siwezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wafuatao siwezi kuwashauri kitu kingine zaidi ya kuwataka warudi shule na kuongeza elimu.

    1. Kama mshahara wako unalipwa cash mkononi bila kupitia benki na vilevile hicho kiasi unaweza kuweka kwenye mfuko wa shati na ukaenea. Rudi shule. 2. Wale wote ambao mwezi December kazini kwao kulitangazwa kuwa ni likizo lakini watabaki wafanyakazi wachache kwa ajili ya dharura. Kama wewe ni...
  2. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hadi leo sielewi shida ni nini, mimi binafsi siwezi na sidhani kama nitakuja kuweza kufanya ngono na mwanamke asiye wangu!

    Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo! Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Gigy Money asaidiwe

    Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili.. Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa...
  4. Logikos

    JamiiForums Tanzania Je, mimi kama mlipa Kodi naweza kumuagiza kiongozi kufanya jambo lenye manufaa kwa wananchi?

    Naomba niulize, mimi kama mlipa Kodi siwezi kumuagiza Kiongozi yoyote afanye jambo ambalo ni faida kwa wananchi? Kama atafanya au kutofanya hilo ni suala jingine. Sasa kama jamii ni vema kutumia rasilimali muda kujiuliza kwanini fulani amemuagiza Mtumishi wa Umma afanye hiki au kile au...
  5. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ex wangu jamani, alichonifanyia siwezi msahau...

    sasa embu niambie basi wewe mpenzi msomaji ukimkumbuka ex wako unakumbuka nini? kizuri au kibaya!
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu siwezi kuacha kabisa.

    Nikianza kusema hivyo kuna watu watafikiria kuna kitu nafanya halafu siwezi kuacha kukifanya.Sio hivyo mimi siwezi kuacha kwa maana ya kuacha hasa. Mimi kwa sasa nimebaki na wake watatu baada ya mmoja kutangulia mbele ya safari..Hawa wake zangu si malaika kama nilivyo mimi,huwa kuna siku...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwa dhaifu kwa mwanamke. Haitatokea.

    Nitampa heshima yake na kumhudumia kadri ya uwezo wangu ila akiringa tu mbele zangu biashara imeisha. Wife analijua hili na anaishi na Mimi kwa umakini mkubwa. Mtu anayeitwa mwanamke hawezi kunipeleka au kuniringia kisa nampenda. Nyie wanaume wenzangu mnaopelekwa mpaka na ma bar maids...
  8. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Moja ya kitu ambacho siwezi thubutu kukifanya ni Kumnunulia Mwanamke Chupi

    Ukihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!. Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE" Mambo hayo ni :- 1.KUMSOMESHA 2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI") Mambo mengine yote naweza kuyafanya...
  9. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kununua shati Kariakoo kidogo nigeuzwe mwizi

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Wiki iliyoisha nilikuwa na mtoko wa kuelekea mahali fulani,nikasema siwezi kwenda huko bila kutupia mitupio ya Ki-Jentromeni,nikaona isiwe tabu nielekee Kariakoo ambako ningepata mavazi mazuri kwa bei nzuri iliyoendana na bajeti yangu. Sasa nilipofika...
  10. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuishi Dar...

    Habari zenu.. Juzi nilikuwa Dar maeneo ya Mabibo kweli Dar sio sehemu pakuishi watu. Kwanza vijana wa ovyo sana, wanajiona wajanja halafu pesa hawana, nguo zao sasa za ajabu kweli. Joto kama jehanamu ndani mtiti nje mtiti, vile vinyumba vyao vifupi kama mabanda ya kufugia nguruwe. Kuna...
  11. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Huwa naachana na watu kisa kukoroma siwezi kabisa

    Basi ashampoo sasa hivi si nimerudi mjini kuna pisi nimekutana nayo tiktok shape kali sana tukachat kama week mbili hivi ikanielewa mimi mzee wa mashape ndo ugonjwa wangu. Pisi ilikuwa Singida nikakomaa nikatuma 80000 ije Dar tuonane. Nimeipokea ikaja kwangu hadi naandika uzi huu...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

    Mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba." Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!" Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu...
  13. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Maishani kamwe siwezi kufanya mambo haya, wewe ni mambo yapi huwezi kufanya?

    Peace be with you all sons of Zion, Katika maisha kuna mambo piga ua galagaza siwezi kuyafanya sioni manufaa yoyote yapatikanayo kwayo: 1. Kwenda kwa waganga 2. Kushabikia mamipira 3. Kunywa pombe 4. Kumrudia mwanamke niliemuacha 5. Kumpunja mtu haki zake Na wewe ongeza.
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuficha furaha yangu kwa Yanga kula kichapo

    Nipo hapa kuueleza umma kwamba mimi nisiwe mnaa. Furaha yangu kwa Utopolo kula kichapo haiwezi kufichika kwa uzalendo uchwara. Nawaombea mkienda huko Algeria mchakazwe kama mbwa koko mkirudi msitamanike kabisa. Mna midomo sana Nimefurahi sanaaaaaa
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Bora ushamba siwezi kumla papa mzima na nyama yake, hata wakati wa kuvua baharini simgeuzi

    Hello Hello JF katika maisha yangu naogopa kumla papa na nyama yake na ikitokea nikienda kuvua baharini simgeuzi naacha nyavu iamue naogopa sana, wengine kazi ya uvuvi hatujazoea. Papa tumpe Uhuru wake hasa mabawa yake yaendelee kubaki intact pasipo choko choko za wavuvi. Karibuni wavuvi...
  16. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanapataga wapi ujasiri wa kuiba Mali (Fedha) za umma?. Mimi siwezi hata kuiba TSh 50/=, Not to mention billions of Tanzanians

    Thread was deleted
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kamwe siwezi kuwaamini watu walioteuliwa na Rais katika nchi inayoitwa Tanzania

    Natanguliza shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunileta duniani na kuweza kupata uhai ambao Leo hii unanifanya naweza kufikiri Kwa mapana. Leo katika kupitia pitia katika mitandao ya kijamii nimekutana na nukuu iliyonukuliwa wanahabari...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga amwambia Ruto 'Sitishiki na siwezi kusitisha Maandamano

    Kiongozi huyo wa Upinzani amesema Maandamano na Migomo aliyoitisha dhidi ya Serikali itakayofanyika Jumatatu Machi 20, 2023 kwenye jiji la #Nairobi iko pale pale licha ya Vitisho vinavyotolewa Viongozi wa Serikali. #Odinga amesema "Ruto na Gachagua hawawezi kuelewa nilichopitia. Nimekuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Leo Presha imenipanda siwezi Kutizama Mechi ya Simba na Vipers, ila mlioko hapa mtanipa Updates

    Na kwa jinsi Presha ilivyonipanda kama Simba SC haitoshinda leo au hata ikitoka Sare/Suluhu tu naweza Kulazwa ICU. Ninaitakia tu Kila la Kheri Simba SC.
Back
Top Bottom