CEO Barbra kakiwasha South Africa Rise FM, Show ya Robert Marawa apangua fitina zote

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Alikuwa live kwenye show kubwa ya redio ya michezo iliyo hosted na yule mtangazaji maarufu Robert Marawa aliyekuwa mtangazaji wa supersport na mchumba wa zamani wa bOONGE MOJA LA DEMU liitwalo Pearl Thusi

Back to the point, ni kwamba CEO kamchachana sana yule kocha katoa ushahidi wa kila aina hadi pages 14 za mawasilino kati ya simba na orlando pirates wakishukuru kwa treatment nzuri waliyoipta bongo

Natupia baadhi ya comments ujionee mwenyewe wako wa kaizer chiefs walioshangilia ,wako wa pirates waliokubalian anaye wako waliomuona anajitetea tu

Safi sana CEO na pole kwa kazi MAANA UKIMALIZA TU HAPO KUNA KANJANJA REFU LA EFM LIANACHUKUA LAPTOP na kuandika ARTICLE mbofumbofu LIKIMUHUSISHA ABDI BANDA NA KUTUMA HUKOHUKO SOUTH AFRICA NI MASTER WA STORY CONCOCTION

Screenshot 2022-04-21 at 20.27.06.png
Screenshot 2022-04-21 at 20.42.20.png
Screenshot 2022-04-21 at 20.39.44.png
Screenshot 2022-04-21 at 20.33.42.png
 
Soma baadhi ya comments kama unaelewa Kiingereza. Kuna moja inasema Yanga ni timu bora kwa Tanzania na Simba ni overrated.Kuna nyingine inamponda kwa kuzungumzia mambo ya Orlando Pirates, wakijiuliza ni lini kawa msemaji wao.
 
Soma baadhi ya comments kama unaelewa Kiingereza. Kuna moja inasema Yanga ni timu bora kwa Tanzania na Simba ni overrated.Kuna nyingine inamponda kwa kuzungumzia mambo ya Orlando Pirates, wakijiuliza ni lini kawa msemaji wao.
mbona ya kwanza umeiruka?
 
Soma baadhi ya comments kama unaelewa Kiingereza. Kuna moja inasema Yanga ni timu bora kwa Tanzania na Simba ni overrated.Kuna nyingine inamponda kwa kuzungumzia mambo ya Orlando Pirates, wakijiuliza ni lini kawa msemaji wao.
UMEELEWA UZI WANGU? ENGLISH NAIJUA ZAIDI YAKO BOSS SO RELAX TAKE A CHILL PILL..kuna waliomsifu, waliomkandia na kuna wale wa kaizer chiefs wapinzani wa jadi wa pirates wao wanasifia mwanzao mwisho..huyo anayesifia utopolo ni mwana pirate unatarajia nini? mwaka jana tunacheza na kaizer hawa pirates walitupa moyo sana unashangaa nini? cha muhimu kafanya interview katoa hadi evidence ya pages 14 na picha wakiwa wanapokewa airport wakati yule jamaa alisema waliteseka airport

Screenshot 2022-04-21 at 21.23.48.png
 
Kawageuzia kibao, wa south africa wanaupata ukweli kwamba team yao ilitumia mlango wa waandishi wa habari kumbuka kuna clips za ule ubishani zilisambazwa mtandaoni huko kwamba simba iliwatesa na kuwapiga hapa bongo kumbe walikuwa wanaambiwa wapitie mlango sahihi.

Kuna pages za mawasiliano wakishukuru kwa ushirikiano wa simba na kuna hii picha wakipokewa airport wakati kocha wao alisema waliteseka airport wakakataa usafiri walioandaliwa na simba wakakataa ushauri wa kuchukua hotel za karibu wakaenda kunduchi huko Ramada hotel, CEO kapangua fitina zote.

