siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Hivi ni siri gani za nchi ambazo viongozi wanaapa kwamba hawatatoa?

    Natamani kujua ikiwa hii nchi ni yetu sote iweje kukawa na mambo ambayo yatabaki kua Siri za watu wachache tu? Je huu hauwezi kutumika kama mwanya wa kufichiana maovu?Na ikitokea mtu akatoa hizo siri nini hukumu yake? Na ningependa kufahamu mifano ya hizo Siri!
  2. T

    Nini na siri ya vyama vingine vya siasa kuwa dhaifu sana huku vingine vikiwa imara sana?

    Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie kuelewa kwani kila nikitafakari kwa kina sipata jibu linaloniridhisha. Hivi tofauti kubwa sana ya vyama vya siasa iko kwenye Nini? 1.Wanachama na viongozi kwa maana ya hulka za wanaokiunda chama!? 2.Muundo wa chama kwa maana ya jinsi chama...
  3. Mke au mume wako anapojenga kwa siri bila wewe kujua tafsiri yake ni kwamba anajiandaa kuishi bila wewe

    Habari wanandoa na wanauchumba. Hivi unajua kuwa mwenzi wako anapoamua kujenga nyumba au kufanya jambo la kimaendeleo bila wewe kujua hapo anajiandaa kuishi bila wewe? Hii dunia ina mambo sana. Unaweza kuona watu wakiishi pamoja wakicheka pamoja na kula pamoja ila mmoja au wote wakaingiwa na...
  4. Huu mchoro una maana gani? Una siri gani?

    Wakushi naomba mnisaidie tafsiri au maana ya picha / mchoro huu. Asante
  5. Alama ya jicho moja: Je, ni ishara katika vikundi vya siri, ishara katika Uungu (Ukristo), ishara ya Mungu wa Misri au uwakilisho wa mpinga Kristo??

    ALL SEEING EYE, EYE OF PROVIDENCE - 1 Wasalaam, Kila mmoja alama hii aliitafsiri vile ajuavyo yeye huku madaai ya kuhusishwa na vikundi vya Illuminant /Freemasonry yakishamiri zaidi. Wengi wetu tumeichukulia kama alama ya mficho, kama zilivyo alama nyingi za kuficha na yenye ishara za...
  6. Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

    Kutokana kifo cha JPM, leo nilipata muda wa kutafakari mambo kadhaa. Tafakuri yangu imenipa jibu kwamba Tanzania tumevamiwa na maadui kila kona. Kitendo cha taarifa nyeti za Ikulu kuvuja mitaaani kabla ya taarifa rasmi maana yake kwamba kuna mamluki wengi wamejaa Ikulu. Picha ya jeneza la JPM...
  7. Mfumo mpya wa namba za siri si salama

    Habari wakuu leo nataka kujuza kuhusu mfumo mpya wa namba za siri zinazo tolewa si Rafiki kwa mtumia/mteja. Rejea taarifa ya TCRA. Ndugu Mteja, Kuanzia July 1, 2021 laini zote mpya zitatolewa zikiwa na namba ya siri. Mteja atatakiwa kuweka namba hizo kila atakapozima au kubadili simu yake...
  8. Tatizo la Muwasho Sehemu za Siri: Chanzo, Matibabu na Namna ya Kujikinga

    BAADHI YA MASWALI YA WADAU KUHUSU HALI HII: UFAFANUZI WA TATIZO Idadi kubwa ya watu wanasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri bila kujali jinsia na umri. Tatizo hili laweza kusababishwa na matatizo mbalimbali lakini kubwa ni fangasi. Watu wanapaswa kufahamu kuwashwa sehemu za...
  9. Prof. Assad: Kudhibiti wizi wa mali za umma Baraza la mawaziri lisiwe na siri

    Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Musa Assad amesema ubadhirifu unaotokea kwenye baadhi ya wizara huwa hauna maelezo zaidi ya kusema 'Ni maamuzi ya Baraza' Amesema suala hilo linafanya kuwepo kwa mianya ya rushwa na matumizi mabaya ya mali za umma, hivyo ni vizuri kuwa na...
  10. L

    Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? Ni kwa jinsi gani ‘kijiji cha kwanza cha China katika kupambana na umaskini’ kilivyofanikiwa?

    Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? ------Ni kwa jinsi gani ‘kijiji cha kwanza cha China katika kupambana na umaskini’ kilivyofanikiwa? Na Hassan Zhou Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China hivi karibuni ilitangaza waraka uitwao “Kupunguza Umaskini: Uzoefu na Mchango wa...
  11. L

    Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini?

    Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? ------mama mkulima wa China aondokana na umaskini kwa kutengeneza fagio la mabua ya mtama Na Hassan Zhou Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China hivi karibuni ilitangaza waraka uitwao “Kupunguza Umaskini: Uzoefu na Mchango wa China”...
  12. L

    Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini?

    Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? -------usawa wa kijinsia katika elimu ni muhimu kufanya umaskini ‘kutorithiwa’. na Hassan Zhou Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China hivi karibuni ilitangaza waraka uitwao “Kupunguza Umaskini: Uzoefu na Mchango wa China”. Waraka huo...
  13. Je, mpango wa namba mpya za simu zitakazosajiliwa Julai Mosi kuwa na namba ya siri upoje?

    Habari wadau! Kuna SMS tunapokea kwenye simu zetu toka TCRA zinasema kwamba kuanzia sikutajwa hapo juu namba zitakazosajiliwa zitakuwa na namba ya siri ambayo ukizima simu ili kuwasha utahitaji kuingiza namba ya siri. Hili lipoje? Je, ndio litasaidia simu zetu zisiibiwe? Au ndio litakuwa...
  14. Siri: Kama hutaki kutumbuliwa fanya haya

    Hii ni siri nawaibia viongozi na watendaji wote mlioaminiwa na kupewa madaraka katika nyadhifa mbali mbali za Kitaifa, ukuu wa idara au mashirika, mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, Wakurugenzi n.k. Kama ni miongoni mwa watajwa hapo juu zingatia haya machache ili uendelee kusalia katika...
  15. F

    TTCL huu ndio muda wenu wa kuvuna wateja wa voda, tigo, airtel, nyinyi shusheni bei ya internet - kodi tra wanawasamehe ki siri siri

    TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF... Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
  16. Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

    Fuatilia mbashara hapa RAIS Samia Suluhu Hassan leo ataongoza waombolezaji kumzika Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli. Jeneza lililobeba mwili wa Hayati Dkt. Magufuli likiwa Kanisani kwa ajili ya Misa ya Mazishi Kaburi la Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli Mama Janeth...
  17. Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

    Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea. Je, ni suala gani hilo au ni siri gani hiyo kubwa namna hiyo?
  18. B

    Napingana na wanaosema Afya ya Rais si siri

    Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake. Kuondoka ghafla kwa Mhe Kijazi si Jambo dogo kwenye utawala wa nchi, huyu alikuwa mshauri mkuu wa...
  19. Kila tukiwa kati kati ya tendo huanza kusema siri zake

    Kwema? Ni hivi, nipo ndani ya uhusiano kwa miaka mitatu sasa. Tangu nianze uhusiano mwenza wangu amekuwa huru na muwazi sana kwangu. Uwazi naouzungumzia ni kwamba, kila aliyekuwa akimtongoza alikuwa ananiambia kila kitu kwa hiari yake bila mimi kumuuliza na aliendelea hivyo ndani ya miaka...
  20. Z

    Sheria inasemaje kama hospitali ikitoa siri za mgonjwa bila idhini yake au ndugu zake?

    Kwa mfano ikitokea nimelazwa kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka kudai haki yangu? Na international law inasemaje? Naomba waziri wa katiba anajibu, na waziri wa afya anajibu. Hatuwezi kuacha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…