Chanzo cha vifurushi vya simu kupanda ni kutokana na mitandao husika kumilikiwa na watu wajanja wajanja wenye vina saba na serikali.

Stanboy

JF-Expert Member
Jul 4, 2013
1,115
1,300
Nafikiri kila mtu anatumia hii mitandao na amejionea gharama zinavyopanda kiholela kila siku,chanzo kikubwa kinaweza mitandao hii kumilikiwa na watu wenye ukaribu mno na serikali kiasi kwamba serikali haina maamuzi ya moja kwa moja juu yao,pia serikali nayo inamiliki sehemu ya mitandao hiyo...Issue ya kodi pia inasababisha hawa wamiliki wajiamlie wanavyotaka wao:-

1.Tigo - Ro Sitamu na wenzake
2.VodaCom -Lu wasa na wenzake
3.TTCL - Siri kali
4.Airtel -Sir kali na wadau wengine
5.Zantel- Siri kali na wadau wengine

Shida nyingine ni aina ya waziri anayeongoza Wizara hii kwasasa,naye ni mtu wa janja janja nyingi.Tuendelee kutegemea maumivu tu..no doubt vifurushi vitaendelea kupanda kila siku.
 
Tafuta pesa wewe, vifurushi kupanda ni biashara yenye faida kwa wengine.
 
Back
Top Bottom