Machache Kuhusu SMS Marketing

Bossprota

JF-Expert Member
Jul 16, 2015
326
333
SMS-Marketing-Webizonacom-zMBlP8wP-ROd4M.png

SMS MARKETING STRATEGY
(Mkakati wa masoko ya ujumbe mfupi)

SMS Marketing ni Tanzu ya masoko yakidigitali ambayo hutumia ujumbe mfupi(kwenye simu) kufikisha ujumbe kwa wateja au wahitaji wa huduma kwaajili ya kuwapa habari mbalimbali kuhusiana na huduma mbalimbali za kwenye biashara yako.

AINA ZA SMS (Jumbe Fupi)
Zipo aina mbalimbali za SMS ambazo hutumiwa kwa mlengo wa kimasoko ambayo ni:

(1) Personal SMS
Hizi ni sms ambazo hutumwa kwakutumia namba za kawaida kwa kutumia namba ya simu ya mkononi zakawaida. Ni aina za sms pia ambazo zinauwezo wakutumika kwa mlengwa wa kimasoko pia.

(2) Group SMS

Hizi ni sms ambazo hutumwa kwa njia za kawaida ila kupelekwa kwa walengwa wengi yaani kikundi maalumu cha watu ambao huitajika kupata taalifa fulani mfano katika sms hizi za kikundi huwa zinamaudhui yenye uwingi saana napia kunakuwa na namba za simu kwaajili ya kutumiwa hizo SMS.

(3) Bulk SMS
Hizi ni sms ambazo hutumwa kwa kutumia mifumo maalumu kwa kuambatanisha namba,kiwakilishi au utambulisho wa biashara ambayo huja na jina ambalo haujalisave kwenye phone book(majina yako)
Sofa mojawapo ya hizi sms huwa hazikuruhusu kujibu(kureply).

UMUHIMU/FAIDA ZA SMS MARKETING
(Kwanini utumie sms Marketing kwenye biashara yako?)

(1) Ni njia rafiki ya kutangaza biashara/huduma yako kwa usahihi mfano.. haihitaji ujuzi mwingi katika kuandika ujumbe tofauti na tanzu nyingine za masoko yakidigitali.

(2) Ni nzuri kuunganishia njia zako Zinedine zakutafutia masoko mfano.
Unaweza kutuma sms nakuweka njia ya mteja au mlengwa kupata maelezo zaidi kuhusiana na huduma yako mfano kupitia sms unaweza mpeleka mteja youtube akajifunze au akaaangalie ufafanuzi zaidi au ukampeleka whatsap au chanel zinginezo zakimasoko.

(3) Ni Njia yenyematokeo ya uhakika na haraka mfano kwa mtu yoyote anaweza kupokea sms ilimradi awe na simu na awe anapatikana basi hii inafanya sms Marketing kuwa njia ya uhakika zaidi ya kutafutia masoko mfano ukiwatumia sms watu 100 watu 80 lazima wataufungua ujumbe pia kwa Tanzania nzima kunawatumiaji wa simu wengi yaani kwenye kila nyumba 100 nyumba 90 zina simu hivyo inafanya hii kuwa njia ya uhakika ya kutafutia masoko.

(4) Gharama nafuu
Ukilinganisha na njia zingine za masoko yakidigitali Naeza kusema hii sms marketing ndio njia yenye gharama nafuu na matokeo ya haraka kwa biashara yako kwa sababu haina michakato mingi mfano kwa mtu anaetumia social media marketing kunagharama nyingi kuanzia katika uandaaji kwenye sms Marketing hakuhitaji video wala graphic designing ili uiendeshe hii njia ya masoko pia haitumii muda mwingi inamaaana matokeo unaanza kuyapata punde tu baada ya kutuma ujumbe wa masoko mfano tofauti na SMM ukishapost ujumbe mpaka usubili approval kutoka kwa wamiliki wa mitandao hiyo.

