simu

  1. JamiiForums Tanzania Simu ya Pixel 2 xl 128 Gb inauzwa kwa 350k mpya kabisa..

    Ina 128 Gb , Android version 11, battery Ina 3520 mAh ya ndani kwa ndani , Ina fingerprint ,ram 4 Gb na Ina rangi nyeusi... Haina tatizo lolote na mpya kabisa haijawahi kutumika imetoka turkey inauzwa kwa laki 3 tu(300k). Napatikana tandika sokoni wilaya ya temeke Dar es salaam... 0754273820...
  2. JamiiForums Tanzania Watumishi wengi wa serikali mnatia huruma mno, ni katikati ya mwezi ila nimepokea zaidi ya simu 10 mkiomba msaada wa pesa

    Ni watumishi wa serikali kutoka idara tofouti tofouti nyeti na zisizo nyeti, watumishi hawa wa Mama Samiah Suluhu Hassani wanatia huruma mno kila ifikapo katikati ya mwezi. Na kwa hili ilivyo kwa sasa ya vitu kupanda bei, kuna kufanya maendeleo kweli ukiwa mtumishi wa serikali? Niwaase...
  3. JamiiForums Tanzania Simu gani inajaa chaji mapema zaidi ya hii

    Simu gani inajaa chaji mapema zaidi duniani kuliko hii
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa IMEI simu ya HUAWEI Y5 PRIME

    Wakuu habari za humu. Ninaomba msaada wa namna ya kurudisha IMEI kwenye simu ya HUAWEI Y5 PRIME 2018. Kila nikiangalia inaonyesha null kwenye slot zote mbili...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye simu

    Jamani habari, Ma mkubwa wangu simu yake inaandika hivi, tatizo itakuwa nini haswa 👇
  6. JamiiForums Tanzania (Kipori/ Kamsitu)Njia ya vumbi kuelekea South Beach Hotel, Kigamboni, ina vibaka wanaopora simu

    Jana usiku Oktoba 09 mida ya saa 4 kasoro, jamaa yangu mmoja akiwa na mpenzie ndani ya gari, wakiendesha slow motion ndani ya barabara ya Kokoto. Huku shemeji yangu akiongea na simu, GHAFLA BIN VUU, jamaa katokea kwenye kichaka na kumpora Shem simu. Wahusika: SOUTH BEACH HOTEL NA WANAUSALAMA...
  7. JamiiForums Tanzania Tuliambiwa pesa za tozo za simu ndio zitatumika kwenye miradi ya afya na elimu sasa fedha za IMF je?

    Waziri wa Fedha awe mkweli maana kama kajisahau vile anaendelea kutoa hotuba, alituambia fedha za tozo zitahusika kwenye Ujenzi wa madarasa na huduma za afya, leo hii fedha walizopewa na IMF anataja miradi ile ile kwamba ndio itakayo tekelezwa, huenda labda mm sijaelewa vizuri pamoja na kuwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Roho yangu inaanza kukaa mbali na huyu ndugu yangu, je nina makosa mimi kutopokea simu zake?

    Ni ndugu yangu mtu mzima, namwita shangazi, sijawahi gombana nae, na binafsi namwona ni mtu mwema kwangu, na nimefahamiana naye toka utoto wangu hadi utu uzima huu, kipindi cha likizo nlikuwa nashinda kwake miezi mingi kabla ya kwenda home, ila kipindi cha hivi karibuni amekua na tabia ambazo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wanapomshikilia mtu wanakimbilia kwenye simu na Laptop yake?

    Amani iwe nanyi Waungwana! Mimi swali langu ni Short and clear, huu utaratibu wa Polisi kushikilia mtu kisha wanabeba na simu yake pamoja na Laptop yake, wanataka nini hasa? Ni sheria gani inayoruhusu wao kuingia na kufungua simu na computer zangu bila ridhaa yangu wakati mimi ni mshukiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Napendekeza simu zenye thamani ya zaidi ya milioni 1 zisajiliwe TRA na zipewe kadi kama za gari, hii itapunguza wizi wa simu

    Kadi iwe na jina la mmiliki na taarifa zake zingine zote, na sehemu ya details ijazwe taarifa muhimu za simu kama IMEI, model, make, color na specification zingine zote. Pia pajazwe number of previous owners nk. nk. Endapo simu itapotea au kuibiwa, by default, systems za TRA ziwe na built in...
  11. JamiiForums Tanzania Ni meseji gani unayotumiwa kwenye simu ila hupendi?

