soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa zaidi ya miaka 20 haijawai kutokea soko la hisa la Dar (DSE) kushindwa kufanya biashara ya hisa kama ilivyotokea tarehe 5, hakuna kuuza wala kunun

    It’s highly unusual for a 20 year+ established Stock Exchange to have a trading volume of 0 - a whole trading day without a single share being traded. Not even a cent! One for the financial history
  2. JamiiForums Tanzania Soko la vifaa vya kielectronic vya mtumba

    Habarini za majukumu! Naomba kufahamu masoko nafuu ya vifaa vya kielektronik vya mtumba mfano TV, Laptops nk. Nataka nianze kufanya biashara ya vifaa vya kielektronik vya mtumba.
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Bell pepper ( pilipili hoho) kwenye soko la jumla inauzwaje?

    Niaje wakuu. Naomba kujuzwa kama kuna anae jua pilipili hoho kwenye soko la jumla inauzwaje na kwa kipimo kipi either kwa gunia kwa kilo au kwa kuuza hoho moja moja kama ilivo soko la machungwa ya jumla?
  4. JamiiForums Tanzania Ulimaji wa zao La Mkonge. Naomba kujua gharama za kilimo na soko

    Heshima kwenu wadau, katika harakati za mawazo yanuwekezaji, kuna mdau alinidokeza juu ya kilimo cha mkonge, ila kwa kuwa sijawahi waza, wala kupata mtu ambaye amewahi kufanya hiki kilimo. Naomba kupata details za: 1. Upatikanaji wa mbegu/ miche 2. Uhakika wa soko 3. Muda wa kuanza kuvuna...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la electronics mbovu

    Habari zenu ndugu, naomba kuelekezwa soko la screpa za electronic kama vile printer na photocopier machinesn.
  6. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa soko ni muhimu kuliko ujuzi wako wa kutengeneza bidhaa ama kutoa huduma

    Changamoto nambari moja inayotajwa kurudisha nyuma vijana wengi ni ukosefu wa mtaji. Ni kweli hii ni changamoto kubwa sana ila kuna kubwa zaidi ya hii. Twende pamoja katika makala hii na tuongeze mchango wetu kwenye comments. Mimi changamoto ambayo naona ni kubwa zaidi kuliko ile ya ukosefu wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Soko kuu Mwanza

    Wananchi wa Jiji la mwanza walifurahi sana walipoona Soko la zamani likivunjwa kupisha ujenzi wa soko mpya. Soko lilipovunjwa wafanyabiashara walisambaa maeneo mbalimbali ili wapate nafasi ya kuendelea na biashara zao. Kibaya zaidi maeneo waliopelekwa ni maeneo hatarishi na hakuna huduma za...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wapi lipo soko la unga wa ubuyu kwa ndani au nje ya Tanzania?

    Jamani naombeni kuuliza, je ni wapi naweza pata soko zuri la unga wa ubuyu kwa hapa Tanzania na nje ya Tanzania?
  9. JamiiForums Tanzania Soko la dunia lipo nchi gani

    Habari wana JF Kila siku najiuliza bila kupa majibu. Hivi soko la Dunia lipo nchi gani? Kama kuna mtu anjua lilipo anifahamishe Maana ni muda najiuliza bila kupata majibu ==== Majibu
  10. JamiiForums Tanzania M/Kiti wa TEF, Deodatus Balile, M/Kiti wa MPC, Edwin Soko, Moses Mathew wa TBC na Manguli, Chini ya Dotto Bulendu na Pasco Mayalla Live on Star TV.