HASARA/CHANGAMOTO ZA KUTUMIA SMS MARKETING

Kama tunavyojua kila chenye faida hakikosi hasara/changamoto hivyo hata kwenye upande wa sms marketing kunachangamoto pia ambazo ni kama zifuatazo!

(1) Haikupi uwanja mpana wakujieleza kama ilivyo katika tanzu zingine zamasoko yakidigitali.

(2) Inatumia data/material za aina moja ambazo ni maandishi hakuna viambata mfano kama unataka kutuma sms huwez ambatanisha na picha wala video.

(3) Ni rahisi kufutika na hairudishiki mfano ukifuta data zingne nirahis kuzirudisha tofauti na sms zinakuwa ngumu kuzirudisha.

AINA ZA SMS AMBAZO ZINAWEZA KUKUSAIDIA KATIKA KUPATA WATEJA/KUBORESHA UHUSIANO WAKO NA WATEJA
(1) SMS za kujitambulisha kwa wateja
SMS Hizi huwa na dhumuni la kumjuza mlengwa kwamba wewe/nyinyi ninani na unajihusisha/mnajihusisha nanini? Mfano biashara yako ni ya nguo halafu mteja hahaha must chochote kuhusu uwepo wenu hapo utatuma SMS kwa lengo la kutengeneza awareness yako kwa mteja.

(2) SMS za kutambulisha bidhaa/huduma mpya zilizoletwa/anzishwa ofisini kwako au dubai kwako mfano mnamzigo mpya umefika dukani ni rahisi kuwajuza wateja kwa SMS na wakaelewa kiurahisi na kwa haraka tofauti na kwa njia zingine.

(3) SMS za kutoa maelezo ya ziada mfano kama kunamabadiliko ya bei au ya mfumo wa ufanyaji kazi katika ofisi au kama kunamabadiliko ya mazingira no hapa inatumika pia SMS Marketing kwaajili ya kupeleka taalifa kwa haraka kwa walaji/wateja/wahudumiwaji ili kuepusha usumbufu usio wa lazima...

(4) SMS za kuwaunganisha wateja na viungo mbalimbali vya ofisi/biashara/duka nk. Mfano sms inakuwa na link yakujiunga na group za WhatsApp Telegram kuangalia bidhaa au huduma zingine kwenye website kwa kuongeza kiungo(link) ya huko unakotaka wateja waende...

(5) SMS kwaajili ya kuwapa wateja mrejesho(feedback)
Mfano mteja kafanya malipo inahitajika apate sms ili ajue kama muamala umefika au bado au ajue kama kunamaombi ali request yapo katika hali gani yamekubaliwa au bado.

(6) SMS kwaajili ya kuwakumbusha wateja (reminding/alerting)
Hizi ni sms ambazo hutumwa kwa wateja kuwakumbusha kuhusu huduma walizowahi kuzifanya mwanzo na kuwajuza kwamba wanahitajika kurudia tena na tena pia hii inaweza kuwakumbusha wateja vitu vya msingi wakati wa kutumia bidhaa zenu mfano mteja kanunua gari unamkumbusha vitu muhimu vya kuzingatia mfano mwendo kasi, ulevi wakati wakuendesha nk.

VITU VIKUBWA VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUTENGENEZA MKAKATI MASOKO WA UJUMBE MFUPI
Sio Kila SMS inayotumwa inaweza kuwa ni ya kimasoko bali kuna vitu ambavyo inabidi izingatiwe wakati wa kuandikwa ili iwe imekidhi hivyo vigezo vya kuwa SMS ya kimasoko.

Vigezo hivyo ni:

(1) Ujumbe Uwe Mfupi
Yaaani iwe ni sms isiyozidi hasa maneno 150 yanayo beba ujumbe mzima.

