Kinukamito na Chanikiwiti

Abubakari M N

Member
May 6, 2020
17
39
ONYO
Hairuhusiwi chini ya miaka 20

UTANGULIZI
Kinukamito, ni mwanamke asiyedumu katika mahusiano au ndoa kutokana na sababu mbali mbali. Kusema ni mwanamke ambaye hudhaniwa ana mkosi kutokudumu kwenye mahusiano, waaidha, Mwanamke Chanikiwiti ni yule anayetumia uzuri wake kupata atakacho. Katika riwaya hii ya mahaba utajifunza elimu ya saikolojia ya ngono (Sexology) na Reflexolojia (Reflexology, sijui kiswahili chake). Pia utajifunza 'uungu' (divinity) wa ngono na jinsi inavyoweza kutumiwa bora kuipa furaha ndoa au mahusiano. Lakini, kama ikiwa wewe si mwaminifu katika mahusiano naomba usisome riwaya hii kwa maana utasababisha tafrani kwa wapenzi wako. Kwani watakung'ang'ania hasa kutokana na utamu wa huba utakaokuwa unawapa baada ya kujifunza baadhj ya mambo katika andiko hili.

Pengine ushauri huu ni kwa ajili ya usalama wako na hao unaowapenda. Ni nani asiyependa utamu wa ngono, hasa ukipata anayekufikisha?

Na kama ni mwaminifu ni jambo bora, kwa maana utamfanya mwenzi wako akugande na kutamani akuone kila mara au mfanye kila mara. Hahahahaha!

Karibu, na furahia burudani na elimu.
Elimika!

Mussa N. Abubakari
21/09/2020

SURA YA 1.
Nikiwa nimetaharuki na sijui la kufanya, moyo wangu uliongeza mapigo ya moyo kiasi cha kupata chembechembe za wahaka. Vile moyo ulivyokuwa ukijikurupua ndivyo kimuhemuhe cha kutaka kujua utamu wa mwanamke ulivyonivagaa. Huku moyo ukinipiga zaidi, nikavuta sauti ya maneno ya yule mzee wa kipemba katika kile kijiwe cha kahawa.

"...wanawake ni sawa na kambale, akitolewa majini hujiviringaviringa kwa kiu ya maisha yake huku akihaha kuitafuta pumzi ya kupumulia tone la uhai analokuwa nalo wakati huo. Ngono iliyo ang'avu ni ile inayoruhusu mtiririko huru kati ya miili kupitia nyuchi zenu."

Maneno hayo yalinisisimua ingawa sikuyaelewa hasa kwani ningali bikra,mpaka wakati huu ambao huu mwanamke huyu anasaula pasipo kujua mwenziwe huku nataabishwa na woga wa kufanya ngono. Ufahamu wangu uliruka fensi ya ubongo wangu na kutekwa nyara na hofu ya kutokujua ladha ya ninachoenda kuonja. Kwakuwa mimi ni mpenzi wa kusoma vitabu, nilishafanya ngono katika maandishi.

Lakini vile nilivyoudukua mwili wa mwanamke katika vitabu, ni katika namna ya kujua nguvu chaji zao zilipo ili kuweza kuwalipua mvumvuko wa huba. Kifupi naujua mwili wa mwanamke katika kitabu kuliko kimwili, kwani sikuwahi kufanya ngono halisi.

Ikawa naibia midahalo ya wazee fulani kwenye kijiwe cha kahawa ambacho mara kadhaa nimekuwa nikienda kumsaidia baba yangu. Ndiyo, baba yangu ni muuza kahawa na ana kijiwe chake mita kadhaa kutokea nyumbani. Basi mada ambazo wazee waliokuwa wanafika kunywa kahawa asilimia kubwa ni kuhusu ndoa, usaliti na masuala ya Jimai. Nilistaajabishwa sana na weledi wa wazee hawa katika namna ambavyo wamekuwa wakiwachambua wake zao, miili yao, lugha na hata namna wanavyowadekea wanapokuwa wakitaka 'dozi' iliyowakosanisha Adamu na Hawa.

Hata ikawa,
Siku fulani Mzee Matombeo alisema kuwa, "Mwili wa mwanamke wote ni sehemu za siri, hata dole gumba lake likilevya hufikishwa kileleni. Watu wengi hukosea wanavyodhani kuwa sehemu siri pekee ni njia na kipele chake. Ndugu! Kama mnadhani hivyo basi...mtakuwa mnakosa kitu adhimu sana penzini, nacho ni 'ladha' halisi ya tendo".

