Kaubebeni tuWakushi tunautaka mlima wetu Kilimanjaro.
Ni milki yetu toka kwa baba yetu Solomon
HahahaKwani huo mchoro wenyewe unasemaje?
Mimi naona kama mdomo wa ndege joni
Mbona easy tu, uchukuwe weka kwenye begi, jitwishe, nenda upeleke EthiopiaWakushi tunautaka mlima wetu Kilimanjaro.
Ni milki yetu toka kwa baba yetu Solomon
Freemason reigns the world!
Sijui kwanini michoro tata huwa naiona ni ya kishetaniFreemason reigns the world!
Huyo tai ndio yule yuko kwenye $