(2) Tuma SMS Wakati Sahihi
Mfano Hakikisha unatuma sms muda ambao unahisi watu wengi wapo active mfano usitume sms ya masoko usiku wa manane hakuna mtu atakae kuzingatia kwanza atakuona wewe ni msumbufu tu hivyo fanya sana timing za wateja wako sio kutuma muda wowote. Mfano kuanzia saa3 asubuhi hadi saa 3 usiku huu ndio muda ambao watu wengi husoma jumbe za simu kwahiyo zingatia muda huo...

(3) Fuata Sheria Za Uandishi Wa Matangazo (copy writing rules)
Inabidi ujifunze kanuni mbalimbali za kuandika matangazo ili uweze kuandika SMS yenye nguvu ya ushawishi na mvuto kwa wateja na yenye kuweza kumwambia mteja afanye nini na mteja akatii.

HATUA ZAKUFUATA KUANDIKA SMS YA KIMASOKO
(1) Pambanua lengo la kutuma hiyo sms mfano n kwaajili ya kujitambulisha,kutangaza bidhaa mpya au kutoa taalifa fulan kwa wateja?
(2) Tafuta watu yaan andaa contact list ya walengwa unaohitaji waupate uo ujumbe wako.
(3) Andika huo ujumbe wako.
(4) Pitia huo ujumbe kwaumakini(fanya proof reading) nakusahihisha makosa yako.
(5) Tuma ujumbe wako

YANGU NI HAYO TU

WAKO MTIIFU

PROTAS MUSSA
Digital Marketing Strategist & Consultant
 
SMS MARKETING STRATEGY
(Mkakati wa masoko ya ujumbe mfupi)

SMS Marketing ni Tanzu ya masoko yakidigitali ambayo hutumia ujumbe mfupi(kwenye simu) kufikisha ujumbe kwa wateja au wahitaji wa huduma kwaajili ya kuwapa habari mbalimbali kuhusiana na huduma mbalimbali za kwenye biashara yako........
AINA ZA SMS (Jumbe Fupi)
Zipo aina mbalimbali za SMS ambazo hutumiwa kwa mlengo wa kimasoko ambayo ni.....

(1).Personal SMS
Hizi ni sms ambazo hutumwa kwakutumia namba za kawaida kwa kutumia namba ya simu ya mkononi zakawaida. Ni aina za sms pia ambazo zinauwezo wakutumika kwa mlengwa wa kimasoko pia...
(2).Group SMS
Hizi ni sms ambazo hutumwa kwa njia za kawaida ila kupelekwa kwa walengwa wengi yaani kikundi maalumu cha watu ambao huitajika kupata taalifa fulani mfano katika sms hizi za kikundi huwa zinamaudhui yenye uwingi saana napia kunakuwa na namba za simu kwaajili ya kutumiwa hizo sms....
(3).Bulk sms
Hizi ni sms ambazo hutumwa kwa kutumia mifumo maalumu kwa kuambatanisha namba,kiwakilishi au utambulisho wa biashara ambayo huja na jina ambalo haujalisave kwenye phone book(majina yako)
Sofa mojawapo ya hizi sms huwa hazikuruhusu kujibu(kureply)...

UMUHIMU/FAIDA ZA SMS MARKETING
(Kwanini utumie sms Marketing kwenye biashara yako?)
(1).Ni njia rafiki ya kutangaza biashara/huduma yako kwa usahihi mfano.. haihitaji ujuzi mwingi katika kuandika ujumbe tofauti na tanzu nyingine za masoko yakidigitali..
(2).Ni nzuri kuunganishia njia zako Zinedine zakutafutia masoko mfano..
Unaweza kutuma sms nakuweka njia ya mteja au mlengwa kupata maelezo zaidi kuhusiana na huduma yako mfano kupitia sms unaweza mpeleka mteja youtube akajifunze au akaaangalie ufafanuzi zaidi au ukampeleka whatsap au chanel zinginezo zakimasoko....