Turudi,
Nikawa nahema kwa nguvu kiasi cha yule mwanamke, akahoji "Vipi...?". Nikabaki nikimtazama tu jinsi macho yake yaliyolegea kwa kuwa na ute fulani hivi wa ugiligili wa machozi. Nikihisi hali ya mkojo fulani wenye kunipa raha ukinitoka kidogo, na kunifanya mwili utatarike kwa umeme wenye msisimko mujarabu.

Akaanza kunifungua vifungo vya shati, huku akiniangalia kiasi cha kunikosesha amani na kunivika aibu kiaina. Nikakwepesha macho huku yeye akinikagua katika mtindo wa 'nakumeza mzimamzima leo'. Sijui hata vile ambavyo lile shati lilitupwa huko nikiwa na bung'ao langu la kishamba. Nilikuwa sijui cha kufanya, kwa maana ile kasi ya mhemo ulinipoteza ufahamu na kujua chochote kile kilichokuwa kinaendelea.

Nikagutuka baada ya suruali yangu ya modo ya kitambaa niliyotinga siku hiyo ikiwekwa kando na kikaptura changu cha ndani kikashushwa. Nikaalikwa katika mtanange kwa kushikwa bakora yangu katika mtindo wa kutia gia. Lahaulaa! Madhii yakanitoka pasipo hata kujua ilivyotoka. Ni ule ute mwepesi unaoyoka kabla au baada ya jimai kwa mwanaume. Hao wana-Taoism wanasema hizo ndizo zenye kubeba nishati za kiroho katika mwingiliano wenye kukaramsha nishati za usawaziko katika mwili, hasa katika ndoa. Sio tu madhii lakini 'bond' yoyote huimarishwa na kumwagwa kwa manii wakati wa tendo, hiyo hupevusha uimara na mvutano wa mshikamano kati ya wapenzi, au wanandoa.

Kilele cha mwili wangu kusisimka uliimarika pale tu aliponishika kichwani pale kwenye kitundu, kile ambacho wanabailojia wa reflexolojia husema imeungana na 'Pineal' ndiyo maana kikiguswa ipasavyo humfanya mtu atingwe na utamu. Ndiyo maana hata makahaba wana msemo wanaosema 'Ufahamu wa mwanaume upo kwenye mboo yake. Ukiitawala ipasavyo, basi atasema au kuahidi chochote kile utakacho midhali utakuwa na uwezo wa kuutawala ufahamu wake'. Jabali la mwanaume ni mwanamke kiboko katika kitanda, atamchapa na kumfanya mtoto mdogo.

Lakini,
Wanasema asilimia kubwa ya wanaume ni wajinga dhidi ya wanawake kuliko idadi ya wanawake wajinga kuhusu mwili wa mwanaume. Ingawa wanaume hawahusianishi ngono na upendo kama wanawake.
Ndio,
Wakati nahema juu kwa juu wakati ameshanituta kimgongomgongo kitandani, nikahisi kiganja chake kilichoanza kuweka unyevu-nyevu fulani hivi kutokana na kutokwa jasho. Huku dudu yangu ikiwa imesimama...nikiwa mbali nikasikia kama hatua zikisikika kwenye korido ya nyumbani. Kwavile hakukuwa na mtu nyumbani sikutumaini ugeni wowote. Wakati nasongwa na wazo la kuwepo mtu koridoni. Ndipo,"Hodii, Mussaa....baba!? Upo ndani?", sauti ya mama ilisikika kutoka koridoni.

Nikiwa sijui nini cha kufanya, huku woga ukiniongezeka. Nikatamani kujibu lakini kutokana na kupagawa nikabaki nagumia lakini katika kiwango cha kusikika nje na mama. "Mmmh...yeah..maa..maa! Ni...nipo".

Yule mwanamke akapaniki huku akitoka pale kitandani kwa kujiengua asijue cha kufanya. Hali hiyo ilichochewa na vile ambavyo alitaharuki. Nikakosa hamu, ghafla ule uvimbe-bakora ukanywea. Nikavaa kwa haraka huku nikimwonyesha ishara ya kufunga mdomo, nikachukua tisheti yangu nyeupe ya form six na kutoka mpaka koridoni. Mama alikuwa ameingia tayari chumbani kwake..nilijibaraguza kwenda sebuleni na kuwasha luninga kisha nikarudi chumbani.

Itaendelea...

Je, itakuwaje. Mussa atafanikiwa kutolewa bikra, au ndio njozi za ngono kwenye maandishi zitaendelea kumtafuna.

#KonoikeLaMkandarasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom