siwezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

    Mada juu yahusika. Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni. Mara xax, Xmas, meme, ko n.k Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika. Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni? Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simkubali Ndugai lkn siwezi kumsingizia uongo!!

    Simpendi Ndugai kwa ujinga wake mwingine lkn kwa swala la leo wala hakusema vibaya,,,alijaribu kuwaambia watu kwamba mpango wa tozo ni bora zaidi kwetu kwa sababu tunakuwa tumeweza kujitegemea kama wtz kuliko kukopa,,,hivyo kwa hili wala hakuwa na lengo baya kabisaaaaaaa!!! Wtz tujifunze...
  3. Mbomozo

    JamiiForums Tanzania Urafiki na Ushemeji wa hivi Mimi siwezi na nimeujivua SITAKI LAWAMA

    Salaam ndg zangu rehma za mwenyezi mungu ziwe nanyi... Kufupisha maneno mwaka 2017 kuna rafiki wa mke wangu automatically ni shemeji yangu tulikuwa tunapanga nyumba moja nitamuita XY. Sasa familia yake especially mumewe alikosa kazi halikuwa yy mjamzito, akaja home analia kuhusu Huduma zake za...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa simba - Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki !!

    Ni kauli ya Murtaza Mangungu ambae ni Mwenye kiti wa Simba, Ikumbukwa kwamba jana Mo alijiuzulu, hili likitua wengi ila na leo kuna kauli mpya ya Mwenyekiti wa Simba "Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki kwa sababu ni jambo ambalo tumekubaliana lisitajwe. Fedha zimetoka...
  5. A

    JamiiForums Tanzania PCB 3.13 kuenda kusoma udaktari nje

    Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda, Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

    Ninataka kusoma afya ila siwezi kuona damu, nimemaliza PCB div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu? Matokeo yang ya form 6 ni phy C chem B bio C
  7. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuiheshimu wala kuitii Serikali hata kama inafanya mazuri. Mimi sio mamluki wa Serikali kama mtume Paulo

    SITAKUJA KUHESHIMU SERIKALI YEYOTE DUNIANI HATA SIKU MOJA. MTUME PAULO ALIKUWA MAMLUKI YA WATAWALA KWA MASLAHI YA WATAWALA NA AKAIPOTOSHA JAMII. Hakuna Serikali inayotoka kwa Mungu bali ni mitazamo ya wanadamu kwa maslahi ya kuwahadaa Wananchi ili waheshimiwe hata Kama wanafanya maovu. Na ndio...
  8. kidawisee

    JamiiForums Tanzania Kuchunguza simu ya mpenzi wangu mwisho ilikuwa 2017, siwezi na sirudii

    Nakumbuka nilikuwa sina sana iyo tabia kiivo na ilipelekea kila mmoja wetu kutokuwa na password katika Simu. Iyo siku shetani alipitia na ndio uhusiano wangu ulivunjika ambao nliuamini ntazeeka nao, Tulitoka kuzika sasa si unajua ukifiwa pole nyingi na unakuwa bize kuzijibu, Tukafika home...
Back
Top Bottom