Ushauri wenu wataalam wa Smartphone kati ya hizi simu

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Apr 28, 2016
2,499
2,204
Baada ya kutumia smartphone za makampuni mbalimbali I. e
Nokia/Lumia
Samsung/Galaxy S6
Tecno/H6, wx3, F1, J8 ...
Xiaomi/Redmi note 8,na sasa natumia note 10
Naomba ushauri kati ya hizi
OnePlus Ace
Realme GT Neo 3
Galaxy S10 used
Bei zinalingana tu
 
hapo kwenye s10 sikushauri uchukue hata ikiwa bure, mimi nina samsung yangu imekufa kioo sasa gharama za kubadili kioo ni kubwa kuliko bei ya simu yenyewe sokoni... samsung hovyo sana.
Sawa
Hiyo S10 Ulivyoitumia Uliionaje Ni Nzuri Ama Shida Inapoharibika Kioo
Samsung Zote Changamoto
 
Back
Top Bottom