Tanzania hatimaye yakubali kuingia kwenye soko la pamoja Afrika, baada ya kusuasua...hongera mama Samia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,533
47,783
Huu ndio uongozi, yaani uthubutu wa kufanya sio kuogopa ogopa na kuwa na vijisababu vya hovyo....

Tanzania on Thursday ratified the agreement establishing the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), effectively joining a pact connecting countries with a total gross domestic product of $3.4 trillion.

Minister of Industry and Trade, Kitila Mkumbo, made the announcement via Twitter, noting the country has joined a market of 1.2 billion customers.

Pleased to announce that today, the 9th of September 2021, the Parliament of the United Republic of Tanzania has RATIFIED the Agreement Establishing the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), effectively joining the 1.2 bilion market and USD 3.4 trillion African economy!
— Kitila Mkumbo (PhD) (@kitilam) September 9, 2021
AfCTA was first opened for signing in April 2018 but came into application in 2019 after the requisite minimum of 21 of the 55 member states ratified it.

Tanzania had not formally joined although former President John Magufuli signed on the agreement in 2019.

After signing, parliamentary approval is required for ratification of the agreement.
The ratification is an indicator of President Suluhu's intention to return the country to regional integration.

The ratification comes barely two months after the AfCFTA secretary General Wamkele Mene held discussions with President Samia Suluhu Hasan.

Mr Mene sought the assurance of Tanzania’s commitment to the agreement to which President Samia promised to join “very soon”.

Trade deal​

In East Africa, Kenya, Uganda, Rwanda, and Burundi already ratified the agreement.

The deal, signed by 54 of the African Union’s (AU) 55 member states, commits countries to 90 percent tariff cuts within a five-year period.

Eritrea is the only country yet to join the AfCFTA.

Of the 54 countries that signed the deal, only 38 countries including Tanzania have ratified the treaty.

AfCFTA provides a unified market of 1.2 billion people with a combined GDP of $3 trillion, and is potentially a strong foundation for industrialisation.

Currently intra-African exports stand at about 17 percent of total continental exports. Increasing this share is expected to increase value addition, help create jobs and boost incomes.

Nilitoa wazo Katika maoni yangu Mamlaka husika za kilimo zifungue warehouse kubwa za kuuza mazao Nairobi Nashukuru wameanza kutekeleza. Sasa tutalisha kenya mpaka wavimbiwe. Soko la kubwa la kikanda na africa ni zuri muhimu kuwepo uwiano wa biashara kila upande ufaidike
 
Leteni tutanunua
 
Huyu mama ana mawazo pana, ananifurahisha sana. Hana akili mgando kama ya aliyemtangulia.
Aliyemtangulia alishasign since September, muwe mnasoma habari and put em respects where is due to the late realest rare hard-working pan African, the great free soul John pombe magufuli, whilst bearing in mind, ameacha disciples mob.
 
Nilitoa wazo Katika maoni yangu Mamlaka husika za kilimo zifungue warehouse kubwa za kuuza mazao Nairobi Nashukuru wameanza kutekeleza. Sasa tutalisha kenya mpaka wavimbiwe. Soko la kubwa la kikanda na africa ni zuri muhimu kuwepo uwiano wa biashara kila upande ufaidike
Mtakua mmefanya jambo la kutumia akili sana, Mwanzo mtakua mmepiga middle-men tano bila, alafu warehouse ikiwa yenu mtakua mna control na kuhakikisha bei ya bidhaa zenu inabaki chini, kisha mkifanya hivyo itakua mna uwezo wa ku consolidate bidhaa kwa pamoja (economies of scale) si eti kila mkulima anagaramika kivyake kuleta bidhaa Kenya, inakua gari moja linaweza kukusanya bidhaa za wakulima tofauti na kuleta kama mzigo mmoja alafu mapato yakija ndo wanagawanya....
Hivyo nda kampuni ya online ile ya China inayoitwa Kilimall au Jumia hufanya.... ukuagizia bidhaa kutoka China, wanazipakia zote zilizo agiziwa hio siku kwa contena moja au kwenye box moja na kusafirisha na ndege au meli kama mzigo mmoja, ikifika kwa port inachukuliwa kama mzigo mmoja kwahivyo kodi pia ni kidogo...... Hii ndo maana ukiagizia mzigo wa gharama ya kama $1,000 USD kupitia Kilimall kutoka China, shipping fee ni kama only $2 (mara nyingine hua hata ni bure!) lakini ukiagizia mzigo huo huo kutoka UK kupitia amazon, shipping fee ni kama $90 tena juu yake import duty ni kama $200 ... Hii ni kwasababu amazon, kila mzigo unaletwa kivyake kwahivyo kila kitu kinalipiwa kivyake ndo inasababisha garama kupanda.

Anyway, na nyinyi pia huko Tz mruhusu bidhaa zetu zitambe ili hii biashara iwe win-win na uchumi zetu zitazidi kukua kwa pamoja.
 
Tanzanian market is already opened for kenyan products and produces since then , we have shortage of manufacturing products like spare parts, as sugar and the likes
 
Bagamoyo sugar itamaliza hilo la sukari mwakani inaanza production lasmi walishamaliza testing tayari
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom