Athari za Matumizi ya Simu Barabarani na Sheria
Utangulizi
Kulingana na tafiti za Shirika la Afya Duniani(WHO) za mwaka 2022; ajali za barabarani zinaongoza duniani kwa kusababisha vifo, ambapo takribani watu milioni1.3 hufariki kila mwaka kutokana na ajali za barabarani. Huku madhara makubwa...
Habari zenu wakuu
Kwa budget ya 350K naweza pata simu aina gani mpya madukani?. Pia naomba kujuzwa specifications zake kama RAM, storage, battery life, pamoja na anroid version.
Wataalamu wa mambo simu yangu Samsung imejiweka kialama cha funguo kwa juu huku upande wa inapoonyesha betri.
Siwezi kushusha skrini ili niwashe data, torchi etc. Wataalamu wa mambo msaada wa kukiondoa hiki kifunguo.
Watu wane wamenusurika kifo baada ya kutokea mlipuko mkubwa uliyosababishwa na simu ndani ya bajaji yenye nambari za usajili MC 567C JK-TVC katika barabara ya Njombe -Songea .
Akizungumzia tukio hilo kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema mkasa wa betri kulipuka umeleta...
MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI
BEI: 450,000/=
Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA!
KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
bar
bidhaa
code
date
karanga
kukoboa
kusaga
kusaga na kukoboa
kutengeneza
logo
mahindi
mashine
mbili
mpunga
mpya
ndogo
number
print
printer
siagi
simu
ufuta
Baada ya kutumia smartphone za makampuni mbalimbali I. e
Nokia/Lumia
Samsung/Galaxy S6
Tecno/H6, wx3, F1, J8 ...
Xiaomi/Redmi note 8,na sasa natumia note 10
Naomba ushauri kati ya hizi
OnePlus Ace
Realme GT Neo 3
Galaxy S10 used
Bei zinalingana tu
Matapeli ya mtandao wamerejea.
Mapuuzi yamekutana na mtu mwerevu. Basi naomba ni share namba zao na ujumbe wao incase wakikutafuteni nanyi msiwape nafasi.
Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....
Update.............
Tantrade nimejulishwa kuwa wao Wana mfumo, barua au email ikipokelewa inakua...
Shemeji baada ya kuona namtengenezea mazingira mazuri ya ndoa yake na Sister akaona simu yangu imechoka sana..hapa naandika nikiwa nmei connect kwenye charge moja kwa moja.
Mtu akinitingisha tu ikachomoka inazima. Basi shem ameonekana kutambua Juhudi zangu na kunipa offer ya kuninulia simu...
Nilinunua chaja aina ya Excellent miezi miwili iliyopita nikiamini itanifaa hasahasa kwenye upande wa fast charging.
Na kweli kwa kipindi cha mwezi wa kwanza niliyoitumia ilikua inajaza 100% ndani ya lisaa limoja tu. Ila nina wiki sasa, simu hata niiache kwny chaji usiku mzima haifiki ata...
Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia.
Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana!
Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
Ukiwa na mpenzi au mwenza wako kwenye marital bed, ni busara kuweka simu kwenye vibration. Mihangaiko ya mchana kutwa inachosha, na usingizi ni njia pekee Mwenyezi Mungu alituwekea kupunguza uchovu bure bila gharama.
Kuna wale wanaotegemea simu za biashara ya kazi na nyingine huingia hata saa...
Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye asaidie usajili na mengineyo .....yote hayo aliyasema huko jamhuri ya twitter katika juhudi zake za...
Mvulana mwenye umri wa miaka 17 anasakwa kwa tuhuma za kumuua binamu yake kwa kumchoma mshale upande wa kushoto wa kifua wakati wakigombania sehemu ya kuchaji simu zao.
Tukio hilo limetokea Mji wa Kaimosi Nchini Kenya ambapo, Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imesema mshukiwa alimuua Josephat...
Inakuwaje mtu umechukua line ya mtandao fulani ukawa unatumia lakini kuna uwezekano kibinadamu kuna sababu mbalimbali kiuchumi hali ngumu au ukaugua muda mrefu kiasi kwamba huwezi hata kutumia simu kwa maana ya kununua hata vocha. Sasa baada ya siku au miezi kadhaa unaambiwa namba yako amepewa...
Jamaan wadau wa humu JF jukwaa la matangazo madogo madogo habari za muda huu
Kiufupi ni kwamba nahitaji simu nzuri upande wa camera, processor na storage kuanzia 64GB na pia iwe ina betri lenye uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu yaani haiishi chaji kwa haraka angalau kuanzia...
Dar es Salaam, Tanzania, 06 Julai, 2022- TECNO Mobile Tanzania, chapa ya simu za kisasa na bora duniani ambayo imekuwa ikitoa teknolojia ya kisasa zaidi kwa watumiaji, leo imetangaza uzinduzi wa toleo lake la CAMON 19 kwa kushirikiana na Vodacom. Toleo la CAMON 19 limekuja ili kukabiliana na...
Yaani unamiliki Simu ya Tsh 700,000/= halafu unaingia Mghahawani Kula unakosa Hela ya 'Kiepe' na kusubiri 'Kudoea' kwa Shoga (Rafiki).
Na ndiyo hawa hawa hata ukikutana nao katika 'Daladala' wanatumia muda mwingi kutafuta "timing' ya Kumkwepa Kondakta ili tu asimlipe Tsh 400/= yake.
Na hata...
Habari za humu wanaJF
Niende moja kwa moja kwenye mada najua kuna bunifu mbali mbali zimekuwepo na zinaendelea kubuniwa na zinasaidia kiujumla,
Ila hii ya kwangu ni yakipekee na inahitaji tu maboresho
Niliwahi ipeleka shule moja ya ufundi hapa Dar ila waliipotezea
Huu ubunifu nilitumia muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.