Makampuni ya simu naona sasa hali tete yaani hadi SMS sasa zinafuatiliwa

HOPEfull

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
1,763
2,121
You have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS.

Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau.
Kifurushi chenyewe iko hapo.

Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
 
Kuna vifurushi vya sms tuu nowdays, voda 2000tsh unapata sms 10,000 kwa mwezi.

Screenshot_20211130-203052.jpg
 
You have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS.

Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau.
Kifurushi chenyewe iko hapo.

Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
Tumia Airtel hata bila kujiunga sms moja ni one sh
 
You have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS.

Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau.
Kifurushi chenyewe iko hapo.

Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
Hiyo ni haki ya mteja (mtumiaji huduma ktk mitandao) kama ilivyo kwa abiria kutoka kwa msafirishaji, kondakta anapaswa kutangaza kituo na kusimamisha bus kituoni hata kama hakuna abiria anaeshuka.
 
You have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS.

Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau.
Kifurushi chenyewe iko hapo.

Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
Mimi kuna hili huwa linanishangaza sana kwa mfano unanunua 20gb kwa mwezi, kama hujazitumia because ni mali yako uliyonunua naamini inapaswa kuwa carried forward kwa mwezi unaofuata ila cha ajabu sasa makampuni ya simu hayatekelezi hayo, lakini ikija kwao pengine umetumia zaidi 20gb ulizonunua kwao watalamba hata balance yako iliopo kwenye simu, honestly this is not fair for any language, kwamba wao ndio tu wenye haki ya kukudhulumu wakati kifurushi kimeisha kabla ya mwezi lakini wewe huna haki kama kifurushi chako hakijaisha, like umebakiwa na bundle ya 15gb kabla ya mwisho wa mwezi,kifurushi ambacho umenunua kwao ila wao wana haki hata kama umetumia 5gb ku confiscate your 15gb ,this is not fair at all
 
Unachokisema, Halotel walianzisha utaratibu huo wa kuhifadhia wateja vifurushi vyao.
Lakini kwa mabadiliko ya juzi, nao wamefinya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtandao gani huu? Naona kama wamekupendelea sana.
Kuna mtandao nilikuwa naangalia vifurushi mpk kifurushi cha 10000 unapewa meseji 20.
You have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS.

Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau.
Kifurushi chenyewe iko hapo.

Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
 
Tushafika tayari. Mtandao km Airtel vifurushi vingi vina 0 sms. Unatakiwa ununue kifurushi cha dakika, meseji na data.
Kuna watu wanapiga hela balaa. Ningekuwa na hela ningefungua kampuni ya simu. Hela nje nje
Unanua kifurushi cha 1000 unapewa siku 3, ikifika uwe umetua haujatumia wanachukua kifurushi chao.
Hadi TCCL ndiyo wale wale. Hii nchi bana, halafu watu wapo busy kuwataka tuwe wazalendo
Hii ni dalili kwamba tunakoelekea tunaenda kununua vifurushi vya sms.
 
You have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS.

Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau.
Kifurushi chenyewe iko hapo.

Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
Mtandao gani buku gb1
 
Airtel wao wamekosa hadi hela ya kuboresha mitambo yao, hali inayopelekea mtandao kuwa mbovu, mfano ukipiga simu, simu haitoki, au ikikubali hamsikilizani.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Yaani Sms zinawahi kuisha kabla ya dakika kweli kiboko kwa kifurushi cha wiki hata mwezi sijui wanatoa sms ngapi?
 
Back
Top Bottom