Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,235
- 4,671
1. Siku ya kwanza mnaona kawaida tuu Kila mtu anahisi mwenzake atamtafuta. kisanga kinaanza siku ya pili ya ukimya.
2 : Siku ya pili inaisha hapo Kila mtu anaanza kupata wasiwasi, Kila mtu anajiuliza maswali mengi
3: Wote mnaanza kuishiwa Raha, notification zikiingia unafungua haraka, unakuta Airtel wamekuambia Airtel watawasiliana na wateja wao kupitia namba 100 tuu.
4: Mnafatiliana kimya kimya
Yan unafatilia Kila anachopost na yeye anafatilia sana ila hamtafutani
5: Mood itapotea hupati usingizi unamuwaza huskii hamu ya chakula, na yeye ni hivyo hivyo
ila mtafanyaje Sasa si mmeamua kulinda Brand.
6: Usiku Kila mtu
anamuwaza mwenzie huyu mbwa atakua ananicheat
7 Kila mtu anatafuta campan ili apunguze mawazo, lla ukiisha achana na hiyo campan moto upo pale pale.😂
8: Kila mtu anajilaumu kimya kimya, Kila mtu anasema labda ningemtafuta tusingekua hapa.
9: mnakuwa na hasira na upendo kwa wakati mmoja Unamkumbuka... lakini bado unaumwa
Unampenda... lakini hutaki kuonekana dhaifu.
10. mmoja anaishiwa pawa anaamua tuu kumtafuta mwenzake anaona yanazungumzika
😂😂😂🔥🔥