sms

SMS (short message service) is a text messaging service component of most telephone, Internet, and mobile device systems. It uses standardized communication protocols that let mobile devices exchange short text messages. An intermediary service can facilitate a text-to-voice conversion to be sent to landlines.SMS, as used on modern devices, originated from radio telegraphy in radio memo pagers that used standardized phone protocols. These were defined in 1986 as part of the Global System for Mobile Communications (GSM) series of standards. The first test SMS message was sent on December 3, 1992, when Neil Papwort, a test engineer for Sema Group, used a personal computer to send "Merry Christmas" to the phone of colleague Richard Jarvis. SMS rolled out commercially on many cellular networks that decade and became hugely popular worldwide as a method of text communication. By the end of 2010, SMS was the most widely used data application, with an estimated 3.5 billion active users, or about 80% of all mobile phone subscribers.
The service allows users to send and receive messages of up to 160 characters (when entirely alpha-numeric) to and from GSM mobiles. Although most SMS messages are sent from one mobile phone to another, support for the service has expanded to include other mobile technologies, such as ANSI CDMA networks and Digital AMPS.Mobile marketing, a type of direct marketing, uses SMS. According to a 2018 market research report, the global SMS messaging business was estimated to be worth over US$100 billion, accounting for almost 50 percent of all revenue generated by mobile messaging.

View More On Wikipedia.org
  1. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS ya I miss you kwenye simu ya mpenzi wangu, nifanyaje?

    Chai ni tamu ikiwa ya moto, ikipoa sasa umeme na gesi vyote vikawa vimeisha ndio utajua hujui. Haya sasa, kwa mnaonifahamu ingawa mimi sio mwamba. Msaidieni mwenzenu apashe kiporo au?
  2. Requal

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

    Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweli Tukaendelea Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the...
  3. Until_The_End

    JamiiForums Tanzania Msaada: njia ya kuforwad automatic email kutoka gmail kuja sms za kawaida

    Habari wakuu: Kichwa cha thread kinajieleza naomba mnisaidie njia ya kufoward email zangu zikiingia tu kasha la kupokelea zije moja kwa moja kwenye inbox ya kawaida kama SMS. Nimegoogle nikakutana na msamiati "SMS gateway domain" hapo nikashindwa. Mnisaidie kupata hiyo njia na maelezo ya huo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

    Habari, Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana. Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu...
  5. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO: Matangazo yanayoingia kwa SMS yatozwe/yaongezewe kodi

    Mitandao ya simu imekuwa ikituma matangazo yao mbalimbali kwa njia ya SMS kama vile M-KOBA, SONGESHA, VODABIMA, 15350, VodaTaarifa, Vodacom Ofa, M-PAWA, LipaKwaSimu, TigoPesa, TigoNivushe, 15571, BUSTISHA, TIGOPEKEE na SMS Code zingine. Matangazo haya pamoja na kwamba yanaweza yakawa...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tigo mnatuchosha na sms za 'Kopa Simu'

    Asubuhi hata hatujanywa chai, sms inaingia "Kopa Simu" Mchana hata sijaenda kula ugali kwa mlenda na dagaa wenye pilipili kali sms inaingia, Kopa Simu. Usiku najiandaa kubaiolojika, sijaanza mambo vizuri unasikia sms ukiifingua, Kopa Simu. Tigo na Zantel Mnatuchosha jamani, sms zenu za" Kopa...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa mauaji ya mke amtumia sms mama mkwe

    Moshi. Ni matukio nadra kutokea katika jamii, baada ya mtuhumiwa anayesakwa kwa udi na uvumba na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, kumwandikia mama mkwe ujumbe mfupi (SMS), kuelezea ushiriki wake katika tukio hilo. Mtuhumiwa anadaiwa kutuma ujumbe huo wakati polisi wakiwa tayari wamechukua...
  8. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Kwanini anakupotezea kwenye sms lakini mkionana anakuchangamkia

    Umemshawishi ukachukua namba ya mwanamke mzuri umtakaye. Akilini mwako ushapanga kumtoa out. Jinsi utakavyomfikisha kileleni na ufundi wako wa kitandani. Kadri siku zinavyozidi kwenda ndo unazidi kumuwaza na kuona unachelewa. Ukikutana nae katika mizunguko ya kila siku mnaongea vizuri tu...
  9. Venture783

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Anayejua kuhusu ALSTZ anisaidie

    ALSTZ ni kinani? Wamenitumia sms hii hapa "This is to inform you that your order is confirmed, Code is 848837. We are delighted to have you as our customer" na sijajiunga na huduma yoyote! Anayewajua tafadhali msaada isije kuwa mtego.
  10. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Usiombe mtu unayemjua akukaushie kwa kutokujibu SMS

    Siku 3 zilizopita Mwanamziki Benpol alisema hakufurahia ndoa kama ambavyo anaona wengine wanavyofurahia ndoa zao. Ndoa anayoizungumzia ni ya yeye na Anerlisa - binti kutoka Kenya. Lakini mara kadhaa Anerlisa amesisitiza kuwa hataki kuzungumziwa na Benpol kwa chochote - iwe ni kizuri au kibaya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Amenisadia sana, lakini nataka nimuache niolewe na HB. Namuachaje kiustaarabu?

    Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori. The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha. Kanifanyia makubwa sana hapa mjini...
  12. ChizzoDrama

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kufungua line ya Vodacom upande wa calls na sms

    Habari wadau Nilikua najaribu kuminya codes tofauti kwenye simu yangu, Sasa sijajua nimeilock kwa codes zip? Laini ninayo tumia ni Vodacom , naomba msaada wa codes za kui activate, Natanguliza shukrani zangu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Simu yangu inabadilisha SMS kuwa MMS

    Habari zenu wana jamii Naomba msaada tafadhali, simu yangu kila meseji ninayoituma hata ikiwa nataka kufowadi namba au meseji ndefu na fupi ina convert to MMS, nimehangaika nimeshindwa nimekuja hapa tusaidiane hili suala Natumia Samsung A02
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni wakati gani mtu anaweza kuthibisha amemfumania mpenzi wake: Kumuona anaongea na mtu? Kumkuta chumbani kwa mtu? Kukuta SMS ya mahaba?

    Kila mahusiano yanakumbana na hizi changamoto. Mtu anamkuta mtu wake anapiga stori na mtu ina kuwa ugomvi. Akimkuta chumbani kwa mtu ndio balaa kabisa. Fumanizi huwa ni kipindi gani?
  15. OLS

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya SMS na Simu yanapungua, wamejua na wanaongeza bei za data

    Kwenye mawasiliano mtu anaweza kutumia SMS au simu za kawaida kuwasiliana. Hata hivyo uwepo wa internet unaonesha watu wengi wanapiga simu kwa namna nyingine tofauti na kutumia ujumbe kwa njia nyingine zaidi ya SMS. Uwepo wa mitandao kama WhatsApp, Telegram etc unaonesha watu wanaweza kupigiana...
  16. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Natafuta Bulk SMS Provider ambaye ana bei nafuu

    Wadau! Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Ni buheri wa afya hapa morogoro katika chimbo fulani hivi. Bila kupoteza muda. Natafuta bulk SMS Provider ambaye bei zake ni nafuu. Kuna jamaa fulani kule kenya wanafanya kwa KES 0.2/sms (Bongo ni sh 3.5 hivi). Sasa wabongo wengi wanachezea TZS 13...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Airtel rekebisheni haraka hii changamoto ya vifurushi vya SMS

    Nianze na hili, Kwa shilingi elfu Moja unapata SMS za Wiki zipatazo 5000 na Kwa elfu 2 unapata SMS za mwezi 9000. Maajabu, Mmeweka Ukomo wa Kutumia SMS hizo, yaan Kwa siku Mteja wenu atumie SMS 300 tu, kiwe ni kifurushi cha wiki au mwezi. Tafasiri yake Kwa Mteja wa Kifurushi Cha wiki Sms...
  18. Checnoris

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimemsahau. Nilikuwa nikimpigia au kum-SMS mara 10 kwa wiki, nimetulia

    Huyu ni mke wa mtu. Nilikuwa ninaomba dua niachane naye, ikashindikana, nisi muwaze ikashindikana, nilimtumia pesa na zawadi kibao. Jf ilinishauri sana kiachana naye, nilijitahisi sana. Nikajijuta siku Moja nikaipiga shoo moja ya hovyo sana. Nilikuwa dhaifu asna na nikijua na yeye hakuifurahia...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!. "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi". Mimi nimeupata ujumbe...
  20. Buza Kwa Mpalange

    JamiiForums Tanzania Kwanini matapekli wengi wanatumia namba za TTCL na kwanini wanaotumiwa SMS za kitapeli wengi ni wateja wa TTCL?Sababu ni hizi hapa

    Kwanini matapekli wengi wanatumia namba za TTCL na kwanini wanaotumiwa SMS za kitapeli wengi ni wateja wa TTCL? Sababu ni hizi hapa 1. Watu wa kwanza kulaumiwa ni HUDUMA YA WATEJA wa ofisin za TTCL. Hawa wanasajili laini zetu na ndio wanakutana na matapeli kisha wanatuuza, Mfano ni huu Mimi...
Back
Top Bottom