soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitendo cha Mashabiki wa Yanga kuonyesha picha ya Mwenyekiti wa CCM kwenye tamasha lao kilaaniwe na wapenda soka dunia nzima

    Hili jambo halikubaliki na likemewe kwa nguvu zote na TFF na mamlaka zingine , michezo ndio eneo pekee linalokutanisha wananchi wote na wenye itikadi tofauti , kuingiza siasa za ccm ni kuleta mkanganyiko wa kijinga sana . Wako wana Yanga kibao ambao si wanaccm , siku wakiamua kupeperusha...
  2. Life2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukumbushane Majina (nick names) ya timu za taifa mpira wa miguu

    Sio mbaya leo weekend tukakumbushana majina mbadala ya timu za mpira wa miguu hasa za bara letu la Afrika. Itapendeza Ukataja bila kuzama Google we taja ukikosea watakuja wengine kufanya marekebisho ukitwambia na maana yake itapendeza zaidi,kwa kuwa mfano naanza Mimi. Taifa Stars - Tanzania...
  3. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

    Mchambuzi nguli wa habari ya michezo maarufu kama mwalimu Kashasha amefariki dunia hivi punde alipokuwa amelazwa hospitali ya Kairuki. Chanzo mimi mwenyewe niko eneo la tukio. ---- Mchambuzi nguli wa soka nchini Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 akipatiwa...
  4. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utata wagubika soka ya Hispania. Real Madrid na Barcelona watishia kugoma mechi zao kuoneshwa

    Soka la Hispania lipo chini ya Shirikisho lao la soka RFEF, ambao wao wana LA LIGA kama chombo huru kinachosimamia Ligi kuu na Daraja la kwanza Sasa kutokana na uhuru huo LA LIGA chini ya Javier Tebas wana mambo mengi wanafanya kinyume na mitazamo ya wengi, huku wakisema ni kibiashara zaidi...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 06.08.2021: Messi, Kane, Lukaku, Correa, Trippier, Aouar, Abraham, Armstrong

    Tangazo la Barcelona kwamba mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 34, hatabakia kwenye klabu hiyo ''limefungua mlango wa uhamisho wa kushtua " katika Manchester City. (Manchester Evening News). Uwepo wa Messi unaweza kuathiri uwezekano wowote wa uhamisho ambao Man City walikuwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vikwazo kwa Wanasoka Vijana wa Tanzania katika kucheza soka la kulipwa nchi za nje

    Soka ( ama mpila wa miguu ) ni moja kati ya michezo inayopendwa na kufuatiliwa sana ulimwenguni kote, Mchezo huu una wafuasi wengi zaidi ya michezo mingine duniani, Vijana mbali mbali duniani wamekuwa wakifaidika, kuwa maarufu na kujipatia maendeleo kupitia soka, vivo hivyo , Ndizo ndoto za...
  7. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soka la Zanzibar lazidi vituko, timu yashinda 50-0, nyingine 46-0 zikiwania kupanda daraja la kwanza

    Na @abubakarkisandu Zanzibar. Jana katika Michezo ya mwisho ya kuitafuta timu moja itakayopanda Daraja la Kwanza Kanda Unguja kutoka Ligi ya Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo Mchezo nambari 113 ulichezwa katika Uwanja wa Mau B timu ya Umoja wa Mbuzini ilishinda jumla ya mabao 50-0 dhidi ya New...
  8. Shadow7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabadiliko sheria tano za soka kutoka FIFA, kuchezwa dakika 60, kadi za njano na mengine

    Shirikisho la mpira wa miguu ulimwenguni FIFA, lipo katika kufanya majaribio ya mabadiliko ya baadhi ya sheria ambazo huwenda zikaja kuanza kutumika siku za usoni huku lengo kuu ikiwa ni kuuboresha zaidi mchezo huo pendwa. Majaribio hayo yameanza kufanywa kwenye Mashindano ya Vijana...
  9. Mnyuke Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya soka ya Leonel Messi

    Lionel Andrés Messi alizaliwa 24 Juni 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina anayecheza katika klabu ya Barcelona F.C. iliyopo nchini Hispania na timu ya taifa ya Argentina. Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora wa muda wote, Messi kafanikiwa kuchukua tuzo za Ballon d’Or mara...
  10. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Maisha ya soka ya Cristiano Ronaldo

