soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa sheria na kanuni za soka msaada wenu unaitajika

    Let say mchezaji X ana kadi mbili za njano alizopata kwenye mechi zilizopita katika ligi .kanuni zinasema ukifikisha kadi tatu za njano,hautacheza mchezo unaofuata.swali,ikitokea mchezaji X akapata kadi mbili za njano na red card kwa mchezo unaofiata ke zile yellow card mbili za awali zotafutika...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mdau wa soka Tanzania tuungane kuiombea Dua Yanga dhidi Ya Rivers Ishinde

    Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..! OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi nyingine. TUIOMBEE Yanga Afrika ISHINDE....! Kwa nini nasema hivyo? Katika Nafasi 4 za Tanzania CAF...
  3. Mayunga234

    JamiiForums Tanzania Soka sasa ina mashabiki wengi sana, imeanza ku-overtake Bongo Flava

    Mpira umeanza kuwa na mashabiki wengi sana hapa bongo ushaanza kuovertake bongo flavor usishangae baada ya miaka kadhaa bongo flavor ikageuka kuwa bongo movie kwa kukosa mashabiki. Wasanii angalieni hili kwa jicho la tatu Now kila mtu anashabikia mpira ata ambaye hajui mpira bongo now kuna...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Mashabiki wa Yanga kuonyesha picha ya Mwenyekiti wa CCM kwenye tamasha lao kilaaniwe na wapenda soka dunia nzima

    Hili jambo halikubaliki na likemewe kwa nguvu zote na TFF na mamlaka zingine , michezo ndio eneo pekee linalokutanisha wananchi wote na wenye itikadi tofauti , kuingiza siasa za ccm ni kuleta mkanganyiko wa kijinga sana . Wako wana Yanga kibao ambao si wanaccm , siku wakiamua kupeperusha...
  5. Life2

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Majina (nick names) ya timu za taifa mpira wa miguu

    Sio mbaya leo weekend tukakumbushana majina mbadala ya timu za mpira wa miguu hasa za bara letu la Afrika. Itapendeza Ukataja bila kuzama Google we taja ukikosea watakuja wengine kufanya marekebisho ukitwambia na maana yake itapendeza zaidi,kwa kuwa mfano naanza Mimi. Taifa Stars - Tanzania...
  6. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

    Mchambuzi nguli wa habari ya michezo maarufu kama mwalimu Kashasha amefariki dunia hivi punde alipokuwa amelazwa hospitali ya Kairuki. Chanzo mimi mwenyewe niko eneo la tukio. ---- Mchambuzi nguli wa soka nchini Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 akipatiwa...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Utata wagubika soka ya Hispania. Real Madrid na Barcelona watishia kugoma mechi zao kuoneshwa

    Soka la Hispania lipo chini ya Shirikisho lao la soka RFEF, ambao wao wana LA LIGA kama chombo huru kinachosimamia Ligi kuu na Daraja la kwanza Sasa kutokana na uhuru huo LA LIGA chini ya Javier Tebas wana mambo mengi wanafanya kinyume na mitazamo ya wengi, huku wakisema ni kibiashara zaidi...
  8. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 06.08.2021: Messi, Kane, Lukaku, Correa, Trippier, Aouar, Abraham, Armstrong

    Tangazo la Barcelona kwamba mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 34, hatabakia kwenye klabu hiyo ''limefungua mlango wa uhamisho wa kushtua " katika Manchester City. (Manchester Evening News). Uwepo wa Messi unaweza kuathiri uwezekano wowote wa uhamisho ambao Man City walikuwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vikwazo kwa Wanasoka Vijana wa Tanzania katika kucheza soka la kulipwa nchi za nje

    Soka ( ama mpila wa miguu ) ni moja kati ya michezo inayopendwa na kufuatiliwa sana ulimwenguni kote, Mchezo huu una wafuasi wengi zaidi ya michezo mingine duniani, Vijana mbali mbali duniani wamekuwa wakifaidika, kuwa maarufu na kujipatia maendeleo kupitia soka, vivo hivyo , Ndizo ndoto za...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Soka la Zanzibar lazidi vituko, timu yashinda 50-0, nyingine 46-0 zikiwania kupanda daraja la kwanza

