simu

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wahenga mnaikumbuka hii meza ya simu?

    Pembeni ya simu kulikua na pen holder na note book kwa kuchukua messages. Hapo chini ilikaa telephone directory.
  2. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Biashara vifaa vya ufundi simu Nairobi

    Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000. Nilikua naomba kujuzwa na...
  3. Mr. JF

    JamiiForums Tanzania Kata Simu, Kata simu, Tupo Site!!

    Huu msemo origin yake ni nini na wapi? Nimekuwa nikiusikia mara kwa mara na una sound funny, nimetamani kujua ni sauti ya nani na umeanzia wapi! Wakatabahu!
  4. Josey j

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na mtu anayeomba simu yako atumie

    Habari ndgu wana jamii forums, Niende moja kwa moja kwenye mada kama nlivyoanza kutoa tahadhari Kwa ufupi ni hivi, usimpe simu janja yako mtu usiemfaham aitumie kwa namna yoyote ile la sivyo ikitokea unataka kumpa basi hakikisha unakua makini kwa kile afanyacho, Je, unajua mtu anaweza kubeba...
  5. yope

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

    Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu, Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
  6. eli_dealz

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Quality SIMU kwa bei nzuri

    Tuanze na IPHONE 7 32 GB USED BEI : SOLD SOLD LOCATION : DAR ES SALAAM CONTACT : 0764081567 - Call and Whatsapp
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afariki katika ugomvi wa kugombea simu ya marehemu

    Mtu mmoja alieyefahamika kwa jina la Mwidini SaidI (30) Mkazi wa Kitongoji cha Kitumbini, Kata ya Kivinje Wilayani Kilwa Mkoani Lindi amefariki mara baada ya kupigwa na kitu kizito Kichwani walipokuwa wanagombea simu ya marehemu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, ACP Mtatiro Kitinkwi amesema...
  8. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa mnaoiba simu: Nimeamua kuacha simu yangu bila password yoyote. Guseni mnase

    Najua kuna umuhimu mkubwa sana wa kulinda simu kwa password sio kwa WEZI tu ila kulinda data zangu pia. Ila niwape taarifa wezi wote wa simu kwamba, mkiiba simu yangu hamtapata shida ya kwenda kuflash wala nini. Mniibie tu NINA UHAKIKA MKIIBA NITAIPATA TU TENA NIKIWA NIME RELAX.. UKIILETA...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simu inavyoweza kusababisha ukapata Ugonjwa wa Bawasiri (kuvimba njia ya haja kubwa)

    Baadhi ya watu watabia ya kuongea na simu na wapendwa wao kwa muda mrefu. Licha ya kupata maumivu ya masikio, kichwa na matatizo ya macho, wataalamu pia wamebainisha madhara makubwa yanayoweza kutokea kupitia simu yako ya mkononi. Shinikizo la damu Ripoti iliyotolewa na watafiti kutoka Nchini...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kublock hizi meseji za bahati nasibu za haya makampuni ya mawasiliano ya simu

    Habarini wanajamvi. Sijui humu ndani kama kuna mtu amewahi kushinda ama kupata hiyo bahati ya kushinda hela au magari wanayotangaza.Na sijui dhamira yao ni nini.Zimekuwa 'too much' Nani kawaambia kuwa si tunataka hizo bahati nasibu zao. Hebu tusaidiane jinsi ya kuwablock hawa...
  11. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kuzuia/Ku-freeze System Apps Zisifanye Kazi Kwenye Simu?

    Habari wakuu. Natumai mpo sawa kabisa, naomba msaada kama kuna App au njia ya kuzuia system apps kama vile calls na sms apps zisifanye kazi kwenye Infinix note 10. Nimejaribu ku-freezer kwa app ya freezer ila umekataa inaandika not supported. Kwa anayejua hiko kitu naomba anisaidie tafadhali...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Epuka wizi wa taarifa zako binafsi kwenye simu kupitia nyaya za USB

    Salaam Wakuu, Katika kuendelea kukumbushana umuhimu wa kulinda taarifa binafsi, leo nimeona nieleze kwa ufupi suala la wizi wa taarifa binafsi unaofanywa kupitia nyaya za kuchajia simu (USB). Tazama kwenye picha hapa chini: Picha> USB Cables za aina mbalimbali Ni wazi kuwa kutokana na sababu...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaopenda kuomba Namba za Simu za Wanawake ndani ya Daladala muwe mnachunguza kama Madume zao tupo nao au hatupo

    Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu? IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, umefuta ujumbe kwenye simu yako kwa bahati mbaya? Fanya hivi kurejesha

    Umefuta Message kwa bahati mbaya ?? Kuna wakati unajikuta katika kupunguza punguza vitu basi kwa bahati mbaya ukafuta (sms) au taarifa zako muhimu. Je unatakiwa upate stress🤔? Hapana! Kuna mbinu kadhaa unaweza kuzitumia ili kurejesha sms zilizopotea kwenye simu yako. Katika andiko hili...
  15. Masota ReubenS

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutatua Iphone 6 plus, kwa sasa kuingia chaji hadi niikunje

    Ndugu zangu habari za leo?? Samahani nina shida kwenye simu yangu ya iPhone 6plus S, yaani kuchaji ni kwa shida sana maana chaja mpaka uikunje.. Nikaacha kuitumia kwa muda wa kama miezi miwili hivi. Je naweza kupata msaada wa kujua shida itakuwa ni mfumo wa kuchaji wa simu au chaja zake ndio...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili taarifa zangu muhimu zilizopo ndani ya simu zisiingie mikononi mwa mtu pindi ikiibiwa?

    Mimi ni mdau mkubwa wa kusevu taarifa mbalimbali kwenye account yangu ya google. Ninahofia sana kipindi nikipoteza simu, watu watakua na uwezo wa kuona taarifa mbalimbali nilizosevu kwenye akaunti ya google ikiwemo mpaka password za kuingia kwenye mitandao mbalimbali. Hivi je kuna usalama...
  17. FOX21

    JamiiForums Tanzania Phone repair (programs & ma file ya kutengeneza simu)

    Salamu zangu ziwafikie wote walio jaliwa afya njema na pole kwa ndugu zangu wanao pitia wakati mgumu kiafya hasa wenye homa kali na mafua. Niende kwenye mada nisiwachoshe Sana ndugu zangu. Nimeamua rasmi kufanya kazi ya ufundi simu hii ni kutokana na hali ya kiuchumi kuwa tete kwa upande...
  18. Acehood

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu bajeti laki mbili Mbeya

    natafuta simu nipo Mbeya, bajeti yangu laki mbili. karibu itapendeza zaidi kama muuzaji atakuwa mkoani Mbeya
  19. ommytk

    JamiiForums Tanzania Nashauri simu zote ziwe na lugha ya Kiswahili ili kuhimiza matumizi ya Kiswahili

    Katika kuhimiza matumizi ya kiswahili simu nashauri ziwe katika lugha ya kiswahili zote hii itasaidia pia katika matumizi ya lugha
  20. I

    JamiiForums Tanzania Nilivyoibiwa chaja ya simu Mwanza kizembe

    Juzi juzi tu niliwasili mkoani Mwanza usiku sana nikitokea mkoa fulani. Nikasema isiwe kesi ngojea nikapumzike kabla asubuhi sijakwenda uko nilipotaka kufika. Kweli nikapata guest moja karibu na stend ya mabasi ya Buzuruga, nikalala hapo mpaka asubuhi. Asubuhi nilichelewa kuamka, nikaamshwa na...
Back
Top Bottom