1. Siku ya kwanza mnaona kawaida tuu Kila mtu anahisi mwenzake atamtafuta. kisanga kinaanza siku ya pili ya ukimya.
2 : Siku ya pili inaisha hapo Kila mtu anaanza kupata wasiwasi, Kila mtu anajiuliza maswali mengi
3: Wote mnaanza kuishiwa Raha, notification zikiingia unafungua haraka, unakuta...