Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata.
Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli...
Tumeanza kudate miezi mitatu imepta!! Mwanzo ilikua kawaida tunatafutana kwa siku mara moja jion au mara mbili kwa siku
Sasa bana kuanzia mwez 6 tabu ndipo ilipoanza
Akipga simu hataki kumaliza maongezi
Hata ukimwambia umechoka hakuelewi
kila muda sim ,text ukipitaa lisaa utakuta miscall 7 msg...
Habari za mchana wapendwa katika bwana.
Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG Velvet 5G G900UM.
Kama umewahi kuitumia vipi kuhusu ubora wake haswa Speed, Kutunza Charge kwenye...
Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge "Iddi zungu" [asiye na utu wala kujali wananchi] Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali]
Ukiitizama hii kwa jicho la 3. Ni kama inaua soko la mobile Money. Na kukuza soko la Benki.
[Imagine Nataka nimtumie Bibi yangu...
Ushauri kwa Rais na watu wake, hii itasaidia sana kusikiliza kero za Tanzania nzima kwa wakati mfupi. Anaweza kuwa live kwenye TV na radio. Kuliko sasa hivi anatupotezea muda bara barani anafunga bara bara na ni hatari kwake.
Hakuna mkuu wa wilaya au mkoa anayeweza kuzuia mwananchi asipeleke...
Sasa ni wakati wa benki kujitanua zaidi na kila mmoja ajitahidi kuwa na akaunti ya benki, japo na wao wana makato Ila haya ya simu ni makubwa mno, yaani kusafirisha milioni wanakata 31,000 kutuma na kutoa.
Sasa nitahamia Benki, au nitasafirisha pesa kwa Gari yaani basi, pia tujitahidi kujiunga...
Habari za muda huu,
Nauliza kama inawezekana kutrack simu iliyoibiwa kwa kutumia Serial Number pekee maana simu ni network lock, iphone 11
Kibaya zaidi ilikua haina icloud ndani, nauliza kwa anaejua kama inawezekana labda kama akikonect tu wifi nimuone alipo
Simu infinix ina line ya tigo. Ikiwa kwenye 4G au 3G ukiipigia haipatikani. Hata kama umezima data. Ila ikiwa kwenye 2G simu ukiipigia inapatikana hata kama umezima data. Sasa nimeshindwa kuelewa hii kitu inakuwaje.
Naomba ufafanuzi kwenye hili.
Cc. reyzzap na Chief-Mkwawa
Mimi nina apps mbili tu Tuu ambazo Ninamiliki kwenye simu yangu nazo ni Twitter na WhatsApp. Facebook niliiacha kitambo kwa sababu ya kuwa na limited number of friends
Kule Vichwa vipanga ni wachache mno kumejaa utopolo tuu. Hata ukiwa na followers Labda uwe unaandika kuhusu mapenzi, udaku...
Hope mpo poa.naomba kujua bei ya simu zifuatazo kwe bei ya jumla kwa dar(kariakoo):tecno 528,tecno 351,tecno 313,tecno 301,tecno 372,tecno 474,tecno 454,itel 2160,itel 2173 na bontel l 600.
Habari za kazi wakuu,
Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji huduma ya kutengenezewa kifaa/vifaa vyako naomba unipe hiyo kazi nitakufuata hapo ulipo hivyo pia...
Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii.
Na hii ni huduma ambayo sikujiunga...
Habari za mida wadau.
Nimewahi kuleta uzi hapa nikiomba ushauri aina gani ya simu nzuri,Nashukuru nilipata mwanga wa kuelewa mambo mengi.
Baada ya kuzurula mikoani sasa nipo Dar na kesho mapema naenda k/koo kwa ajili ya kununua simu mpya.
Naombeni mnipatie ujanja wa kutambua simu fake hasa...
Kampuni ya infinix wamemtumia Concept phone 2021 unbox therapy na kuizungumzia pia kushangazwa kwa kujaa chaji kutoka 0 hadi 100 ndani ya dakika 10 tu.
Hii thread ni maalum kwa ajili ya kuanika namba za simu za wanaotapeli kupitia huduma za fedha kwenye mitandao ya simu, naamini TCRA watakuwa wanapitia huu uzi, wangekuwa na Akaunti hapa JF kama Taasisi zingine ingekuwa vema.
0672388589 hii ni mojawapo ya namba inayotapeli, alinipigia simu...
Ingekuwa sawa sana kama kupiga simu ndani ya EA kungekuwa kama unapiga ndani ya nchi.
Hakuna haja ya mtu anayepiga simu Kenya au Uganda kuonekana anapiga simu nje ya nchi au na kutozwa kwa mtindo huo.
Hii itaturahisisia sana mambo.
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amesema alimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake na ilipokelewa na msaidizi wake. Lissu aliacha ujumbe wa kuomba kukutana na Rais ili waweze kujadili kwa pamoja mageuzi ya kiuchumi na mustakabali wa taifa.
Tundu Lissu amesema...
Nikiwa mgeni Dar nilikutana na kijana mmoja barbarani akanionyesha simu aina ya samsung A50. Kumuuliza bei akaniambia ni laki moja. Bei ilikua chini sana nikaamua kununua. Aliniharakisha sana akisema hataki kushikwa na polisi akanifungia simu ndani ya gazeti.
Kufika nyumbani kujaribu kuwasha...
Habari wadau.
Miezi kadhaa iliyopita nilibahatika nilipata kazi katika kampuni moja kubwa ya uzalishaji .
Nilianza kazi vizuri tu, ila siku ya kwanza tu naingia ofisini sekretari wa boss akaonyesha kunichangamkia kama tulishawai kuonana before mpaka nikaogopa, nikajitahidi kumkwepa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.