(3).Ni Njia yenyematokeo ya uhakika na haraka mfano kwa mtu yoyote anaweza kupokea sms ilimradi awe na simu na awe anapatikana basi hii inafanya sms Marketing kuwa njia ya uhakika zaidi ya kutafutia masoko mfano ukiwatumia sms watu 100 watu 80 lazima wataufungua ujumbe pia kwa Tanzania nzima kunawatumiaji wa simu wengi yaani kwenye kila nyumba 100 nyumba 90 zina simu hivyo inafanya hii kuwa njia ya uhakika ya kutafutia masoko....
(4).Gharama nafuu
Ukilinganisha na njia zingine za masoko yakidigitali Naeza kusema hii sms marketing ndio njia yenye gharama nafuu na matokeo ya haraka kwa biashara yako kwa sababu haina michakato mingi mfano kwa mtu anaetumia social media marketing kunagharama nyingi kuanzia katika uandaaji kwenye sms Marketing hakuhitaji video wala graphic designing ili uiendeshe hii njia ya masoko pia haitumii muda mwingi inamaaana matokeo unaanza kuyapata punde tu baada ya kutuma ujumbe wa masoko mfano tofauti na SMM ukishapost ujumbe mpaka usubili approval kutoka kwa wamiliki wa mitandao hiyo....

HASARA/CHANGAMOTO ZA KUTUMIA SMS MARKETING
Kama tunavyojua kila chenye faida hakikosi hasara/changamoto hivyo hata kwenye upande wa sms marketing kunachangamoto pia ambazo ni kama zifuatazo!
(1).Haikupi uwanja mpana wakujieleza kama ilivyo katika tanzu zingine zamasoko yakidigitali.
(2).Inatumia data/material za aina moja ambazo ni maandishi hakuna viambata mfano kama unataka kutuma sms huwez ambatanisha na picha wala video.
(3).Ni rahisi kufutika na hairudishiki mfano ukifuta data zingne nirahis kuzirudisha tofauti na sms zinakuwa ngumu kuzirudisha.

AINA ZA SMS AMBAZO ZINAWEZA KUKUSAIDIA KATIKA KUPATA WATEJA/KUBORESHA UHUSIANO WAKO NA WATEJA
(1).SMS za kujitambulisha kwa wateja
SMS Hizi huwa na dhumuni la kumjuza mlengwa kwamba wewe/nyinyi ninani na unajihusisha/mnajihusisha nanini? Mfano biashara yako ni ya nguo halafu mteja hahaha must chochote kuhusu uwepo wenu hapo utatuma SMS kwa lengo la kutengeneza awareness yako kwa mteja ...
(2).SMS za kutambulisha bidhaa/huduma mpya zilizoletwa/anzishwa ofisini kwako au dubai kwako mfano mnamzigo mpya umefika dukani ni rahisi kuwajuza wateja kwa SMS na wakaelewa kiurahisi na kwa haraka tofauti na kwa njia zingine....
(3).SMS za kutoa maelezo ya ziada mfano kama kunamabadiliko ya bei au ya mfumo wa ufanyaji kazi katika ofisi au kama kunamabadiliko ya mazingira no hapa inatumika pia sms Marketing kwaajili ya kupeleka taalifa kwa haraka kwa walaji/wateja/wahudumiwaji ili kuepusha usumbufu usio wa lazima...
(4).SMS za kuwaunganisha wateja na viungo mbalimbali vya ofisi/biashara/duka nk. Mfano sms inakuwa na link yakujiunga na group za WhatsApp Telegram kuangalia bidhaa au huduma zingine kwenye website kwa kuongeza kiungo(link) ya huko unakotaka wateja waende...
(5).SMS kwaajili ya kuwapa wateja mrejesho(feedback)
Mfano mteja kafanya malipo inahitajika apate sms ili ajue kama muamala umefika au bado au ajue kama kunamaombi ali request yapo katika hali gani yamekubaliwa au bado ..
(6).SMS kwaajili ya kuwakumbusha wateja (reminding/alerting)
Hizi ni sms ambazo hutumwa kwa wateja kuwakumbusha kuhusu huduma walizowahi kuzifanya mwanzo na kuwajuza kwamba wanahitajika kurudia tena na tena pia hii inaweza kuwakumbusha wateja vitu vya msingi wakati wa kutumia bidhaa zenu mfano mteja kanunua gari unamkumbusha vitu muhimu vya kuzingatia mfano mwendo kasi, ulevi wakati wakuendesha nk...

