singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CONFIRMED: Mechi ya Singida Big Stars vs Zanaco FC itarushwa LIVE kupitia Azam TV

    Watu wa Soka, Sisi ni wasikivu. Tumeamua tukio la BIG DAY lirushwe LIVE kupitia @azamtvtz ili wadau wote na mashabiki wetu watakaoshindwa kufika uwanjani, waweze kushuhudia burudani zote popote walipo! Hivyo, matukio yote ya BIG DAY ikiwemo mechi yetu ya kirafiki dhidi ya Zanaco FC itarushwa...
  2. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tumeamua tuje na BIG DAY, tutacheza na Zanaco FC

    Watu wa Soka, Nawaletea taarifa kuhusu Singida 𝐁𝐈𝐆 𝐃𝐀𝐘 tarehe 4/8/2022 katika Uwanja wa Liti (zamani Namfua). Tumeamua tuwe na siku yetu maalum kama walivyofanya wenzetu Simba na Yanga, tukachagua jina iitwe BIG DAY, halafu kwa mara ya kwanza tunaifanyia Singida. Matukio yatakuwa mengi na...
  3. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tumerejea nyumbani Singida

    Watu wa Soka, Tunapenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki wetu kwamba Jumatatu ya Agosti 01, 2022 timu yetu iliwasili salama Makao Makuu mkoani Singida, ikitokea jijini Arusha ilikoweka kambi kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23. Ratiba ya mazoezi ya kuinoa timu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Singida: DC Muro aendelea na utatuzi wa migogoro wilaya ya Ikungi

    UTATUZI WA MIGOGORO IKUNGI SASA NI KATA YA UNYAHAATI Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry Muro akiwa pamoja na wataalamu wa ardhi kutoka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ikungi leo tarehe 27/07/2022 wamesikiliza na kumaliza kero ya mgogoro wa viwanja vya wananchi 40 katika kijiji Muungano...
  5. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tunatengeneza timu ya vijana (U20), njoo ufanye majaribio

    Watu wa Soka, Leo nimeleta habari njema kwa vijana wenye vipaji. Singida Big Stars tumeanza kutengeneza timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 20. Kama una vigezo njoo utuoneshe uwezo wako au mlete kijana wako, tukiridhika na kiwango tunasajili. Majaribio yatafanyika Jumamosi 30/07/2022...
  6. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwenye kambi ya Singida Big Stars jijini Arusha (Pre-season Camp)

    Watu wa Soka, Timu yetu Singida Big Stars imeweka kambi hapa Njiro jijini Arusha kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23. Tulichagua kuweka kambi (Pre season camp) hapa Arusha kutokana na sababu kadhaa ikiwemo hali ya hewa nzuri na mazingira yenye...
  7. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnafahamu kwamba Deus Kaseke amesaini mkataba na Singida Big Stars?

    Watu wa Soka, Nimechelewa kuwafahamisha lakini naamini baadhi ya wapenzi na mashabiki wetu wanafahamu kuwa tumemsajili Kiungo Mshambuliaji kutoka klabu ya Yanga SC, Deus Kaseke "Mwaisa", kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Big Stars. Kwa wasiofahamu, taarifa iko hivyo na tayari Mwaisa...
  8. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnamuonaje Yassin Mustapha? Singida Big Stars tumemsajili rasmi

    Watu wa Soka, Tumefanikiwa kuinasa saini ya Beki Imara kutoka Klabu ya Yanga, Yassin Mustapha Salum. Atakuwa nasi kwa mkataba wa miaka miwili kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC. Beki wa maana sana huyu! !
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asifu utendaji wenye mafanikio makubwa wilayani Iramba - Singida

    📸WAZIRI MKUU ASIFU UTENDAJI WENYE MAFANIKIO MAKUBWA WILAYANI IRAMBA- SINGIDA. Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema anaridhishwa na kazi kubwa yenye mafanikio kwenye miradi na shughuli za maendeleo Wilayani Iramba Mkoani Singida. Waziri Mkuu ameyasema hayo Jana Jumamosi Julai...
  10. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tumemsajili kipa mzawa Benedict Haule kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu

    Watu wa Soka, Muda mfupi uliopita tumemtambulisha Golikipa mahiri wa Klabu ya Azam (akitokea Tanzania Prisons FC kwa mkopo), Benedict Haule, kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu. Haule atasaidiana na Metacha kuhakikisha Singida Big Stars ipo salama golini. Tunaendelea kujipanga kuelekea...
  11. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumemsajili kiungo Said Ndemla kuchezea Singida Big Stars kwa miaka miwili

