Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
Habari wakuu leo nataka kujuza kuhusu mfumo mpya wa namba za siri zinazo tolewa si Rafiki kwa mtumia/mteja.
Rejea taarifa ya TCRA.
Ndugu Mteja, Kuanzia July 1, 2021 laini zote mpya zitatolewa zikiwa na namba ya siri. Mteja atatakiwa kuweka namba hizo kila atakapozima au kubadili simu yake.
Baadhi ya mitandao ishaanza kutoa laini hizo.
Sababu ya mfumo huo kutokuwa salama ni kwamba Namba za siri zimebandikwa katika laini pamoja na kasha la laini hivyo mtumiaji akidondisha au kupoteza laini mtu ataye okota laini hiyo anaweza kuangalia namba za siri nje ya laini na kufanya miamala.
Hivyo mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA inatakiwa wafanye maboresho ya kutozionyesha namba za siri kwenye laini