siri nzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sheikh Mkuu Irani atoa Siri nzito kuhusu Israel kuua Viongozi wa Iran

    Aiseee..... Sasa hapa anaongea lugha ambayo inafahamika kwa Waislamu. Hili ni moja ya matukio ambayo yanawatesa sana Wairan. Mpaka sasa hawajaweza ku recover. Hapa nazungumzia sana sana Wairan wa Iran. Achana na hawa wa Mchambawima na Kunduuchi au Kilimanyege.
  2. Siri Nzito Yafichuka kwa vijana hawa waliokutwa Goba!

    Vijana kuleni, maisha ni mafupi, kula nyama na pombe uwezavyo, mambo ya figo ni majaliwa tu!
  3. ๐—›๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ง๐˜ƒ ๐—ฌ๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜๐˜‚ ๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐˜๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐—บ๐—ฎ?๐Ÿ˜ณ๐Ÿ”

    Watu wengi wanadhani Smart TV ni kifaa cha kuangalia filamu na vipindi tu, lakini kuna jambo ambalo huenda hulijui! ๐Ÿ‘€ Baadhi ya Smart TV zina teknolojia inayoitwa Automatic Content Recognition (ACR), inayoweza kutambua maudhui unayotazama na kukusanya taarifa hizo kwa ajili ya matangazo...
  4. โ€œSiri nzito: Nani anawalipa waamuzi wa Morocco? Ukweli unaotikisa!โ€

    1.Nazungumzia Kuhusu usafiri ,malazi na posho ni shilingi ngapi wanakunja?na nani anawalipa ? 2.Na tuzo za mwaka jana why hazikutolewa ! Ila pesa za waamuzi kutoka Morocco wanazo ! 3.fedha za kwalipa waamuzi wanazitoa wapi wakati wameshindwa kuto tuzo za mwaka jana ?
  5. Juma homera unaondoka mbeya na Siri nzito !!

    Aliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni...
  6. R

    Polisi aliyekamatwa asema walipewa maagizo kumtia adabu Ojwang'

    KONSTABO James Mukhwana, ambaye kwa sasa anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kikatili ya mwanablogu na mwalimu Albert Ojwangโ€™, hatimaye amevunja ukimya na kufichua kwa kina kilichotokea usiku wa Juni 7, 2025, akiwa rumande katika Kituo Kikuu cha Polisi Maelezo ya kina, ambayo Citizen TV...
  7. Hivi vifuniko vya asali vya rangi nyeusi na nyekundu vina siri gani?

    Wakuu, hivi vile vifuniko vya asali vyenye rangi nyeusi au nyekundu huwa vina siri gani? Sababu utamu wa asali ni ule ule ila kifuniko chenye rangi hizo huongeza midadi kama yote
  8. Siri nzito kuhusu unyayo wako hapa ukiweza tu basi unafanikiwa hakika ni muujiza

    Siri nzito kuhusu unyayo wako hapa ukiweza tu basi unafanikiwa hakika ni muujiza Mwanadamu ni kiumbe mwenye siri nyingi na ambaye pia ameumbwa na siri nyingi Unyayo wa mwanadamu ni waya wa kiroho unaobeba fadhila za dunia na kuziingiza ndani yetu kimwili na kiroho. Kumbuka unyayo ni sehemu ya...
  9. Siri ambayo inanifanya nijihisi mzito na kubaki njia panda

    Umeshawahi kuambiwa au kusikia siri ambayo endapo ingetoka nje au kujulikana na wahusika ingevuruga au kuharibu kabisa maisha yao? Mimi nitashare yangu ambayo inaniweka mimi na ndugu zangu kwenye wakati mgumu. Iko hivi: Binamu yangu ana familia ya siri na anasubiria mke wake afe ili aanze...
  10. Afisa wa Makao makuu CHADEMA atoa siri nzito za J.Mnyika na F.Mbowe kumbe CHADEMA kushika dola chini ya Mbowe ni ndoto

    Anaandika Remigius Celestine Mjumbe wa Secretarieti CHADEMA Makao Makuu. === Mjumbe Baraza Kuu, Mkutano Mkuu na wanachama wote nawasalimu kwa salaamu ya Chama. Bila kukupotezea Muda naomba kukushirikisha kauli nzito na muhimu kwa wakati huu iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama Taifa. Ilikuwa...
  11. Siri nzito za biashara hutokaa uambiwe

