simu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Huwa unazingatia Nini unaponunua simu kwa mtu mwingine?

    ZINGATIA HAYA UNAPONUNUA SIMU ILIYOTUMIKA AU KWA MTU 1. Angalia IMEI namba kwa Android na IMEI/MEID namba kwa iPhones, na zitumie kuhakikisha simu sio ya wizi 2. Kagua iwapo simu iliwahi kufanyiwa marekebisho na hakikisha vifaa vyote vipo sawa na vinafanya kazi 3. Kagua simu ina muda gani wa...
  2. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Kibanda Cha Simu "Soggy Doggy"

    MAMA NDIO CHANZO CHA WIMBO WANGU ( KIBANDA CHA SIMU )BY SOGGY DOGGY Soggy Doggy amesema chanzo cha yeye kuandika wimbo huo ni baada ya mama yake kupenda kufungia simu yao ya mezani ili kuogopa bili kuwa kubwa kwa watu kupiga hovyo, na kusababisha awe anakwenda kupiga simu kwenye vibanda vya...
  3. infor

    JamiiForums Tanzania Nakodisha ofisi na mashine za uwakala wa benki na mitandao ya simu

    Sababu: ni kutopata muda wa kutosha kuisimamia kutokana na kubanwa na majukumu mengine mbali na eneo la biashara Eneo: Km 30 kutoka mji wa Mafinga - Iringa Huduma za uwakala wa benki: CRDB, NMB, NBC, TCB na MUCOBA. Mashine (POSS) zote ziko kwenye hali nzuri na zinafanya kazi Uwakala wa simu...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA

    Hali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA Kadi za bank Passwords nk Makinika na wasajili laini mitaani na ikiwezekana TCRA wazifunge hizi freelance za...
  5. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Simu bei poa

    Natafuta simu bajeti kuanzia 450k mpaka 550k nzuri makini, Storage ya kutosha ndani, camera kali, battery life nzuli, iwe faster, isiwe inapata moto, isiwe Infinix, Tecno, GooglePixel au Itel na n.k
  6. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Ili mwananchi wa kawaida (asiye na simu janja) atumie Mtandao anahitaji Tsh. 272,000 kununua Simu na GB 3. Pato la Mtanzania ni Tsh. 254,000

    Idadi ya kadi za simu zilizo sajiliwa kufikia 2023 TZ (TCRA) 2020 51.2 million 2021 54.0 million 2022 60.2 million 2023 67.0 million KE(CA) 2020 57.0 million 2021 60.1 million 2022 63.3 million 2023 66.1 million UG(UCC) 2020 29.1 million 2021 30.2 million 2022 31.5 million 2023 32.8 million...
  7. robbinhood

    JamiiForums Tanzania Programu ya Kusimamia Invoice, Proforma, na Delivery Note kwa Kompyuta na Simu

    Je, unahitaji mfumo wa kisasa wa kusimamia biashara yako? Invoice management System inakupa uwezo wa kutengeneza na kusimamia Invoice, Proforma, na Delivery Notes kwa urahisi. Mfumo huu unapatikana kwa desktop na simu, hivyo unaweza kutumia popote ulipo. Sifa za Nina System: Invoice...
  8. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mawinga wanaouza simu (smartphones na simu vitochi originals)

    Habarini wana jamvi. Katika harakati za maisha nimeamua kufungua biashara (Chimbo) ya kuuza simu jumla na rejareja kutoka Dubai na China. Duka linapatikana mtaa za Aggrey na Masasi Kariakoo. Naomba kufanya kazi na mawinga waaminifu wao nitawauzia kwa bei nzuri tu na hata akimleta mteja kwa bei...
  9. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa simu za Samsung Galaxy A series, ngoja leo tujuzane kitu kidogo

