soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Nani mkali Ally Kamwe vs George Ambangile?

    Vijana wawili wanaokuja juu katika sekta ya uchambuzi wa soka nchini. Wote wamebahatika na wanafanya kazi katika taasisi ambazo ni miongoni mwa brand kubwa ukizungumzia nyanja ya michezo na habari kwa ujumla hapa nchini. Napenda sana kuwasoma na kuwasikiliza lakini hadi leo sijaweza...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Aliyoyasema Amri Kiemba ni madai mazito na hatari kwa soka letu, yachunguzwe

    Jana saa tatu usiku katika kipindi cha Sports Roundup kinachorushwa na Clouds FM, mchezaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga ambaye siku hizi ni mchambuzi wa soka, Amri Kiemba alitoa madai mazito, ya kushtusha na yenye sura ya kijinai yanayoendelea kwenye soka letu Kiemba alisema makocha...
  3. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini hatuwawezi Uganda kwenye soka?

    Tangu niliposikia tumeingia fainali ya under 17 na Uganda nilijua tuna nafasi ya asilimia 30 tu za kushinda, na kweli tumebamizwa 3 na hii ni baada ya juzi juzi tena kupoteza fainali nyingine kwa hawa hawa Waganda. Hata ile fainali ya kufuzu Afcon ni wazi tulipewa tu na Uganda kwa ujirani mwema...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa soka wa Kitanzania na Simba

    Wakuuu Habari za wkend, Kuna hili suala la Wachezaji wanaokaa Benchi pale Simba yaani Akina Ajibu, Ndemla, Morrison, Gadiel nk nk Lakini kule Yanga napo kuna akina Zawadi Mauya, Ninja, Wazir Junior, Boxer nk nk. Kwanini Wachambuzi wa Soka wanaumizwa na kukereketwa saana na kuwasema zaidi...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimeja sana Afrika na hatufanyi maajabu? Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya...
  6. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Kuhusu suala la Kagere, Kaduguda umetuachia maswali yasiyo na majibu

    Nilikuwa namsikiliza katika kipindi cha sports arena Mwina Kaduguda akizungumza kuhusu swala la Meddie Kagere kupata nafasi hafifu ya kucheza kwa siku za hivi karibuni. Mashabiki wamekuwa wakilalamika inakuwaje the best striker anakosa nafasi katika kikosi. Point kubwa aliyoizungumza ni Afya ya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kigogo Mkubwa Wa Timu Ya Soka Ya Simba Aamua Kuachana Na Ubachelor Kwa Kufunga Ndoa Takatifu

    Hongera Sana Kigogo na msemaji wa Simba Kamarada Haji Manara
  8. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Je, nina haki gani katika hili jambo wana JF?

    Habari za majukumu wana JF! naomba msaada wa kisheria nini hasa cha kufanya. Jana mida ya saa tano asubuhi, nilipokea sms kutoka vodacom ikiniambia kwamba kuna jambo kubwa sana la kisoka litatokea kesho (yani leo), mechi ya simba na plateau united watacheza. niliiamini sana hio sms ya vodacom...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwenye soka tunapoongelea vilabu utaifa hauhusiki. Mutuache wanayanga tuwashabikie Plateau.

    Simba mnatia huruma sana. Mnataka tuwape baraka, tuwashangilie then mkishinda muanze kututukana na kutuita majina ya ajabu! Jana tumewapokea kwa kishindo Plateau na leo tutakwenda uwanjani kuwashangilia. Mbona mnapokwenda Iringa kucheza na Lipuli hamshangai kuona Wana Iringa wakiwageuka wenzao...
  10. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Azam tunapenda muwe mnatuonesha matukio ya kimichezo ya live mbali na soka k.v. Marathoni na Jogging

    Nikiangalia televisheni za wenzetu za michezo hasa za super sport wenzetu huonyesha Marathon mbalimbali kwenye miji lakini hapa kwetu Azam kupitia chaneli zake imekuwa ikijikita zaidi kwenye soka na kidogo siku za karibuni wamekuwa wakituonyesha masumbwi. USHAURI WANGU KWENU Hizi jogging na...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania CAF angalieni Soka la Afrika kuna kipindi Vitakuja tokea Vita

