Huyu Azam aliyepigwa 4-1 na Singida ni Azam ipi?

Algore

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,097
3,362
Wanaofuatilia Mapinduzi Cup naomba kujuzwa kama Azam aliyepigwa 4-1 jana na SBS ni huyu huyu Azam wa sopu, mbombo na dube.
 
Wanaofuatilia asfc naomba kujuzwa kama Azam aliyepigwa 4-1 jana na SBS ni huyu huyu azam wa sopu, mbombo na dube
Hii hapa
IMG_20230109_215920.jpg
 
Back
Top Bottom