simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Jinsi David Djumbe "alivyotekwa" na kuwakimbia "watekaji" akiwa na pingu

    Mei 20, 2026 kulitokea tukio linalodhaniwa kuwa la utekaji wa David Djumbe ambaye ni msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Hata hivyo, imeelezwa kuwa, Djumbe alifanikiwa kuwatoroka watekaji waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa polisi. Akisimulia tukio hilo, David Djumbe amesema...
  2. JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Nyayo za Shetani

    Damiani ni kijana wa miaka ishirini na mbili, mhitimu wa chuo kikuu cha Tanzania Institute of Accountancy (TIA) akiwa amechukua kozi ya Finance and Accounting in Public Sector (kozi inayohusu maswala ya uhasibu). Mara baada ya Damiani kumaliza masomo yake hakutaka kubaki ndani ya jiji la Dar es...
  3. JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore anaendelea kudanganya umma kwa simulizi kwamba bado yuko madarakani ili kuilinda Burkina Faso dhidi ya ushawishi wa Magharibi

    Muafrika na demokrasia ni kama maji na mafuta. Hio ni kwa sababu mtu mweusi ni mbinafsi, mwenye dharau, amekosa utu na mwenye kulewa na madaraka. Niliwahi kuleta uzi kuww ipo siku mwamba atazingua ila watu wakaleta makasiriko kwamba namchafua boy wao. Sasa ndio inaanzaga hivi kitakachofata...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyomtapeli Mganga wa Kienyeji: Simulizi ya "Mjanja Aliyekutana na Mwerevu"

    Watu wengi husema mganga wa kienyeji ni mtu wa kuogopwa. Wanasema ana macho yanayoona mbali na majini yanayompa taarifa za kila anayemtembelea. Lakini siku hiyo, niliamua kuthibitisha kuwa hata "nguvu za giza" hupigwa na giza la njaa na tamaa. Mtego wa Kisaikolojia Mganga huyu, ( jina kapuni")...
  5. JamiiForums Tanzania Simulizi: Maiti inayotembea

    RIWAYA: MAITI INAYOTEMBEA. MTUNZI: RONALD NAMBA YA SIMU: 0694840213. SEHEMU YA 1. Jina langu ni Masanja mabula, jina nililopewa na wazazi wangu wangu bwana na bibi mabula kwa kiligha jina langu lina maana ya " Akili zimo", huenda wazazi wangu walikuwa na nia njema ya kuniita hilo...
  6. JamiiForums Tanzania Simulizi za Mkatekumeni:Kikao Changu na Mh.Rais Pamoja na Baraza la Mawaziri

    Habari za wakati huu; Leo ninaendelea na sehemu ya pili ya Simulizi za Mkatekumeni Ni mwendelezo usio na mtiririko wa ndoto mbalimbali ninazoota hasa zinazohusisha viongozi na masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.Ili niandike andiko hili lazima niote Ndoto so Usipoona Andiko ujue sijaota...
  7. JamiiForums Tanzania Simulizi za Mkatekumeni: Kikao changu na Waziri Mkuu Mwigulu

    Habari za Usiku huu; Kama Unavyoona sa hivi ni usiku wa manane. Nimeamka usingizini, nimechukua chombo changu cha kazi na nimeingi kazini. Hili ni andiko la kwanza katika Mtiririko wa Simulizi za Mkatekumeni ambapo nitakuwa nikiwaletea maandiko ya Ndoto mbalimbali ambazo nitakuwa ninaziota...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba hasomeshwi? Simulizi ya kutisha na kuumiza

    Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni...
  9. JamiiForums Tanzania Simulizi: A spy and assasin in love

    Hii ni hadithi inapatikana katika app yetu ya kahawa time A SPY AND ASSASSIN IN LOVE - Continue Reading on Kahawa Time ikiwa imeandikwa na mwandishi wako mkali EDDAZARIA G. MSULWA ntakua napost hapa ila tayari hii hadithi imefika mbali huko kwennye app A SPY AND ASSASSIN IN LOVE 01 MUANDISHI...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi la Uvamizi wa Kasi na Usahihi wa Hali ya Juu

    Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi Linalozua Mjadala Operesheni iliyodaiwa kusababisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na majeshi ya Marekani imeelezwa kama operesheni ya kasi na usahihi wa hali ya juu. Simulizi hilo linaeleza kuwa shambulio la ardhini...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Serious note ya Godbless Lema juu ya mapungufu ya taaluma, utaalamu, uzembe, elimu ndogo, UONGO ndani ya mifumo ya VYOMBO vya Usalama wa Taifa

    Anaandika Godbless J Lema TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA. Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi waliopinga uchaguzi Meya feki wa Arusha Mjini. Tukio hilo liliacha majeraha makubwa katika mioyo ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya maisha: KABURI LA MSOMI

    KABURI LA MSOMI. Karibuni sana wapenzi wa simulizi, leo naitambulisha kwenu simulizi hii iitwayo KABURI LA MSOMI. Ndani ya simulizi hii utakutana na visa, mikasa na matukio ya maisha kwa ujumla, vimbwenga, mapenzi wivu, usaliti, chuki na mauaji. Mwandishi anakukaribisheni kutoa maoni ushauri na...
  13. JamiiForums Tanzania RIwaya: Elise Wangu Kutoka Belgium

    Mwandishi: Murrah. Inapopatikana: Kahawa Time application ya simulizi inapatikana playstore kwa watumiaji wa android na app store kwa watumiaji wote wa (Iphone) Hii Hadithi imekamilika tayari katika application ya kahawa time.. kwa wale wanaopenda simulizi moto moto hii na nyingine zaidi kama...
  14. JamiiForums Tanzania Application ya Simulizi

    Habari wakuu nawakaribisha katika application yetu ya kahawa time inayopatikana app srote kwa watumiaji wa iphone na Ipad na Play store kwa watumiaji wa Android… pata simulizi kali kutoka kwa waandishi maarufu kama Story za Eddy, Patrick Ck, na wengine wengi
  15. JamiiForums Tanzania Simulizi ya kipelelezi: THE JOURNALIST

    THE JOURNALIST (TONE LA DAMU) AMANI KILONZO!!!!!... Ni jina ambalo lilikuwa alama ya ushindi, lilikuwa ni jina maarufu ambalo kila mwandishi wa habari pamoja na waandishi wote walikuwa wakilichukulia kama jina la mfano. Jina maarufu kutoka kwa mwanaume aliyetokea kwenye maisha ya kimasikini...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu "Nakupenda pia". Yaliyonikuta sio poa

    Kwema wakuu, heshima mbele! UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi. to be continued....
  17. JamiiForums Tanzania Vitabu na simulizi

    VITABU NA SIMULIZI Vitabu ni hazina
  18. JamiiForums Tanzania Simulizi za kijana Masikini (zote ni visa vya kweli vilivyowahi kunitokea)

    Huu ni mkusanyiko wasimulizi zangu ambazo nimewahi kuzileta humu na zile ambazo nitakuwa nazileta huko mbeleni. Lengo la uzi huu ni kurahisidha ufuatiliaji wa simulizi zangu kwa wale wapenzi wa simulizi lakini pia kutokupoteza simulizi zangu ambazo nimewahi kuziandika humu. Kumbuka humu...
  19. JamiiForums Tanzania SIMULIZI: JUMBA JEUSI

    STORY: JUMBA JEUSI MWANDISHI: FEBIANI BABUYA Storyteller: Bux the story teller WhatsApp: 0621567672 Email: thomasibabuya@gmail.com AGE: 18+ UTANGULIZI..... EPISODE 1. BANZOKA Pembezoni mwa barabara ndogo ya vumbi ambayo ilikuwa inaingia kwenye kichaka kilichokuwa kimemezwa na miti ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wakatoliki na mafundisho: Simulizi mbalimbali za maisha ya watakatifu

    Mtakatifu MARIA GORETTI Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano wa kifamilia. Maria alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto sita. Baba yake, Luigi, alifariki akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…