Jamani hawa watu wanajiita Watu Credit wanaodhamini mikopo mbalimbali ya simu za mikononi, tunaomba Serikali iingilie kati. Wananchi wanaibiwa sana na kuonewa kiuchumi.
Mtu anakopeshwa simu ya Tsh 300,000/= sokoni, analazimika kulipia zaidi ya milioni kwa mwaka, na usipolipia simu yao...