SIWEZI KUKUOA KWA SABABU NIMEKUPA UJAUZITO!
Anaandika, Robert Heriel.
Jilengeshe! jibebeshe! jitegeshe! Utajua mwenyewe. Oooh! Kama ulikuwa hutaki mtoto si ungetumia Mpira, ooh! Kama hukuwa unanipenda mbona ulinifuata ukanitongoza, ooh! Kwa nini hukupiga shut fyongo likaenda nje, wewe...
Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili.
Jana wakuu nusura nipigwe mambo ila tu kwakuwa nilitumia Maarifa ya mtaa nikachoropoka kwa minjemba...
Wengi huwa ni vijana wadogo tu wapo kwenye 20s hasa wahitimu wa degree na diploma.
ni tabaka tofauti na wauza simu wengine, wao hujitofautisha kwa kuuza simu zenye brand zinazotrend ulaya na marekani tu kama iphone, samsung na google pixel... Simu za kichina na vitochi hawauzi.
Simu hizo bei...
Hello wazee na mashangazi,
Kuna tukio lilinitokea Mwaka 2021 mwishon tarehe kama ya Leo sitokaa niisahau.
Nilikuwa nimekaa zangu Bar nakunywa castle zangu lite na embassy nimekaa na mhudumu tunapiga story za hapa na kule.
Mara ghafla nikasikia SMS imeingia Kwa Simu nikasema siisomi Kwanza...
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa ha Polisi cha Kati leo mchana, amefikishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa mkojo.
Mapema asubuhi, mawakili akiwamo Fatma Karume walizuiliwa kuonana naye huku Jeshi la Polisi...
Habarini
Mimi bhana naishi sehemu fulani hapa Dar sio ushuani nakaa ubalozi wa Marekani pale
Sasa jirani yangu ni kero nikipika kuku anaomba, akisikia napika chochote kile anaomba
Leo nimetoka zangu mihangaiko nimenunua nyama choma na kitimoto nikamwambia muuzaji changanya si najua ni...
Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi.
Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu...
Siku hiyo nimeamka asubuhi wapinzani wanaongoza. Sina kitu mfukoni. Na simu yangu hata ku deeku haiwezi. Nipo majalala kinoma aisee. Nikawaza nikaona hapa nimuibuikie mwanangu wa damu Gilongwe kijiweni kwake Mwenge.
Basi nikaanza kucheza Reggae mdogo mdogo toka Tegeta mpaka Mwenge. Kufika...
'....Mijadala itatufanya tujisahihishe tulipojikwaa na msitarajie madalali wa mali za umma watafurahishwa na mijadala ya aina hiyo.'
Bashiru - 12 Oct 2018
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake
Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
Nitabakia kuwa timu Argentina, France na Germany pekee, na hakuna timu nisiyoipenda na ninayoiombea mabaya kama ya Brazil kutokana na jezi yao, na hasa baada ya GENTAMYCINE kugundua kuwa 99.9% ya mashabiki wa timu nisiyoipenda na ninayoichukia Tanzania ya Avic Town Magodoro Kunguni Tigo Pesa FC...
Sitaki unafiki, ntampa rafiki konekshen ya kazi kwa masharti mawil tu:
1. Nikisikia kuna nafasi ndani ya sehemu nayofanya kazi ila haiingiliani na ofisi ama kitengo changu ninatoa koneksheni, mfano mimi nipo ofisi ya ufundi kuna nafasi ya ufagiaji ama udaktari nitasaidia, nafasi hizi...
Anaandika, Robert Heriel
"Kwa nini umejipeleka mwenyewe?"
"Umeamua kujirahisisha kwa huyo mwanaume"
"Unaitia aibu familia"
Yalikuwa maneno ya mama na watu wazima wengine waliokuwa wakimwambia Dada yangu. Dada alikuwa kanuna hasa, sikuwahi kumuona katika namna Ile. Alikuwa kanuna kikweli kweli...
Nilipatwa na mkasa wakuondolewa kazini kwa vyeti feki, uzuri nilikuwa na kijiakiba changu, nikaingia kwenye sekta ya ajira isiyo rasmi. Nikanunua kirikuu na nikawa nalaza hadi elfu themanini kwa siku.
Mwezi uliopita gari imepata ajali, nahangaika kuirudisha rodi, ila mke wangu kawa mkali, hamna...
Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi.
Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu.
Nenga akamrejea Nandy na...
"Ahsante sana kwa kukumbusha watu kuwa nilizungumza kwa Kiswahili kule Umoja wa Afrika, na ile ilikuwa tu kuwakumbusha watu kwamba Kiswahili ilikuwa ni lugha rasmi ya Umoja wa Afrika kipindi kile na watu wakaamini kuwa nilikuwa nafahamu Kiswahili vizuri. Lakini si kweli kwamba nafahamu Kiswahili...
Kuanzia mwezi wa March nimekuja kugundua nikijipiga picha masikio siyaoni kabisa, ni mpaka nigeukie kamera upande wa sikio, kiukweli napata stress.
Baadhi ya watu wanasema nmenenepa ila ni mara chache na mimi huwa najiona kawaida tu, kama ni hivyo nawezaje kutatua hilo tatizo la masikio
Jamaa yangu zamani alikuwa vizuri tu kichwani. Mnakaa mnaongea mambo ya akili. Nimekuja mkoani kaniomba nisifikie lodge nifikie kwake. Nikasema huyu mwana toka kitambo ngoja nifikie tu kwake.
Maana ananisaidia pia huko hotel nisilale na vicheche. Tumekula tumemaliza. Mlo wenyewe tunaanza kula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.