitokeza na kulaani mashambulizi ya Israel huko Gaza ni Rais wa Afrika Kusini tu. Hakuna rais wa nchi ya kiarabu amewahi kutoka hadharani akaikemea Israel ukiachana na Rais wa Uturuki. South Afrika wameenda hatua moja...
  3. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania The Republic of South Africa (RSA) should change its name to match the Nativity of the Land

    As the subject suggests, through the JF social media International platform, the government of 'South Africa', to debating the importance of replacing the current country's name to reflect the African indigenous community as it used to be known by the natives ( before colonialism) whereby there...
  4. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Makaburu warejeshewe usukani wa utawala wa Afrika Kusini?

    Ingawa Afrika Kusini ni mojawapo ya nchi zilizoendelea duniani, inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa usalama. Mara kadhaa kumesharipotiwa na vyombo vya habari juu ya matukio ya kihalifu katika majiji makubwa kama Johannesburg, n.k. Sina uhakika kama matatizo kama hayo yalikuwepo pia kipindi...
  5. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania On my way to South Africa

    Hello jf members Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa. Ila mimi naenda kimyakimya. Nitakuwa nanotice na kuwajuza mambo ya tofauti nayo experience.
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi nzuri na rahisi kutafuta maisha na kupata hela kama Afrika Kusini

    Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa. Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution. Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala...
  7. Mwalimu wa tuisheni

    JamiiForums Tanzania Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

    Kwa Madiba kuna mambo, Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Waziri asimulia alivyotishiwa kwa kuwekewa Bastola kichwani kisha wezi wakamuibia

    Waziri wa Uchukuzi wa Afrika Kusini, Sindisiwe Chikunga amesimulia tukio la kuibiwa wa kusema wezi walimtishia kwa kumuwekea bastola kichwani kisha wakamuibia wakati alipokuwa akibadilisha tairi la gari lililopasuka Jijini Johannesburg. Amesema wezi waliwafamia wakati walinzi wake wakibadilisha...
  9. blogger

    JamiiForums Tanzania Mziki wa Bongo Fleva unaobamba sio wetu ni wa Afrika Kusini

    Kuna kipindi yaliwahi kutokea maneno kwamba Tanzania tunaitafuta sound yetu, kwamba ngoma ikipigwa tu unajua hii ni Bongo, Tanzania. Nimepata muda usiku huu kwenda YouTube kuziona trends, guys I'm sorry to say that what is trending down there isn't ours, it's South Africans' Amapiano. Na...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sho Madjozi: Msanii kutoka South Africa anae zungumza kiswahili kwa ufasaha

    Am so proud of my language Kiswahili. We must promote kiswahili . Kiswahili the language of Africa.
  11. GP Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

    Kama umenunua Gari lako South Africa, unatafuta Dereva mzoefu wakulileta popote ulipo kwanjia ya barabara niko hapo. Nchi tunazosafurisha Magari. 1. Kenya 2. Uganda 3. Rwanda 4. Burundi 5. Zambia 6. Malawi 7. Congo DRC 8. Tanzania Ducoments muhumu: 1. Interpol, 2. SADC 3. Police clearance...
  12. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata kibali cha kufanya kazi kihalali South Africa

    Nawezaje kupata kiball cha kufanya kazi kihalali nchini South Africa? Nahitaji kuwa na sifa zipi au kuwa na nini? Wenye uzoefu naomba muongozo.
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kushiriki Mkutano wa BRICS, Afrika Kusini

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili uwanja wa ndege wa Waterkloof Air Force Base, Pretoria,nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo nakulakiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi na viongozi mbalimbali waandamizi wa Ubalozi wa...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nani anatuwakilisha BRICS Summit - South Africa?

    Tumealikwa kuhudhuria BRICS Summit huko bondeni. Nani maakilishi huko? NB: Mhe Dr Chakwera toka nchi jirani yupo SA yapata wiki Sasa.
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Milioni 20 inatosha gari Afrika Kusini?

    Heshima zenu wakuu! Nimesoma nyuzi kadhaa humu za magari ya South nikajiridhisha kuwa S. A. ni kati ya maeneo sahihi kuchukulia gari, hasa kama unataka kulifuata mwenyewe huko. Naombeni ushauri! Kwa bajeti ya milioni 20, naweza kupata gari dogo kutoka South kwa ajili ya kutumia kwenye...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Gari za kununua South Africa zimetembea Kms sio poa!

    Hizi gari za kununua South Africa MAKABURU na WAZULU wameshazitembelea kilometres za kutosha mpaka sio poa. Kukuta gari imetembea 400,000 kms huko sio jambo geni sijui jamaa wanaendesha kwenda wapi? Ukinunua sawa ila tahadhari ndio hiyo.
  17. Espoir_jnr

    JamiiForums Tanzania June Holliday Nostalgia: A Night in Konka Sowetto Nightclub, South Africa

    Natumai mko vyema ndani ya hili jukwa pendwa la Jamii Forums. Ngoja niende moja kwa moja kwenye shina la huu uzii. Chapter 1 Namibia. Toka mwaka uanze nilikua nimebanwa sana na majukumu ya utafutaji ukizingatia sisi tuliochukua njia za kujiajiri huwa tunapitia mengi sana wakati mwengine...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kuagiza gari kutoka UK vs South Africa, Japa & Singapore

    Habari za leo waungwana. Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Aishi Manula afanyiwa upasuaji Afrika Kusini

    Mlinda mlango wa Simba, Aishi Manula amefanyiwa upasuaji wa nyama za paja katika Hospital ya Netvare Linksfield 🇿🇦 Kwa mijibu wa daktari wa Simba amesema kwa sasa ni mapema kusema Manula atakaa nje kwa muda gani mpaka pale watakapohudhuria kliniki ya mwisho kesho Ijumaa.
  20. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza gari used toka Afrika Kusini

    Salam wakuu, Ikiwa umenunua gari Toyota Double cabin kutoka nchini South Africa unataka kuiingiza Tanzania utaratibu inakuaje wadau?
Back
Top Bottom