    Pamoja na mimi kuwa mshabiki wa team nyingine ila hili wanalofanya Plateau ni soka la Kizamani sana. Fitna na Hujuma havisaidii mpira. hawa ni kuwatibu kama wydada vs mamelodi waarabu wa morroco wamesha nyooka kabisa siku hizi wamepunguza ujanja ujanja huu. nakumbuka mechi za msimu uliopita...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maombi na ushauri kwa TFF na Wadau wote wa soka kwa pamoja

    Nimekaa nimewaza sana. Hivi sisi Watanzania kuna wachezaji wengi wa kutoka nchi za nje wanakuja kucheza huku kwetu, na wengineo wana viwango vizuri tu ila timu zao za Taifa wanakotoka hawapati nafasi. Je, sisi Watanzania kupitia TFF hatuwezi kuona hii ni fursa ya sisi kuanza kuwashauri baadhi...
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania Premier League: Kuna ulazima wa klabu moja wapo (Simba au Yanga) iondoke Dar na kuhamia Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania mimi binafsi ninadhani; Kuna umuhimu wa klabu moja wapo kubwa (Simba au Yanga) kuondoka Dar na kuhamia majiji mengine makubwa kama Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka katika Tanzania...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mpira wa jana (Taifa Stars VS Tunisia); Kuna haja ya mabadiliko makubwa katika soka letu

    Hakuna ubishi jana tumeionyesha Afrika na Dunia kuwa sisi soka bado saana. Mambo machache niliyoyaona mimi kweny emchezo wa jana na ambayo yamekuwa yakijirudia rudia: 1. Wachezaji hawana kabisa misingi muhimu ya uchezaji mpira mfano jinsi ya kumiliki mpira, kufanya maamuzi yenye tija na malengo...
  15. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapenda soka wamejipanga kuishikisha adabu CCM kwenye uchaguzi huu

    Soka ndio mchezo unaopendwa zaidi na watu wengi hapa Tanzania. Mchezo wa soka hauna itikadi, lakini chini ya utawala wa CCM, mchezo wa soka umelazimishwa kuwa wa kiitikadi za kisiasa. Kwa uchache hizi ni baadhi ya viashiria vya wazi vinavyofanywa na CCM ambavyo vimewakera sana wapenda soka hapa...
  16. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania TATHIMINI ya SOKA (Mpira wa miguu) Nchini Kama ambavyo Don Nalimison anavyo chambua

    KUHUSU SOKA LETU NCHINI TANZANIA, TUJADILI KUOKOA MPIRA WA MIGUU NCHINI(TATHIMINI). Bandugu naitwa Don Nalimison Mwanamziki na mdau wa soka Duniani Mimi sio kocha Bali kocha ambaye ni shabiki. Tuangalie namna gani tumekwama kufikia Malengo hata ya kuingia Kombe la Dunia na makombe ya Afrika...
  17. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania TATHIMINI ya SOKA (Mpira wa miguu) Nchini Kama ambavyo Don Nalimison anavyo chambua.

    KUHUSU SOKA LETU NCHINI TANZANIA, TUJADILI KUOKOA MPIRA WA MIGUU NCHINI(TATHIMINI). Bandugu naitwa Don Nalimison Mwanamziki na mdau wa soka Duniani Mimi sio kocha Bali kocha ambaye ni shabiki. Tuangalie namna gani tumekwama kufikia Malengo hata ya kuingia Kombe la Dunia na makombe ya Afrika...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa East Africa Radio: Ajirini wachambuzi wa michezo wanaolewa michezo, hasa soka

    Sio kwa hawa mlio nao aisee. Nimewafuatilia mara nyingi hawana viwango pia wamekuwa wanatabia ya "kucopy na kupaste". Kwa mfano leo walikuwa na mada ya kwanini ligi yetu inakuwa na magoli machache kuliko ligi nyingine wakaenda mbali kwa kulinganisha ligi yetu na uingereza yaani majibu ya...
  19. CK Allan

    JamiiForums Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

    Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali. Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi? Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Soka la Bongo linakosa ushindani wenye tija

    Soka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba. Mfano Yanga, wao wako kushindana na Simba tu, hawana mipango yoyote ya kimataifa, wao kazi kuiga na kushindana na simba...
Back
Top Bottom