soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Soko la Kariakoo: Moja ya Ngome za TANU 1955

    Ndugu yangu Kheri katufanyia hisani kubwa sana. Kaniletea picha hizi za Kariakoo Market na aliyepiga picha hizi kaweka na tarehe mwaka wa 1955. Huu ndiyo mwaka TANU ilimsafirisha Mwalimu Nyerere kwenda UNO kuidai Tanganyika. Angalia hizi picha za soko lenyewe kama jengo kisha inamisha macho...
  2. JamiiForums Tanzania Janja janja za kupata ajira katika kipind kigumu hiki katika soko la ajira

    kuhusu ajira zinazidi kuwa ngumu mnoo hasaa miaka hii ya 202+ tutapitia ugumu mwingi sana kuipata ajira, hivyo kuna njama nyingi sana tunatakiwa kuweza kuzitumia ili kupata ajira katika taasisi za kiserikali au zisizo za kiserlikali.. tukibakia huku kuapply na kufanya interview ambako...
  3. JamiiForums Tanzania Nigeria: Takriban watu 20 wauawa baada ya watu wenye silaha kuvamia soko

    Takriban watu 20 wameuawa katika eneo la Sokoto baada ya watu wenye silaha kuvamia soko na kuchoma magari. Tukio hilo ni mwendelezo wa ghasia za magenge ya uhalifu Nchini humo Tangu Desemba 2020, ukanda wa Kaskazini magharibi mwa Nigeria umeshuhudia wimbi la matukio ya utekaji nyara wa Watoto...
  4. JamiiForums Tanzania Soko la Kingalu Morogoro lina Paking ndogo sana

    deleted
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mikindani Mtwara: Wafanyabiashara wadaiwa kukimbia soko lililojengwa kwa billion 5 kwa kukosa wateja

    Wafanyabiashara hao wameamua kuondoka kutoka katika soko hilo kwa kukosa wateja hali iliyopelekea biashara kuwa ngumu. Wafanyabiashara hao hawajui watalipa vipi madeni wanaodaiwa na taasisi mbalimbali za fedha. Ikumbukwe soko hilo limejengwa na serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 5. Pesa...
  6. JamiiForums Tanzania Niende kozi ipi kulingana na soko la ajira?

    Samahani naomba mnisaidie nimechaguliwa Bsc in Phy udom.. Bsc in Kemia mwecahu.. Bsc in IT with account IFM na bsc in food science an techn SUA niende wapi na kozi gani kulingana na soko la ajira
  7. JamiiForums Tanzania Soko kuu la kingalu Morogoro mjini wanazindua vizimba vya nje leo

    Soko kuu la kingalu la mjini morogoro kumejaa watu muda huu vizimba vya wamachinga vinaweza vikazinduliwa leo. Vimepewa majina ya mitaa ya viongozi Samia Suluhu mpango majaliwa abood mkuu wa mkoa nk pamenoga Sana walio hapa tufahamishane.
  8. JamiiForums Tanzania Soko la dagaa Dar

    Nataka kuanza kupeleka dagaa dar Naomba kwamwenye huerewa wa soko la dagaa wa Mwanza wana beigani?
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania hatimaye yakubali kuingia kwenye soko la pamoja Afrika, baada ya kusuasua...hongera mama Samia

    Huu ndio uongozi, yaani uthubutu wa kufanya sio kuogopa ogopa na kuwa na vijisababu vya hovyo.... Tanzania on Thursday ratified the agreement establishing the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), effectively joining a pact connecting countries with a total gross domestic product of...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mahindi kukosa soko

    Ningependa kuchangia walau kidogo kuhusu mahindi kukosa soko Hizo ni dalili la kutokua tayali hayo ni matokeo ya kuto kukijua vyema Tanzania endapo Kila mkulima stamina kisses Kama tuna to shawishi Hali itakuaje? Hiyo ni neema kidogo tu ya mahindi tayari Changa moto mahindi tusiyachukulie ni...
  11. JamiiForums Tanzania Soko la pamoja la Afrika ni nini?

    Jamani tufafanulieni Soko la pamoja la Africa ni kitu gani
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yaridhia utekelezaji wa mkataba wa uanzishwaji wa eneo huru la biashara Afrika (AfCAFTA)

    Kazi iendelee! ========= BUNGE LAKUBALI KUINGIA SOKO LA PAMOJA LA AFRIKA Bunge la Tanzania limekubali kuingia katika Makubaliano ya kuanzisha Soko la Pamoja la Afrika Maamuzo hayo yamefanyika Septemba 9, 2021 bungeni Dodoma Waziri wa Uwekezaji, Dkt. Kitila Mkumbo amesema Tanzania inaingia...
  13. JamiiForums Tanzania Soko la Vitabu vya General Studies

    Wadau, nimeandika Kitabu cha somo la General Studies kinachoitwa " EXCEL in General Studies". Ni Kitabu cha maswali na majibu. Kuna jumla ya maswali 108 pamoja na majibu yake. Somo hili hufundishwa wanafunzi wa Kidato cha 5 na 6 hapa nchini. Nimeshauza kwa baadhi ya wanafunzi waliopo Dar es...
  14. JamiiForums Tanzania Miezi mitano bila Dkt. Magufuli: Chanjo ya Marekani na Uingereza inavyoathiri soko la Tanzania

    MIEZI MITANO BILA JPM:CHANJO YA MAREKANI NA UINGEREZA INAVYOATHIRI SOKO LA TANZANIA. Leo 14:30hrs 28/08/2021 Tanzania inategemewa na nchi zote majirani kwa bidhaa mpya ambazo kwa asilimia 75% zinatoka China,hivi sasa nchi hizo majirani zinaelekea Afrika ya Kusini kufuata bidhaa mpya ili...
  15. JamiiForums Tanzania Inakuwaje kila RC anayepangiwa Ruvuma agenda ni ukosefu wa soko la mahindi? Kuna haja gani kuwanadili kila mara?

    Leo TBC 1 Tv,nimeona Mkuu mpya wa Mkoa wa Ruvuma amezungukwa na magunia ya mahindi,hakuna soko. Hii inaashiria nini endapo aliyekuwepo mambo yalikuwa hayohayo? Ukienda mkoa wangu wa Rukwa ni yaleyale. Tunakosaje sera endelevu ya soko la mahindi Kitaifa?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Soko la Chainizi

    Habai wakuu Natafuta soko la chainizi kwa wenye kuhitaji shamaba lipo Morogoro, Berega ,na Nalenga kupata wateja toka sehemu za jirani kama Singida, Dar, Dodoma na Morogoro Mjini. Shambani panafikika kiurahisi maana lipo jirani na Barabara Kuu ya Dodoma Nina uwezo wa kuvuna gunia mbili za...
  17. J

    JamiiForums Tanzania TRA, Soko la Mwanjelwa Mbeya hawatoi risiti EFD

    Soko la mwanjelwa mkoani Mbeya ni kama Soko la Kariakoo kwa Dar es Salaam!! Ni kama Business District. Biashara ya mabilioni ya Shilingi inafanyika hapa kilasiku! Lakini kwa uchunguzi wangu wafanyabiashara hawa hawatoi kabisa risiti za EFD! Nimeingia sokoni hapo zaidi ya Mara tatu kufanya...
  18. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
  19. J

    JamiiForums Tanzania RC Makala: Rais Samia ametoa Tsh 100 milioni kuboresha soko la Machinga Complex, kutazungushwa bati na meza za kisasa

    Rais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio wa mabati na kuweka meza za kisasa za kupanga biashara Chanzo: ITV habari
  20. E

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo unavyoweza kusoma Taarifa za Fedha na Kuanza Uwekezaji katika Soko la Hisa (Masoko ya Mitaji)

    Habari ndugu msomaji wa mtandau huu, karibu katika mfululizo wa makala zetu za kukuelimisha katika nyanja ya uwekezaji katika hisa. Leo ningependa kuzungumzia kuhusu namna na urahisi wa kusoma taarifa za fedha za Kampuni ambazo zimesajiliwa katika soko la hisa. Vile vile somo hili la leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…