    Cristiano Ronaldo na mkewe Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro alizaliwa kwenye kisiwa cha Madeira, Ureno, 5 Februari 1985) ni mchezajisoka wa Ureno. Nafasi yake ni ushambuliaji; kwa sasa anacheza nchini Italia katika klabu ya Juventus na timu yake ya taifa. Mara nyingi huchukuliwa kuwa...
  11. Kasomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waafrika hatupaswi kushabikia soka la Ulaya

    Waafrika Haipaswi Kushabikia Soka la ulaya "Uropa" Waafrika wanapoteza wakati muhimu kutazama Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga ya Uhispania, Bundesliga na ligi zingine za kandanda za Uropa. Wakati wanapuuza ligi zao za michezo. Kwa sababu tumeambiwa kwamba kutazama mpira wa miguu ni jambo la...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga tumekosaje Ubingwa? Hongereni Watani, tumeona mabadiliko makubwa mliyoyafanya katika Soka lenu

    Hili swali tuliambiwa tuwaulize GSM kama ikitokea tumekosa Ubingwa na ni kutokana na kikosi kikali ambacho Yanga tulisajili ukilinganisha na cha Simba chenye wachezaji Wazee. miaka karibia 4 Simba imekuwa na Kikosi cha wachezaji wazee sana. lakini inashangaza hawa ndo wanaokipatia matokeo...
  13. Linguistic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakongwe wa Soka Tanzania unweza kuwatambua hawa?

    Wakuu, Kama mkiweza kuwatambua hawa, basi Nyie ni mkongwe ktk soka [emoji2]
  14. Chinga One

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye suala la soka mashabiki wa Uingereza ni zaidi ya vichaa

    Hawa jamaa bana wanajua kushangilia asee nadhani pombe pia inachangia. Haya Ujerumani kashakula 2-0 huko.
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, nani anastahili pongezi katika soka la Tanzania?

    Yawezekana kuna watu watakataa lakini hilo ni 'non of my business ' Nije kwenye mada moja kwa moja, kwa maoni yangu naona soka la bongo limekuwa zuri haswa, yaani hata ukilipa au kutenga muda kuangalia mpira unafurahi. Binafsi sikuwa mpenzi wa kukaa na kuangalia mpira wa Bongo katika TV ila...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taifa Stars vs Malawi: Mdau wa Soka una maoni gani kwa timu yetu?

    Maingizo mapya, Poulsen anatuonyesha Vijana wanaweza kufanya mambo mazuri. Wewe kama mdau una maoni gani?
  17. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sheria ipi ya soka iliyofutwa ambayo unatamani ingeendelea kutumika?

    Katika mpira wa miguu ambao uwa unasimamiwa na Sheria mbalimbali ambazo zinazotolewa na FIFA, kuna baadhi ya Sheria zimeondolewa. Ukiwa kama mpenda soka je Sheria gani unaikumbuka Sana ambayo imeondolewa na unatamani ingetumika tena. Kwangu mimi uwa naikumbuka Sheria ya Goli la Dhahabu...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Wabunge kushangilia timu ya Soka ya nje ni sawa, tena ndani ya Bunge

    Jumatatu iliyopita Wabunge ambao waliripotiwa kuwa ni mashabiki was Yanga waliingia Bungeni wakiwa na bashsha Bila kuficha furaha yao walinyoosh vidole vyo juu wakiashiria kufurahia kipigo ilichokipata Simba mbele ya Kaiser ya Afrika kussini. Nilijiuliza maswali mengi kwa tukio like lissilo...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba, vitendo vyenu vya kishirikina vinaharibu taswira ya soka la Tanzania

    This is Simba. Vitendo Kama hivi vinachefua na kuharibu taswira nzima ya soka la nchi yetu. Serikali ikemee vikali tabia hizi
  20. Fohadi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasimama na Yanga

    Tunaweza tusikichukulie kwa jicho la tatu ila kitendo kilichofanywa na yanga ni cha kishujaa na manufaa makubwa ya soka letu. Kama hii mechi ingechezwa leo saa 1 usiku basi tayari ndio ingekuwa michezo ya TFF kila siku kucheza na ratiba kwa sababu wangejua kumbe hakuna kitu chochote...
Back
Top Bottom