    Wanabodi Kesho ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Habari Leo tumefanya mjadala kuujadili Uhuru wa habari Tanzania na manguli Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, TEF, Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Vilabu vya Waandishi wa Habari wa Mwanza MPC, Edwin Soko, Moses Mathew wa TBC na Manguli, Chini ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Dodoma, utaratibu huu mpya wa kuomba fremu za biashara katika stendi mpya ya mabasi na soko jipya unastahili pongezi

    HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imezindua mfumo rasmi kwa njia ya mtandao ambao utatumika kila mwananchi kujaza fomu ya maombi ya kupata kibanda cha biashara katika miradi ya soko kuu la Job Ndugai pamoja na stendi kuu iliyopo Nzyuguni ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa COVID-19. Hayo...
  12. JamiiForums Tanzania Housegirl wa Rais Karume alivyoniokoa soko la Sabasaba Morogoro wakati tunatoka Malawi. Dada, barikiwa popote ulipo - uliniokoa

    Duniani bado kuna watu wema. Nakumbuka Housegirl wa mh Rais Karume tulipanda basi toka Malawi. Miaka ya 2007/8. Nilimpigisha Sana story njiani mpaka akafurahi sana. Tulipofika Msamvu usiku kabla stend mpya haijajengwa wakaja wahuni wengi including vibaka. Yule dada kwa kutambua hatari iliyokuwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania CHINA DASHENG BANK (CDBL), Benki mpya inayotishia soko.

    Taarifa za fedha za mabenki kwa robo ya tatu ya mwaka 2019 zimetolewa kuanzia mwezi wa tisa mwishoni na mwezi wa kumi katika vyombo mbalimbali vya habari hasa magazeti kama ambavyo kanuni ya mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2014 inaelekeza. Kiujumla kumekuwa na kupanda kwa faida kwa mabenki...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lema yuko kimya sana tokea soko la Samunge liungue, kwanini?

    Hata kama ni kweli hagombei tena ubunge Arusha mjini na badala yake anagombea Hai bado ana jukumu la kuwatumikia wapiga kura wake hadi bunge litakapovunjwa. Mbunge Lema Tafadhali fika sokoni Samunge uwasikilize wapiga kura wako usiwaachie RC na DC peke yao. Usiwe kama mbunge wa Ukonga...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu walinidanganya nikasoma kozi isiyo na soko

    nilikuwa na ndoto za kuwa injinia ila kaka zangu nadhani walinionea wivu wakanidanganya kuwa haina dili bora masomo ya biashara. nikasoma hayo leo wananicheka life imenipiga mpaka nachanganyikiwa.
  16. S

    JamiiForums Tanzania EWURA msitufanye wajinga; bei ya mafuta soko la Dunia ikipanda mnapandisha haraka bei ya mafuta nchini lakini ikishuka mnajifanya vipofu na viziwi!

    Ninachochukia siku zote ni pale mtu anapoamua kukutumia kama mjinga ili apate faida. Huwa naona kama ninatukanwa. Na huu ndio mchezo ambao EWURA wamekuwa wakitufanyia Watanzania. Utaona kwamba pale ambapo bei ya mafuta katika soko la dunia ikipanda, mara moja EWURA hupandisha bei ya mafuta...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Naomba tufahamishane kwa wajuzi na wanaofanya biashara ya kununua nguo za kike za mitumba(especially suruali nzur za kike na blouses)pale memorial mos

    Habari wanajamvi naomba msaada kwa wabobezi na wanaofanya biashara hii ya kuchukua nguo za mitumba kwa kupoint suruali na blouses za kike pale sokoni memorial moshi,binafsi ni mgeni Kanda hii ya kaskazini na natarajia kuanza kufanya biashara io ya nguo Kali za mitumba za kike. Naomba...
  18. JamiiForums Tanzania Kozi za Chuo cha Maji zina soko?

    Naomba kujua kozi za chuo cha maji zipoje sokoni,vipi uhitajika wake kwenye jamii upoje. Asante
  19. B

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji soko la nyoka, Serikali isaidie kupunguza kodi

    March 22, 2020 Serikali yaombwa ipunguze bei ya nyoka na viumbe wengine wanaopelekwa nje kuuzwa ili wawekezaji hao wachangie fedha za kigeni nchini. Hayo maombi yamesemwa na Paul Madinda mfugaji na muuzaji wa viumbe nje ya nchi wakati akimfahamisha Naibu waziri Costantine Kanyasu juu ya fursa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kienyeji halisi(pure) siyo chotara - Arusha

    Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI. KWA MAWASILIANO:- *Piga/text/WhatsApp* 0765894955/0693100453 Arusha Tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…