    Kweli kila mwenye mafanikio ana siri yake. Wale wa ' niache ajira niingie kwenye biashara' mtayaweza haya ILe tamaa ya kumuona mbona fulani anauza kuliko mimi" hujui siri ya mafanikio yake. Mtazamaji kula chuma hicho Ndo maana nikienda dukani najikuta na nunua hata vitu ambavyo...
  12. Ni nini siri nzito iliyopo kweye bara la Antarctica

    Bara la Antarctica ni sehemu ambayo tumezoea kuambiwa ni eneo lilojaa barafu likiwa na viumbe waishio kwenye barafu tu ila hivi karibuni watu wamejawa na maswali na shauku ya kuwa hivi ni kweli hii eneo lina barafu na hao viumbe tu na hakuna kitu kingine kilichojificha, viasharia vinaanza...
  13. J

    SI KWELI LGE2024 Odemba apokea fungu la fedha kuichafua CCM

    UOVU WA ODEMBA WAMBAINIKA! Anatumika na Ubalozi wa Marekani nchini kutaka kuchafua taswira ya Viongozi wa CCM. Odemba ameweka mapenzi ya upinzani mbele kuliko kazi yake! Wachambuzi wadai odemba anapaswa kuomba radhi kwa jamii kutokana na uongo aliozusha juu ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi...
  14. Mteja wa ajabu mwenye siri nzito

    Hadithi ya kuvutia sana. Soma mpaka mwisho, utajifunza kutunza siri. Siku moja Mwanaume mmoja mtanashati sana aliingia hotelini na akaomba kumuona bosi. Bosi alipokuja, hadithi ikaanza. Mteja: Je, chumba namba 39 kiko wazi? Bosi: Ndiyo, bwana. Mteja: Naweza kukiomba? Bosi: Bila shaka unaweza...
  15. Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

    Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata kidogo. Yaani kuna taarifa hutakiwi kuwa nazo. Hata hapa Tanzania hii ipo, yaani kuna taarifa ambazo...
  16. Siri nzito mikataba gesi asilia Tanzania

    Na Mwandishi Wetu NI ukweli usiopingika kwamba majadiliano ya mikataba, hasa ya mafuta, gesi, madini na maliasilia nyingine za nchi huchukua muda mrefu kukamilika. Hili ni jambo la kawaida hasa kwa Serikali ambayo ni makini na inayobeba jukumu la kulinda utajiri na maliasilia za nchi...
  17. Siri nzito ya NATO imevuja; Kigogo wa NATO asilimu

    Wakati huu, Siri ya Kigogo wa NATO kua Muislam ipo wazi na sio siri tena. Mkurugenzi wa Habari wa NATO, Dk Murad Wilfried Hofmann. Dr Hoffman, aliukubali Uislamu na kutamka shahada katika Kituo cha Kiislamu cha Colonia kinachoongozwa na Imam Muhammad Ahmad Rasoul. Alizaliwa katika familia ya...
  18. Ukijifunza kwa waliofanikiwa, hawawezi kukupa njia za mafanikio

    Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale ๐Ÿค Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza kuhusu mafanikio yake lazima atakuambia: โ€ข Nilianza kuuza karanga za kupima. โ€ข Nilianza kushona viatu...
  19. B

    Kwenye Mjadala wa Vita Ya Israeli na Palestina( Hamasi) Mh Tundu Lissu hana Mpinzani. Ameibua Hoja nzito na siri Nzito iliyofichwa kwa Miaka 2000

    Habari za Mida hii Wana Jamii Forum Declaration of Interest Mimi ni Mkristo Mkatoliki Nimetembelea Nchi ya Israel ktk majimbo ya Jerusalem, Galilaya na Samaria Ni Mfuasi wa siasa za kutetea haki, amani na Maendeleo jumuishi Katika Pita pita Zangu Mitandaoni nikakutana na Video Clip akiwa...
  20. Siri nzito Kamati Kuu ya CHADEMA ikikutana zaanza kuvuja

    Kama tulivyosema hapo awali, kishindo cha Kamati kuu ya CHADEMA, afadhali hata ukutane na tetemeko la ardhi. Japo ukimya umetanda lakini cheche zake zimeanza kubabua baadhi ya watu. Usithubutu kuondoka JF kuanzia muda huu ili usipitwe na jambo zito!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