TANESCO hili shirika limekuwa likilalamikiwa na watu katika changamoto mbalimbali
1) Kufunga nguzo Bila kuunganisha
2) Rushwa kwa surveyor ili watembelee eneo husika
3)USambazaji wa Nguzo umeanza kudolola
4)Customer care Mbovu mfano mzuri Nyakato Mwanza wanamajibu ya ovyo kweli kuanzia Manager...
Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.
Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki...
Toka nimeanza kutumia charger za simu sijui ni ngapi zimepiga shoti. Kamoja nilinunua tu na kukaweka kwa mara ya kwanza kakapiga shoti. Katika vitu fake vingi ni hizi charger na USB cable.
TBS hebu fuatilieni hili suala. Watu watakuwa wanaunguza majengo kumbe shida ipo hapa kwenye charger...
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi sasa kuna uhaba wa madarasa 100,005 kwenye shule za msingi na sekondari nchini.
My Take:
Nakumbuka...
MONDAY JULY 19 2021
Wakati kelele za tozo ya miamala ya simu zikiendelea kuanzia Agosti mwaka huu, watumiaji wa simu nchini wataanza kuchangia bajeti kuu ya Serikali kupitia tozo ya laini za simu kwa kila anayeongeza salio la maongezi.
Dar es Salaam. Wakati kelele za tozo ya miamala ya...
Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”
kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani
(1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
UTANGULIZI
Hivi karibuni tumeshuhudia Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania likifanya mabadiliko ya sheria ya fedha, (The Finance Act) na kuongeza kifungu namba 46A, kifungu kidogo(1) kinachosema kwa tafsiri isiyo rasmi; “Kutakuwa na tozo zitakazokatwa kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu...
Wadau mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wajasiriamali, wamepongeza tozo mpya katika mitandao ya simu na mafuta zilizopitishwa mwaka wa fedha 2021/2022. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wadau hao walisema tozo hizo zitachochea ukuaji wa uchumi hasa katika maeneo ya vijijini.
Walisema tozo hizo...
Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira.
Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
Na Joshua Deus
Wahenga wanasema usipo Jenga ufa uatajenga ukuta,sekta ya Mawasiliano ni moja wapo ya sekta ambazo zinaingiza Pato la taifa nchini,Tanzania ili kukuza Pato la taifa inahitaji jitihada kubwa. Miongoni ni changamoto ambazo Zina changia kuporomoka kwa sekta ya Mawasiliano...
Wana JF, salaam nyingi.
SUMU YA SIMU NA SUMU YA NYOKA:
“Naongea na simu”.
Siku hizi simu zinatoa sumu kali sana, hadi kuua zinaua. Hebu tulia kidogo, kisha fananisha kidogo simu yako na nyoka. Vipi, simu yako mara ya mwisho kutoa sumu ni lini?
Nyoka asipotoa sumu hana madhara, lakini akitoa...
Habari wana jukwaa naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu especially upande wa hardware, nipo bagamoyo naomba msaada labda mtu mwenye idea nianzie wapi? Au kama kuna fundi pia wa simu upande wa hardware tunaweza kuongea zaidi.
Naomba kuwasilisha.
Kuna vitu ni vigumu kuvisahau kwenye maisha yangu, vipo vyenye kufurahisha na vile vyenye kuleta maumivu moyoni mwetu. Jambo la kushukuru ni namna Mungu ameweka kitu kusahau ili maisha yaendelee, Mungu wetu ana nguvu sana.
Mwaka 2019 ninaweza nikasahau matukio yote yaliyojiri mwaka huo lakini...
Mfumo huu unaitwa kids mode,hii ni kwa ajili ya watoto kwanzia wadogo mpaka wakubwa.
Njia hii kwa sasa inapatikana kwenye simu karibu zote,na haitakuhitaji kuanza kuficha files zako kwa apps tumizi kama vault kwa hofu kwamba mtoto atavuruga au kufuta.
Kwanza ni lazma iwe na lock ya kawaida...
Wakati mnalalamika na tozo mpya katika MIAMALA ya simu, Dk. Faustine Ndugulile anatuletea kitu kinaitwa "AIRTIME LEVY".
So far inaonekana Mitandao ya mawasiliano ndo Sekta iliyokuwa kwa aharaka sana na imechangamka. Imeonekana ndo sehemu sasa ya kukamua fedha kwa Mgongo wa neno "Tozo'...
Nawasalimia kwa Jina La JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Kabla ya yote mimi si Mjuzi sana wa mambo ya Uchumi au siasa ya uchumi ila kwa kuwa nimepata ushauri kwa wasomi wa uchumi na mambo haya ya siasa ya uchumi ningependa niwamegee kidogo kuhusu mambo nikiyoelekezwa kuhusu Trending marks...
Nilivyoona tu eti wanaonesha kabisa kwamba amount hii ni gharama zao na amount hii hapa ni kodi ya Serikali basi nikajua huo ni uchochezi.
Hawa watu walipaswa kufanya kama awali kuwa inakata tu gharama ya kutuma muamala bila kuonesha ipi ni kodi na ipi ni ya kwao wamiliki mtandao. Mbona - kwa...
Kwanza Salamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Rais ukiona asilimia kubwa ya wananchi wanapiga kelele kwa jambo la msingi uelewe kuwa kuna jambo linalohitaji kufuatiliwa.
Suala la tozo kwenye miamala za simu limekuwa kubwa na unatakiwa ulitolee/ulichukulie uamuzi wa haraka...
WhatsApp imesema inajaribu matumizi mapya ya mtandao huo utakaowawezesha watumiaji kutuma na kupokea ujumbe bila kutumia simu zao.
Kwa sasa, mtandao huo unakulazimu kuunganisha simu yako na kompyuta ili uweze kutumia huduma zake katika tovuti (web) na programu (desktop app). Mtandao huo sasa...
Wakuu Kwema!
Hapa mtaani kwetu kumekuwa na kamgomo baridi kuhusu utumiaji wa mihamala ya simu.
Watu wamegoma kutuma wala kutoa pesa kupitia mihamala kwenye simu.
Madai makuu ni kusema makato ni makubwa Sana.
Je, huko mtaani kwenu Hali ikoje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.