VITU VIKUBWA VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUTENGENEZA MKAKATI MASOKO WA UJUMBE MFUPI
Sio Kila SMS inayotumwa inaweza kuwa ni ya kimasoko bali kuna vitu ambavyo inabidi izingatiwe wakati wa kuandikwa ili iwe imekidhi hivyo vigezo vya kuwa SMS ya kimasoko
Vigezo hivyo ni...
(1).Ujumbe Uwe Mfupi
Yaaani iwe ni sms isiyozidi hasa maneno 150 yanayo beba ujumbe mzima...
(2).Tuma SMS Wakati Sahihi
Mfano Hakikisha unatuma sms muda ambao unahisi watu wengi wapo active mfano usitume sms ya masoko usiku wa manane hakuna mtu atakae kuzingatia kwanza atakuona wewe ni msumbufu tuu hivyo fanya sana timing za wateja wako sio kutuma muda wowote.. mfano kuanzia saa3 asubuhi hadi saa 3 usiku huu ndio muda ambao watu wengi husoma jumbe za simu kwahiyo zingatia muda huo...
(3).Fuata Sheria Za Uandishi Wa Matangazo.(copy writing rules)
Inabidi ujifunze kanuni mbalimbali za kuandika matangazo ili uweze kuandika SMS yenye nguvu ya ushawishi na mvuto kwa wateja na yenye kuweza kumwambia mteja afanye nini na mteja akatii..

HATUA ZAKUFUATA KUANDIKA SMS YA KIMASOKO
(1).Pambanua lengo la kutuma hiyo sms mfano n kwaajili ya kujitambulisha,kutangaza bidhaa mpya au kutoa taalifa fulan kwa wateja?.
(2).Tafuta watu yaan andaa contact list ya walengwa unaohitaji waupate uo ujumbe wako.
(3).Andika huo ujumbe wako.
(4).Pitia huo ujumbe kwaumakini(fanya proof reading) nakusahihisha makosa yako.
(5).Tuma ujumbe wako

YANGU NI HAYO TU
WAKO MTIIFU
PROTAS MUSSA
Digital Marketing Strategist &Consultant
Nilisikia waziri mh. Nape akisema makampuni ya simu wasitume sms kwa wateja wao kwa huduma ambazo mteja hakuomba. Unasemaje kuhusu hili?
 
Kwanza nikosa kumtumia mtu ujumbe wakibiashara kama ajawahi kuwa mteja wahuduma hiyo
 
SMS MARKETING STRATEGY
(Mkakati wa masoko ya ujumbe mfupi)

SMS Marketing ni Tanzu ya masoko yakidigitali ambayo hutumia ujumbe mfupi(kwenye simu) kufikisha ujumbe kwa wateja au wahitaji wa huduma kwaajili ya kuwapa habari mbalimbali kuhusiana na huduma mbalimbali za kwenye biashara yako.

AINA ZA SMS (Jumbe Fupi)
Zipo aina mbalimbali za SMS ambazo hutumiwa kwa mlengo wa kimasoko ambayo ni:

(1) Personal SMS
Hizi ni sms ambazo hutumwa kwakutumia namba za kawaida kwa kutumia namba ya simu ya mkononi zakawaida. Ni aina za sms pia ambazo zinauwezo wakutumika kwa mlengwa wa kimasoko pia.

(2)Group SMS
Hizi ni sms ambazo hutumwa kwa njia za kawaida ila kupelekwa kwa walengwa wengi yaani kikundi maalumu cha watu ambao huitajika kupata taalifa fulani mfano katika sms hizi za kikundi huwa zinamaudhui yenye uwingi saana napia kunakuwa na namba za simu kwaajili ya kutumiwa hizo SMS.

