Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,551
32,172
Nimekua katika industry hii ya Utalii. Yapata miaka 9 sasa hapa Unguja (Nungwi). Aisee hakuna watu bahili Kama vibibi toka South Africa wakija hamna tip Wala nn? Ukijidai kuvitongozah ndio balaa zaidi. Bora mabibi wa-kitaliano, wapo social na ukimpa show Kali anakuachia Dola za maana.
NB: Karibuni wamachinga tusake noti kwenye utalii

images (100).jpeg


c5cab434af168806db16f273051aa550.jpeg
 
Kuna mtu alisema kuwa tour guider ni kujizalilisha ..kule Arusha watalii wamelala waafrica the so called guider wanaimba nyimbo hadi jamaa wapate usingizi wao wakae macho kulinda mabegi ....wazungu wakiondoka wanaaza kutia huruma wachie viatu,sandal,makoti etc..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom