Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 2,308
- 4,687
Aliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni kweli kwamba mdude nyagali hatutamuona Tena? Haya maswali juma ameondoka bila kuwajibu wanambeya !! Hatujui waliko sisi walala hoi hata wewe juma homera hata wewe umeshindwa kupata hata fununu mahali waliko? Mbeya itakukumbuka sana brother