Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,940
- 4,811
Yani najikuta nachimba sana na sometimes naona nimepata hela ya kutosha per day
Lakini nikiiweka mezani naona bado si kitu, akili inaniambia kwa hela hiyo bado huwezi hata kupata kiwanja town (sio kujenga)
Au hela Mazee imepungua thamani
Najikuta na grind sometimes lakini nikijaribu kufanya relevance ya mtonyo na materials world naona still, hadi najihisi kuchoka