Wadau habari za majukumu
Kuna jambo linanitatiza sana katika kipindi hiki cha karibuni baina yangu na mke wangu. Yaani kuna msg zangu anazijuaa, sasa sijui anapata wapi, mfano jana kuna mdada kwenye group la shule kanitumia msg anaomba msaada nimemtumia. Narudi home umeme hakuna, nikanunua LUKU...