    Na @abubakarkisandu Zanzibar. Jana katika Michezo ya mwisho ya kuitafuta timu moja itakayopanda Daraja la Kwanza Kanda Unguja kutoka Ligi ya Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo Mchezo nambari 113 ulichezwa katika Uwanja wa Mau B timu ya Umoja wa Mbuzini ilishinda jumla ya mabao 50-0 dhidi ya New...
  11. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko sheria tano za soka kutoka FIFA, kuchezwa dakika 60, kadi za njano na mengine

    Shirikisho la mpira wa miguu ulimwenguni FIFA, lipo katika kufanya majaribio ya mabadiliko ya baadhi ya sheria ambazo huwenda zikaja kuanza kutumika siku za usoni huku lengo kuu ikiwa ni kuuboresha zaidi mchezo huo pendwa. Majaribio hayo yameanza kufanywa kwenye Mashindano ya Vijana...
  12. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Maisha ya soka ya Leonel Messi

    Lionel Andrés Messi alizaliwa 24 Juni 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina anayecheza katika klabu ya Barcelona F.C. iliyopo nchini Hispania na timu ya taifa ya Argentina. Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora wa muda wote, Messi kafanikiwa kuchukua tuzo za Ballon d’Or mara...
  13. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Maisha ya soka ya Cristiano Ronaldo

    Cristiano Ronaldo na mkewe Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro alizaliwa kwenye kisiwa cha Madeira, Ureno, 5 Februari 1985) ni mchezajisoka wa Ureno. Nafasi yake ni ushambuliaji; kwa sasa anacheza nchini Italia katika klabu ya Juventus na timu yake ya taifa. Mara nyingi huchukuliwa kuwa...
  14. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Waafrika hatupaswi kushabikia soka la Ulaya

    Waafrika Haipaswi Kushabikia Soka la ulaya "Uropa" Waafrika wanapoteza wakati muhimu kutazama Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga ya Uhispania, Bundesliga na ligi zingine za kandanda za Uropa. Wakati wanapuuza ligi zao za michezo. Kwa sababu tumeambiwa kwamba kutazama mpira wa miguu ni jambo la...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga tumekosaje Ubingwa? Hongereni Watani, tumeona mabadiliko makubwa mliyoyafanya katika Soka lenu

    Hili swali tuliambiwa tuwaulize GSM kama ikitokea tumekosa Ubingwa na ni kutokana na kikosi kikali ambacho Yanga tulisajili ukilinganisha na cha Simba chenye wachezaji Wazee. miaka karibia 4 Simba imekuwa na Kikosi cha wachezaji wazee sana. lakini inashangaza hawa ndo wanaokipatia matokeo...
  16. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa Soka Tanzania unweza kuwatambua hawa?

    Wakuu, Kama mkiweza kuwatambua hawa, basi Nyie ni mkongwe ktk soka [emoji2]
  17. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la soka mashabiki wa Uingereza ni zaidi ya vichaa

    Hawa jamaa bana wanajua kushangilia asee nadhani pombe pia inachangia. Haya Ujerumani kashakula 2-0 huko.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Je, nani anastahili pongezi katika soka la Tanzania?

    Yawezekana kuna watu watakataa lakini hilo ni 'non of my business ' Nije kwenye mada moja kwa moja, kwa maoni yangu naona soka la bongo limekuwa zuri haswa, yaani hata ukilipa au kutenga muda kuangalia mpira unafurahi. Binafsi sikuwa mpenzi wa kukaa na kuangalia mpira wa Bongo katika TV ila...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars vs Malawi: Mdau wa Soka una maoni gani kwa timu yetu?

    Maingizo mapya, Poulsen anatuonyesha Vijana wanaweza kufanya mambo mazuri. Wewe kama mdau una maoni gani?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Sheria ipi ya soka iliyofutwa ambayo unatamani ingeendelea kutumika?

    Katika mpira wa miguu ambao uwa unasimamiwa na Sheria mbalimbali ambazo zinazotolewa na FIFA, kuna baadhi ya Sheria zimeondolewa. Ukiwa kama mpenda soka je Sheria gani unaikumbuka Sana ambayo imeondolewa na unatamani ingetumika tena. Kwangu mimi uwa naikumbuka Sheria ya Goli la Dhahabu...
Back
Top Bottom