    Habari wakuu, Binafsi kila nikipokea muamala, muda si mrefu unaingia ujumbe wa mtandao husika wa kunitaka nicheze kamari. utaona ghafla '' Ndugu mwenye namba 0713 xxxxxx, ushaandaliwa TZS 800,000,000 jaribu leo. Na jumbe nyingi mfano wa hizi. Je, ni ujumbe gani hauupendi kabisa utumiwe kwenye...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jamani kwenye nafuu ni mtandao gani vifurushi vya simu

    Naona Tigo size yako wametoka min 180 to 60, 2GB to 1.5 GB, 100 sms to 20 for seven days at 2500 Tujuzane kwenye nafuu ni wapi, ni mtandao gani?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la LUKU limerudi tena

    Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao. Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
  14. JamiiForums Tanzania Nimekuwa teja wa matumizi ya simu, naachaje?

    Nikiingia kitandani naanza kupiga mizunguko jamiiforums, quora, youtube, fb, ressit, whatsapp, n.k yani kama huko reddit nikiingia subredits kama askreddit, off my chest, today i learned, iama, just start, n.k ndo mda unapepea si mchezo Kuja kustuka saa nane ishagonga hapo na inabidi niamke saa...
  15. JamiiForums Tanzania Agiza simu kutoka china kwa bei ya viwandani na kampuni ya AA Tanch Trading na upate offer ya kipindi hiki

    Haya ni maneno kutoka kwa moja ya wateja wetu: Wa kampuni ya AA Tanch Trading Company. Kwanza nianze kwa kusema mimi mwenyewe pia, nlikua moja ya watu wanaotafuta kampuni nzuri na ya kuaminika. Ya kuagiza vifaa mbali mbali kutoka china. Lakini baada ya kusikia kampuni hii ya AA Tanch Trading...
  16. JamiiForums Tanzania Ukikuta meseji ya kimapenzi kwenye simu ya mpenzi wako, kipi cha kwanza cha kufanya?

    Natumai mu wazima sana. Utafanya nini cha kwanza unapokuta meseji ya kimapenzi ya mtu mwingine kwenye simu ya mpenzi wako .je utafatilia kimya kimya ujue ukweli, au utaamua kumkalisha chini mpenzi wako na kumwambia ukweli?
  17. JamiiForums Tanzania Watendaji wa TCRA na makampuni ya simu yanashirikiana na matapeli kutuibia wananchi?

    TCRA walituambia baada ya usajiri wa alama za vidole utapeli wa tuma fedha kwenye namba hii utaisha kwani watu hao itakuwa rahisi kuwatambua. Kitu za kushangaza hili suala bado linaendelea, TCRA na makampuni ya simu yanashindwa nini kuzifunga hizi line ikiwa ni pamoja na kuwakamata hawa jamaa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Namba za simu za wake wa watuhumiwa wa Ugaidi zinatafutwa, watoto wao wanahitaji msaada kwenda shule

    Nilikuwa nafuatilia huko Ulaya kuhusu namna wanafamilia wa watuhumiwa na hata wafungwa wanavyosaidiwa kuepusha adhabu ya makosa ya wazazi kwenda kuwaumiza watoto wasio na hatia. Mara nyingi watoto wa watuhumiwa hupatiwa michango ambapo husaidiwa kuendelea na masomo na kufarijiwa maana...
  19. JamiiForums Tanzania Vifurushi vya simu vyapanda kimya kimya

    Mitandao ya simu nchini Tanzania hatimaye imepandisha vifurushi vyake kimyakimya bila kutoa taarifa kwa wateja wake. Awali mitandao hiyo ilitangaza kubadilisha vifurushi lakini walighairi baada ya muda. Ila kwasasa wameamua kupandisha kimyakimya! Vifurushi vilivyobadilika hasa ni vile vya...
  20. JamiiForums Tanzania Upewe million ukae Mwaka mzima bila kutumia simu, utaweza?

    Millioni ipo mfuko wa shati hakuna kuingia jamiiforum , Facebook , Instagram wala kupiga simu kwa mtu yoyote yaani simu ikae flight mode mwaka mzima utaweza weweeee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…