    Wakuu! Samsung Galaxy A series ni smartphone kutoka Samsung ambazo zipo za aina mbalimbali kuanzia low end (izi ni za bei ndogo na specifications za chini) hadi za mid rangers ambazo zina specifications kubwa chini kidooogo ya Note Series, S series na Z Series. Sasa ukiwa unataka kununua...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania UVCCM Yagawa Simu Janja 20, Kadi za CCM 8,000 na UVCCM 1,000 Kuimarisha Wanachama Kielektroniki Mkoa wa Lindi

    UVCCM YAGAWA SIMU 20,KADI ZA CCM 8,000 NA UVCCM 1,000 KUZIDI KUIMARISHA USAJILI WA WANACHAMA KIELEKTRONIK, MKOA WA LINDI Mwenyekiti wa jumuiya ya umoja wa Vijana wa CCM ndugu Mohammed Ali Kawaida jana tarehe 12 Septemba,2024 amewasili Mkoani Lindi kwaajili ya Hamasa day katika wilaya ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa iphone utazuia wezi wa simu kuuza vioo, betri na kamera za iphone

    Mwaka huu Apple imebadilisha utaratibu wake wa kurekebisha simu na vifaa vya kutumia simu. Wiki hii katika mfumo mpya wa iOS 18 wakaguzi na mafundi wa simu wamegundua Apple imeweka mfumo mpya wa kuzuia wezi kuuza display, betri na kamera za simu ambazo zimeibiwa. Mfumo mpya wa iOS 18 umeweka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kufungua simu bila kureset, nimesahau pattern (aina ya simu ni lg velvet 5g

    Kama inavyojieleza hapo juu simu yangu nimesahau pattern na sitaki kufuta vitu vilivyomo, msaada kama naweza kuifungua
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Vipimo (WMA) kufanya uhakiki wa Mita za Umeme, Maji na Mabando ya Simu

    Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando ya simu ambayo yamekuwa yakitolewa. Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa WMA, Alban Kihulla, akizungumza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Anaejua soko la simu used bei kitonga

    Nataka kuanza kuuza simu used, anayejua soko au wapi wanauza bei ya jumla iwe ndani ama nje ya nchi anipe A to Z....🙏🙏🙏🙏
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu za kukuokoa na chaji zinauzwa zipo kama apple Elfu 75 tu vinashape nzuri sana

    Elfu 75 tu. Specifications: WHATSAPP TU: 0687746474
  17. Julius Husseni

    JamiiForums Tanzania Simu za mkopo pasua Kichwa

    Haki ya nani, Leo nimeingia duka la simu za mikopo, nimekuta simu ya 280k kesh. kwa miez 12 ni 420k yani nusu kwa nusu duh. Aisee.
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania nikipiga simu kwa mpenzi wangu akawa anatumika nakuwa na mwazo sana

    twajibiii mimi nikimpigia simu mtu wangu akawa anatumika nakuwa na mawazo na hasira juu nawaza vingi sana anaongea na nani? wanaongea nini? inamaana kuna mtu yupo wakumpigia simu na kuongea nae mda wote mm ananichukuliaje? na asipo jibu sms ndio kuzidi nahisi kuna mtu bora zaidi yangu...
  19. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza swali kwenu mawakala wa mitandao ya simu

    Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa. Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia njia hizo ukiwa kama wakala. Hapo anakuwa mteja amekuja ofisini kwako anaomba umpatie huduma hizo je...
  20. BEST 001

    JamiiForums Tanzania TUNAFANYA EXCHANGE AU TOP UP ZA,SIMU PIA TUNATENGEZA VIOO VYA SIMU AINA ZOTE JIJINI ARUSHA

    Habari, Wakuu humu jamii forum Simu yako ya zamani au unayoitumia unaweza kubadilisha na kuchukua simu nyingine, kutoka dukani kwetu kwa kuongezea pesa kiasi ili upate simu nyingine iwe mpya au used. Simu tulizo nazo ni iPhone,Samsung,pixel,Oppo na nyinginezo TUNAPATIKANA ARUSHA, STENDI...
Back
Top Bottom