Screenshot 2022-04-21 at 20.06.53.png
 
Kawageuzia kibao, wa south africa wanaupata ukweli kwamba team yao ilitumia mlango wa waandishi wa habari kumbuka kuna clips za ule ubishani...
Kuna vitu mnachekesha sana, yani uwashauri kufikia hotel za Kariakoo wakati Ramada ni beach front hotel?

Simba ilitakiwa kuwafanyia traffic arrangements tu na hizo huduma zipo zinalipiwa hukai foleni popote.

Hotel watakayofikia Simba Johannesburg umbali wake kwenda uwanja wa FNB Soweto umbali wake haupungui umbali wa kutoka Dar kwenda Mlandizi, sasa kutoka mbezi beach kwenda uwanja wa Mkapa kuna umbali gani? Hazizidi kilometers 35.

Je nyinyi mtakubali mkiambiwa mfikie Soweto au Mayfair au Laanglagte ili muwe karibu na uwanja wa FNB? Na mkiambiwa mfikie Downtown Hillbrow au Holiday in President street mtakubali?

Kwa vyovyote vile Simba ni lazima itafikia uzunguzi Sandton city au Rose bank na ni mbali kwenda uwanjani lakini miundombinu inaruhusu kuna barabara kibao za kutumia siyo kama Dar mnategemea barabara moja tu kutoka Mbezi beach kwenye Mkapa stadium.
 
UMEELEWA UZI WANGU? ENGLISH NAIJUA ZAIDI YAKO BOSS SO RELAX TAKE A CHILL PILL..kuna waliomsifu, waliomkandia na kuna wale wa kaizer chiefs wapinzani wa jadi ...
Kuhusu Kiingereza naachana na hii hoja kwani hata ulipojaribu kukiandika hata punctuation zimegoma.

Tukiwaambieni muwe mnatumia akili huwa mnaona tunawanyanyasa. Kwenye uzi wako ulimsifu Robert Marawa kama mtangazaji nguli wa soka, sasa ndie anasema Yanga ni bora kwa Tanzania.

Hicho ki comment cha chini ni non entity mmoja hivi. Hoja yako ungeweza kuieleza vizuri bila kutumia mhusika mkubwa ambaye kaipiga chini Simba.
 
Soma baadhi ya comments kama unaelewa Kiingereza. Kuna moja inasema Yanga ni timu bora kwa Tanzania na Simba ni overrated.Kuna nyingine inamponda kwa kuzungumzia mambo ya Orlando Pirates, wakijiuliza ni lini kawa msemaji wao.
Ni Maoni yake tu,
 
kwa haya makeke halafu ndio tutinge nusu. sijui tutapatanaje humu JF. Nchi nzima itasimama wiki nzima
Kwa aina ya timu waliyonayo Simba mwaka huu na lundo la wazee Simba ikitolewa wala haidawi kitu, hatua waliyofika inaridhisha tatizo la Tanzania au Africa Mashariki hatuna uwezo wa kuvunja benki kusajili wachezaji wenye quality za kuchukuwa haya makombe ya Africa.

Tujitahidi kwenye scouting kama alivyopatikana Luis kabla hawajamuona timu kubwa zenye pesa.

Ni kweli Watanzania tunahitaji furaha lakini inafika wakati kwenye mpira nje ya mambo yote qualities ndio inamuuwa mshindi.
 
Kuhusu Kiingereza naachana na hii hoja kwani hata ulipojaribu kukiandika hata punctuation zimegoma.
Tukiwaambieni muwe mnatumia akili huwa mnaona tunawanyanyasa. Kwenye uzi wako ulimsifu Robert Marawa kama mtangazaji nguli wa soka, sasa ndie anasema Yanga ni bora kwa Tanzania. Hicho ki comment cha chini ni non entity mmoja hivi. Hoja yako ungeweza kuieleza vizuri bila kutumia mhusika mkubwa ambaye kaipiga chini Simba.
Wapi Robert kasema yanga ni bora?
 
Back
Top Bottom