    Watu wa Soka, Leo tumemtambulisha rasmi kiungo bora wa soka hapa nchini, Said Hamis Ndemla, ambaye amesaini kutupatia huduma yake kwa miaka miwili. Ndemla sifa zake zinajieleza zenyewe. Amekuwa mchezaji ambaye kiwango chake kinapanda siku hadi siku. Atatufaa sana kwenye kufikia malengo yetu ya...
  12. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pre- Season: Singida Big Stars tunaenda kuweka kambi Geneva ya Afrika

    Watu wa Soka, Tumechagua Jiji la Arusha liwe kambi yetu maalum kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23 (Pre-Season). Arusha patatufaa sana kwa sababu ni Jiji Tulivu, Hali ya Hewa nzuri, pia mazingira yake yanavutia, hivyo itasaidia wachezaji wetu kuwa focused. Timu itaweka...
  13. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tumemsajili Kipa wa Taifa, Metacha Mnata

    Watu wa Soka, Leo ninafurahi kuwajuza kuwa Mlinzi Imara kutoka Timu ya Taifa #TaifaStars asiye na presha na mechi ndogo wala kubwa, Metacha Mnata, ametuhakikishia kuwa lango letu litakuwa salama kupitia uzoefu wake. Tayari tumeinasa saini yake na atakuwa nasi kwa mkataba wa miaka miwili katika...
  14. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Giza totoro: Kyombo Alikuwa Mbao fc ikashuka daraja, akahamia Ihefu ikashuka daraja, singida united na Mbeya Kwanza kachezea nazo zikashuka.

    Giza limekuwa jeusi tiiii... Huenda msimu ujao ukawa mgumu zaidi kwa simba kiasi cha kutokuwepo hata top 10 😂😂 Msimu ujao ninachoona historia huenda ikajirudia kwa Simba kurudia lile tukio la kuweka mpira kwapani na kukimbia uwanjani kipindi cha kwanza wakiwa wameshakula goli za kutosha...
  15. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RASMI: Singida Big Stars tumeinasa saini ya Abdulmajid Mangalo kutoka Biashara United

    Watu wa Soka, Kuanzia sasa Abdulmajid Mangalo ni BIG STAR. Tumemuongeza kikosini Nahodha huyu kutoka klabu ya Biashara United na tutakuwa nae kwa mkataba wa miaka miwili. Mangalo ni mchezaji anayemudu kucheza nafasi mbalimbali uwanjani hususani beki wa kati, amesaini nasi baada ya kumalizana...
  16. sepema

    JamiiForums Tanzania Mliomuibia mdogo wangu magunia 70 ya mahindi Singida rudisheni tafadhali

    Salaam kwenu japo sitamani wahusika watukio hili waitikie Salam yangu. Uuzaji wa nafaka ni moja Kati ya harakati ninazozifanya ili kuutafuta mkate wangu wakila siku. Huwa nasafirisha mahindi kutoka hapa mkoani kwangu kwenda mikoa mbalimbali ikiwemo mkoa wa Singida. Wiki iliyopita nikawa sipo...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Hali ya Rushwa Singida: TAMISEMI yaonekana kuwa tatizo, yapokea malalamiko mengi kuliko sekta zote

    Katika Taarifa/Malalamiko 100 yaliyopokelewa na Mamlaka kati ya Januari - Machi 2022, Taarifa 73 zilihusu vitendo vya Rushwa na 27 hazikuhusiana na Rushwa. Malalamiko yalihusu Sekta mbalimbali zikiwemo TAMISEMI (41), Elimu (12), Ardhi (12), Afya (9), Mahakama (6), Mazingira (3), Fedha (03)...
  18. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoka Zanzibar: Singida Big Stars tumefanya mazungumzo na Avran Grant, Fadiga

    Watu wa Soka, Leo Singida Big Stars tumeshiriki kongamano la mpira wa miguu maarufu kwa jina la Tanzania Football Summit 2022 linaloendelea hapa visiwani Zanzibar. Pamoja na mambo mengine muhimu, tumefanya mazungumzo na kocha mstaafu wa klabu ya Chelsea Avram Grant, mchezaji wa zamani wa...
  19. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Kwanini Habib Kyombo amevaa jezi ya DTB FC badala ya Singida Big Stars?

    Watu wa Soka, Juzi Jumanne 21/06/2022 saa 7:00 mchana tulimtambulisha rasmi mchezaji wetu mpya Habib Haji Kyombo ambaye tumemsajili kuja kuongeza nguvu kwenye safu yetu ya ushambuliaji. Kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii (@singidabsfc) tulichapisha baadhi ya picha zake akiwa anasaini...
  20. Hussein Massanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

    Watu wa Soka, Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC). Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki...
Back
Top Bottom