Nina 200,000/= naweza pata simu gani wakuu?

walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,796
5,520
Habari za mchana wakuu, natumaini muwazima wa afya, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka kununua simu ya kusogeza maisha sasa embu wajuzi wa mambo mnishauri nitapata simu gani kwa hiyo hela?
 
Itel p33 kwa 140,000/=
Iyo 60,000 inayobaki rudisha kwenye biashara.
hahahahaha,, asante mkuu kwa ushauri konki ila niliitenga yote kwa ajili ya kununua simu tu kwa huu mwezi sasa kati ya techno au huwawei naweza pata simu nzuri kwa iyo bei
 
habari za mchana wakuu, natumaini muwazima wa afya, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka kununua simu ya kusogeza maisha sasa embu wajuzi wa mambo mnishauri ntapata simu gani kwa iyo ela.
Infinix hot 8
Ram 3gb
Storage 32 ila used

Tecno Camon 11
Ram 3
Storage 16 ila Camon 11 pro storage yake ni 32
 
Back
Top Bottom