(3) Bulk SMS
Hizi ni sms ambazo hutumwa kwa kutumia mifumo maalumu kwa kuambatanisha namba,kiwakilishi au utambulisho wa biashara ambayo huja na jina ambalo haujalisave kwenye phone book(majina yako)
Sofa mojawapo ya hizi sms huwa hazikuruhusu kujibu(kureply).

UMUHIMU/FAIDA ZA SMS MARKETING
(Kwanini utumie sms Marketing kwenye biashara yako?)

(1) Ni njia rafiki ya kutangaza biashara/huduma yako kwa usahihi mfano.. haihitaji ujuzi mwingi katika kuandika ujumbe tofauti na tanzu nyingine za masoko yakidigitali.

(2) Ni nzuri kuunganishia njia zako Zinedine zakutafutia masoko mfano.
Unaweza kutuma sms nakuweka njia ya mteja au mlengwa kupata maelezo zaidi kuhusiana na huduma yako mfano kupitia sms unaweza mpeleka mteja youtube akajifunze au akaaangalie ufafanuzi zaidi au ukampeleka whatsap au chanel zinginezo zakimasoko.

(3) Ni Njia yenyematokeo ya uhakika na haraka mfano kwa mtu yoyote anaweza kupokea sms ilimradi awe na simu na awe anapatikana basi hii inafanya sms Marketing kuwa njia ya uhakika zaidi ya kutafutia masoko mfano ukiwatumia sms watu 100 watu 80 lazima wataufungua ujumbe pia kwa Tanzania nzima kunawatumiaji wa simu wengi yaani kwenye kila nyumba 100 nyumba 90 zina simu hivyo inafanya hii kuwa njia ya uhakika ya kutafutia masoko.

(4) Gharama nafuu
Ukilinganisha na njia zingine za masoko yakidigitali Naeza kusema hii sms marketing ndio njia yenye gharama nafuu na matokeo ya haraka kwa biashara yako kwa sababu haina michakato mingi mfano kwa mtu anaetumia social media marketing kunagharama nyingi kuanzia katika uandaaji kwenye sms Marketing hakuhitaji video wala graphic designing ili uiendeshe hii njia ya masoko pia haitumii muda mwingi inamaaana matokeo unaanza kuyapata punde tu baada ya kutuma ujumbe wa masoko mfano tofauti na SMM ukishapost ujumbe mpaka usubili approval kutoka kwa wamiliki wa mitandao hiyo.

HASARA/CHANGAMOTO ZA KUTUMIA SMS MARKETING

Kama tunavyojua kila chenye faida hakikosi hasara/changamoto hivyo hata kwenye upande wa sms marketing kunachangamoto pia ambazo ni kama zifuatazo!

(1) Haikupi uwanja mpana wakujieleza kama ilivyo katika tanzu zingine zamasoko yakidigitali.

(2) Inatumia data/material za aina moja ambazo ni maandishi hakuna viambata mfano kama unataka kutuma sms huwez ambatanisha na picha wala video.

(3) Ni rahisi kufutika na hairudishiki mfano ukifuta data zingne nirahis kuzirudisha tofauti na sms zinakuwa ngumu kuzirudisha.

AINA ZA SMS AMBAZO ZINAWEZA KUKUSAIDIA KATIKA KUPATA WATEJA/KUBORESHA UHUSIANO WAKO NA WATEJA

(1) SMS za kujitambulisha kwa wateja
SMS Hizi huwa na dhumuni la kumjuza mlengwa kwamba wewe/nyinyi ninani na unajihusisha/mnajihusisha nanini? Mfano biashara yako ni ya nguo halafu mteja hahaha must chochote kuhusu uwepo wenu hapo utatuma SMS kwa lengo la kutengeneza awareness yako kwa mteja.

(2) SMS za kutambulisha bidhaa/huduma mpya zilizoletwa/anzishwa ofisini kwako au dubai kwako mfano mnamzigo mpya umefika dukani ni rahisi kuwajuza wateja kwa SMS na wakaelewa kiurahisi na kwa haraka tofauti na kwa njia zingine.

(3) SMS za kutoa maelezo ya ziada mfano kama kunamabadiliko ya bei au ya mfumo wa ufanyaji kazi katika ofisi au kama kunamabadiliko ya mazingira no hapa inatumika pia SMS Marketing kwaajili ya kupeleka taalifa kwa haraka kwa walaji/wateja/wahudumiwaji ili kuepusha usumbufu usio wa lazima...

(4) SMS za kuwaunganisha wateja na viungo mbalimbali vya ofisi/biashara/duka nk. Mfano sms inakuwa na link yakujiunga na group za WhatsApp Telegram kuangalia bidhaa au huduma zingine kwenye website kwa kuongeza kiungo(link) ya huko unakotaka wateja waende...

(5) SMS kwaajili ya kuwapa wateja mrejesho(feedback)
Mfano mteja kafanya malipo inahitajika apate sms ili ajue kama muamala umefika au bado au ajue kama kunamaombi ali request yapo katika hali gani yamekubaliwa au bado.

(6) SMS kwaajili ya kuwakumbusha wateja (reminding/alerting)
Hizi ni sms ambazo hutumwa kwa wateja kuwakumbusha kuhusu huduma walizowahi kuzifanya mwanzo na kuwajuza kwamba wanahitajika kurudia tena na tena pia hii inaweza kuwakumbusha wateja vitu vya msingi wakati wa kutumia bidhaa zenu mfano mteja kanunua gari unamkumbusha vitu muhimu vya kuzingatia mfano mwendo kasi, ulevi wakati wakuendesha nk.

VITU VIKUBWA VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUTENGENEZA MKAKATI MASOKO WA UJUMBE MFUPI

Sio Kila SMS inayotumwa inaweza kuwa ni ya kimasoko bali kuna vitu ambavyo inabidi izingatiwe wakati wa kuandikwa ili iwe imekidhi hivyo vigezo vya kuwa SMS ya kimasoko.

Vigezo hivyo ni:

(1) Ujumbe Uwe Mfupi
Yaaani iwe ni sms isiyozidi hasa maneno 150 yanayo beba ujumbe mzima.

(2) Tuma SMS Wakati Sahihi
Mfano Hakikisha unatuma sms muda ambao unahisi watu wengi wapo active mfano usitume sms ya masoko usiku wa manane hakuna mtu atakae kuzingatia kwanza atakuona wewe ni msumbufu tu hivyo fanya sana timing za wateja wako sio kutuma muda wowote. Mfano kuanzia saa3 asubuhi hadi saa 3 usiku huu ndio muda ambao watu wengi husoma jumbe za simu kwahiyo zingatia muda huo...

(3) Fuata Sheria Za Uandishi Wa Matangazo (copy writing rules)
Inabidi ujifunze kanuni mbalimbali za kuandika matangazo ili uweze kuandika SMS yenye nguvu ya ushawishi na mvuto kwa wateja na yenye kuweza kumwambia mteja afanye nini na mteja akatii.

HATUA ZAKUFUATA KUANDIKA SMS YA KIMASOKO

(1) Pambanua lengo la kutuma hiyo sms mfano n kwaajili ya kujitambulisha,kutangaza bidhaa mpya au kutoa taalifa fulan kwa wateja?
(2) Tafuta watu yaan andaa contact list ya walengwa unaohitaji waupate uo ujumbe wako.
(3) Andika huo ujumbe wako.
(4) Pitia huo ujumbe kwaumakini(fanya proof reading) nakusahihisha makosa yako.
(5) Tuma ujumbe wako

YANGU NI HAYO TU

WAKO MTIIFU

PROTAS MUSSA
Digital Marketing Strategist & Consultant
naweza kupata namba yako?
 
Back
Top Bottom